Sunday, 16 July 2017

USHAURI KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA KUSOMEA CHUONI 2017/2018


USHAURI KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA KUSOMEA CHUONI 2017/2018



Habari yako?

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu Muumba wa ardhi na mbingu kwa kuniweka hai hadi leo hapa duniani.


Maswayetu blog kama kawaida yetu kwanza Tunawapongeza kidato cha sita wote waliofaulu katika mitiani yao waliyoifanya mei 2017.


Sitaki kukuchosha sana,naomba niende kwenye point.Kutokana na kutoka kwa matokeo ya kidato cha sita 2017 wanafunzi wengi wamekuwa wakiwaza nini cha kufanya kutokana na matokeo waliyoyapata,basi kama na wewe ni miongoni mwako basi hapa umefika katika sehemu husika.


MOJA


Napenda  nianze kuelezea kuhusu sifa za kwenda chuo kikuu mwaka huu 2017.

Ili uweze kudahiliwa katika chuo chochote kile kikuu TANZANIA lazima uwe na minimum points of 4 katika masomo yako mawili kwa kozi ambazo ni NON-HEALTH RELATED.


 Mfano; HKL ,ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu lazima uwe umepata atleast D D katika masomo yako,hii inamanisha kwamba ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu kwa kiwango cha chini lazima uwe umepata A E,B E,C E LAKINI D E HUTAKUWA NA SIFA.


(NOTE:HUWA WANAANGALIA MASOMO MAWILI  TU,AMBAYO YATAKUPA MINIMUM TOTAL OF  4 PTS.)



Na,

kozi za afya lazima uwe na minimum points of 6 katika masomo yako yote matatu yanayobeba combination yako.

Mfano, PCB lazima uwe na C D E ambapo C lazima iwe ya chemistry,D ya biology na E ya physics (NI LAZIMA) kwa point hiyo kama umepata div 2 pts 12 PCB na umepata D D D(hauna sifa ,kwa sababu lazima uwe na C ya chemistry)


Pia tunapenda kukuhakikisha kuwa ushauri wa kozi tulizokupa ,zitakufanya upate mkopo kwani about  98% ni kipaumbele cha serikali hii ya Kazi tu.



MBILI

KAMA UMESOMA PCB HII INAKUHUSU;



Najua na ninatambua kwamba ndoto kubwa ya wanafunzi waliosoma PCB huwa ni kusomea udaktari chuo kikuu.lakini ndoto zao wengi hupotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo matokeo mabaya,kuchagua vyuo kimakosa n.k.


Kwa mwaka huu wa masomo ili uwe na sifa ya kusomea udaktari chuo kikuu chochote kile TANZANIA lazima uwe umesoma PCB na umepata

Physics-D,Chemistry-C,Biology-C which gives a minimum points of 8;Hii inamaana kwamba mwisho kusomea udaktari mwaka huu lazima uwe umefaulu kiwango cha DIV 2 PTS 10.


Kama umesoma PCB na haujapata vigezo hapo juu tafadhali ninakuomba usisumbuke kuomba udaktari kwani huwezi chaguliwa.


Kama umepata Div 2 pts 11 hadi Div 3 pts 13 ,kuna kozi nyingi za kuomba tofauti na udaktari,kama nilivyoziorodhesha hapo chini;

Bsc. Pharmacy (lazima uwe na C ya chemistry,D in
biology   na E in phys)
                         
                            
Bsc. Nursing (lazima uwe na C ya chemistry,D in biology
na E in phys,Nutrition or mathematics)                              

Bsc. Medical laboratory science (lazima uwe na C ya
chemistry,D in biology na E in phys)                                                                                                              

·        Bachelor of Science in Optometry((lazima uwe na E ya  
chemistry/mathematics,D in biology na C in phys
)

·        Bachelor of Sciences in Health Laboratory
and
Bachelor of Science in Physiotherapy((lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys)


· Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Clinical Chemistry,

· Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Hematology and Blood Transfusion,



· Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Histotechnology,



· Bachelor of Medical Laboratory Science in Microbiology and Immunology,



· Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Parasitology and Medical Entomology and



· Bachelor of Medical Laboratory Sciences General   
((Kozi 7 hapo juu lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys)

·        Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics or agriculture,geography)
                      
Kozi zifuatazo lazima uwe  na minimum of 4 pts                      
       
·  Bsc. Microbiology
·  Bsc. Molecular biology & Biotechnology
·  Bsc. Biotechnology & Laboratory science
·  Bsc. Food science & Technology
·  Bsc. Agronomy
·  Bsc. Animal science & production
·  Bsc. Wildlife management
·  Bsc. Veterinary medicine
·  Bsc. Forestry
·  Bsc. Agricultural general
·  Bsc. With Education




TATU

KAMA UMESOMA CBG HAPA PANAKUHUSU;
Wanafunzi wanaosomea CBG a level wengi wao huwa na ndoto za kusomea nursing,pharmacy na kozi mbalimbali za afya,lakini kwa mwaka huu mambo yamekuwa tofauti sana,wanafunzi walioma CBG wataruhusiwa kusoma kozi moja tu ya afya ambayo ni Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (ambayo lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics or agriculture,geography).


CHONDE CHONDE

Ninakuomba kama hauna sifa ya kusomea kozi ya afya hapo juu tafadhali usiombe kwani itakugharimu baadae kwa kukosa chuo.


Kozi nyingine ni kama zilivyoainishwa katika wanafunzi waliosoma PCB.


NNE

KAMA UMESOMA PCM /PGM HAPA PANAKUHUSU;

·         All field of Engineering hasa

  • Civil Eng,
  • Mechanical Eng,
  • Electronics & Telecommunications Eng,
  • Electrical Eng,Computer Eng,
  • Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
  • architecture, Quantity Survey, Geomatics,
  • Actuarialscience, Computer science, ICT,
  • Chemical & Processing Eng
  • Industrial engineering
  • Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
  • Geology,
  • Engineering geology
  • Bsc. With Education



 TANO

KAMA UMESOMA EGM,ECA NA HGE HAPA PANAKUHUSU ;

  • Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
  • Bsc. Building Econmics
  • Bsc. Actuarialscience
  • Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
  • Bsc. Architecture
  • Bsc. Geomatics
  • B. A Economics & Statistics
  • Bsc. Computer science , Bsc ICT
  • B.A land management & Valuation
  • B. A Economics
  • B. A Accounting & Finance
  • Bsc. With Education
  • Procurement
  • statistics

       

SITA

KAMA UMESOMEA HGL, HGK & HKL SOMA HII;

  • LL. B (B. Law)
  • B. Land management & Valuation
  • B. A Human resource management

·         All kozi relate with community development & Planning

  • B. A with Education
  • B.LAW ENFORCEMENT UDSM



SABA

KAMA UMESOMEA CBN ,CBA HII INAKUHUSU;

CBN wamepata bahati kwani wao wameruhusiwa kusoma kozi mbili za afya ambazo ni nursing na environment health ambapo inawabidi wawe ni minimum points of 6 in three subjects.Kati ya hayo masomo lazima uwe na C in chemistry,D in biology na E in nutrition.

Kwa upande wa CBA yeye ameruhusiwa kusoma kozi ya environmental health.

Kozi nyinginezo ni kama nilivyoainisha hapo juu katika sehemu ya CBG.



MWISHO

Napenda kumalizia kwa kuwakumbusha wanafunzi wote mnaotaka kufanya maom bi ya vyuo vikuu mwaka huu kwamba application zote zinafanyika chuo husika unachotaka kusoma,maana yake maombi yote itakubidi uyatumie katika chuo unachotaka kusomea.


ENDELEA KUFATILIA BLOG HII KWANI MDA SI MREFU TUTALETA HAPA USHAURI KWA NDUGU ZETU AMBAO HAWAKUWEZA KUFIKISHA POINTS 4 KATIKA MASOMO YAO.NINI WAFANYE ILI WAWEZE KUJIUNGA NA CHUO KIKUU.


Ni mimi

Innocent (blogger boy)

DIRECTOR

MASWAYETU BLOG
(kama unaswali tafadhali tembelea maswayetu.blogspot.com ,tutext  tutakujibu)
Share:

Saturday, 15 July 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017

Share:

TUMIA LINK HII KUANGALIA MATOKEO YA ACSEE FORM SIX NECTA RESULTS 2017

Kumekua na usumbufu wa kuangalia matokeo kidato cha sita 2017

MASWAYETU BLOG tunahakikisha wewe mdau wetu namba moja haukosi issue hii ya muhimu kwa TAIFA, tumekuwekea hapo chini njia nyepesi ya kuangalia matokeo yako.

FANYA HIVI,
Tumia link niliyoiweka hapo chini,then sehem yenye exam number ya shule weka ya shule yako,mfano:hapo chini utabadilisha s0227 na utaweka exam number ya shule yako.


TUMIA LINK HII HAPO CHINI


Thanks

MASWAYETU BLOG TEAM 

PIA UNWEKA KUANGALIA YA SHULE MOJA MOJA HAPO CHINI

>>>>>>http://www.cloudsmedia.ga/
Share:

ACSEE NECTA RESULTS 2017,ARUSHA GIRLS SEC SCHOOL

Namba Namba ya Mtahiniwa Jinsi Daraja Pointi Matokeo
1 S5260/0501 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
2 S5260/0502 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
3 S5260/0503 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-S ADV/MATHS-F ECONOMICS-E
4 S5260/0504 F IV 18 G/STUDIES-S GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-S
5 S5260/0505 F II 11 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-B
6 S5260/0506 F III 14 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-C
7 S5260/0507 F III 13 G/STUDIES-E GEOGR-C ADV/MATHS-F ECONOMICS-C
8 S5260/0508 F III 14 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
9 S5260/0509 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-E
10 S5260/0510 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-S ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
11 S5260/0511 F II 11 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-D ECONOMICS-C
12 S5260/0512 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-S ECONOMICS-C
13 S5260/0513 F II 12 G/STUDIES-F GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
14 S5260/0514 F II 11 G/STUDIES-E GEOGR-C ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
15 S5260/0515 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-C
16 S5260/0516 F III 16 G/STUDIES-S GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
17 S5260/0517 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-S ECONOMICS-S
18 S5260/0518 F III 15 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
19 S5260/0519 F II 12 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
20 S5260/0520 F II 12 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
21 S5260/0521 F II 12 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
22 S5260/0522 F II 12 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-D ECONOMICS-D
23 S5260/0523 F III 15 G/STUDIES-S GEOGR-E ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
24 S5260/0524 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-S ADV/MATHS-F ECONOMICS-E
25 S5260/0525 F II 12 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
26 S5260/0526 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-E
27 S5260/0527 F II 12 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
28 S5260/0528 F II 12 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
29 S5260/0529 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-E
30 S5260/0530 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-S
31 S5260/0531 F IV 19 G/STUDIES-F GEOGR-S ADV/MATHS-F ECONOMICS-S
32 S5260/0532 F II 10 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-D ECONOMICS-B
33 S5260/0533 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
34 S5260/0534 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
35 S5260/0535 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-D ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
36 S5260/0536 F II 10 G/STUDIES-E GEOGR-C ADV/MATHS-D ECONOMICS-C
37 S5260/0537 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
38 S5260/0538 F III 15 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-D
39 S5260/0539 F III 13 G/STUDIES-F GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
40 S5260/0540 F II 11 G/STUDIES-E GEOGR-C ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
41 S5260/0541 F I 8 G/STUDIES-S GEOGR-C ADV/MATHS-C ECONOMICS-B
42 S5260/0542 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
43 S5260/0543 F III 14 G/STUDIES-S GEOGR-D ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
44 S5260/0544 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-E ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
45 S5260/0545 F III 15 G/STUDIES-E GEOGR-E ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
46 S5260/0546 F III 15 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-S ECONOMICS-D
47 S5260/0547 F II 11 G/STUDIES-S GEOGR-C ADV/MATHS-D ECONOMICS-D
48 S5260/0548 F II 12 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-C
49 S5260/0549 F III 13 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
50 S5260/0550 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-E ECONOMICS-D
51 S5260/0551 F III 14 G/STUDIES-E GEOGR-D ADV/MATHS-F ECONOMICS-C
52 S5260/0552 F III 15 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-E
53 S5260/0553 F III 13 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-D ADV/MATHS-E
54 S5260/0554 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-S ADV/MATHS-S
55 S5260/0555 F III 14 G/STUDIES-D GEOGR-C PHYSICS-E ADV/MATHS-S
56 S5260/0556 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-E
57 S5260/0557 F III 15 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-E
58 S5260/0558 F IV 18 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-F ADV/MATHS-F
59 S5260/0559 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D PHYSICS-D ADV/MATHS-E
60 S5260/0560 F III 14 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-E
61 S5260/0561 F III 14 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-E
62 S5260/0562 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-F
63 S5260/0563 F III 15 G/STUDIES-S GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-S
64 S5260/0564 F III 14 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-E
65 S5260/0565 F III 17 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-S ADV/MATHS-F
66 S5260/0566 F III 16 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-S ADV/MATHS-S
67 S5260/0567 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-F ADV/MATHS-F
68 S5260/0568 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-D
69 S5260/0569 F III 13 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-D ADV/MATHS-E
70 S5260/0570 F III 13 G/STUDIES-S GEOGR-D PHYSICS-D ADV/MATHS-E
71 S5260/0571 F IV 19 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-F
72 S5260/0572 F III 15 G/STUDIES-E GEOGR-E PHYSICS-D ADV/MATHS-S
73 S5260/0573 F III 14 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-D
74 S5260/0574 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-S ADV/MATHS-F
75 S5260/0575 F IV 18 G/STUDIES-E GEOGR-D PHYSICS-F ADV/MATHS-F
76 S5260/0576 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-D PHYSICS-E ADV/MATHS-F
77 S5260/0577 F IV 19 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-F
78 S5260/0578 F III 17 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-F
79 S5260/0579 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-S
80 S5260/0580 F III 13 G/STUDIES-E GEOGR-E PHYSICS-D ADV/MATHS-D
81 S5260/0581 F III 14 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-D ADV/MATHS-E
82 S5260/0582 F IV 18 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-S
83 S5260/0583 F II 12 G/STUDIES-S GEOGR-D PHYSICS-D ADV/MATHS-D
84 S5260/0584 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-E ADV/MATHS-S
85 S5260/0585 F IV 19 G/STUDIES-F GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-F
86 S5260/0586 F II 11 G/STUDIES-E GEOGR-C PHYSICS-D ADV/MATHS-D
87 S5260/0587 F IV 19 G/STUDIES-S GEOGR-E PHYSICS-F ADV/MATHS-F
Share:

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017 ACSEE RESULTS

Tumeamua kuweka matokeo ya kila shule kkt website

KUANGALIA SHULE YAKO

Share:

Wednesday, 12 July 2017

ORODHA YA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU MASOMO YA SAYANSI SHAHADA NA STASHAHADA AWAMU YA PILI 2017


Ajira Mpya za Walimu wa Sayansi ,Hisabati na Mafundi Sanifu
Walimu na mafundi sanifu watakao pokea posho ya kujikimu na baadae kutoripoti na kuanza kazi katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene leo katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Dodoma juu ya ajira mpya za walimu wa sayansi na hisabati awamu ya pili pamoja na mafundi sanifu wa maabara kwa mwaka 2016/2017.
Alisema walimu hao na mafundi sanifu wa maabara ambao wamepangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 17 - 31 julai 2017 na kwa wale watakao pokea posho ya kujikimu na baadae kutoripoti watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria .
� kumekuwa na tabia kwa baadhi ya watumishi wanaopangiwa vituo vya kazi kupokea posho za kujikimu na kutokomea bila taarifa yoyote,hivyo basi niwasihi wale wote waliopangiwa waripoti mapema ndani ya tarehe hizo�alisisitiza
Waziri Simbachawene aliongeza kuwa watumishi hao wanatakiwa kufika kwenye vituo vyao vya kazi wakiwa na vyeti halisi vya taaluma vya kidato cha nne na cha sita,cheti halisi cha kitaalam cha kuhitimu mafunzo katika ngazi husika na cheti cha kuzaliwa.
Vilevile alisisitiza kuwa walimu hao pamoja na wataalam wanatakiwa kuripoti katika ofisi za Wakurugenzi wa Halmasahauri husika na baadae kuripoti kwenye shule walizopangiwa na hakutakuwa na uhamisho ndani ya Mkoa au Halmashauri.
Aidha Mhe. Waziri aliwataka Wakurugenzi wa Halmashauri ambazo walimu na wataalam hawa wataripoti wawapokee kwa kuzingatia taratibu na kanuni zote za utumishi na baadae kutoa taarifa mara baada ya tarehe ya mwisho ya kuripoti.
Walimu hao pamoja na mafundi sanifu wa maabara wametokana na tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknologia mwezi aprili 2017 , ambapo kwa awamu ya kwanza walipatikana jumla ya walimu 3,081 na kwa awamu hii Jumla ya walimu 381 na mafundi sanifu wa maabara 137 wamechaguliwa .
Majina ya walimu na mafundi sanifu walioajiriwa yanapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais -TAMISEMI.
Share:

Thursday, 6 July 2017

magazeti ya leo alhamis july 6 2017

Share:

Sunday, 25 June 2017

Magazeti ya Leo Jumapili ya June 25

Share:

Saturday, 24 June 2017

Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 24 2017




Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger