Mbulu. Serikali imetakiwa kupiga marufuku pombe kali zinazofungwa kwenye
pakiti maarufu viroba, ili kuwanusuru vijana na ulevi unaosababisha
Taifa kupoteza nguvu kazi.
Mkurugenzi wa kituo cha wagonjwa wasiojiweza...
Wiki
iliyopita tuliona orodha ya vyakula hatari kwa wajawazito. Orodha hiyo
imekatazwa kuliwa na wajawazito kwa sababu ina madhara kwa afya ya
mtoto. Darasa hili ni muhimu kama mama anahitaji kuzaa mtoto mwenye afya
na akili timamu.Baada ya kujua orodha ya vyakula visivyofaa kwa wajawazito,...
Timu ya Taifa ya Soka ya Cameroon imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la
Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2017 baada ya kuilaza timu ya Taifa ya
Misri kwa mabao 2-1, yaliyofungwa na Nicolas N'Koulou na Vincent
Aboubaka...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe amekutana kwa dharura na mameya, manaibu meya...
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema inawezekana
kuwasajili watoto wote nchini na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa.
Mwakyembe aliyasema hayo katika hafla ya kukabidhi...
Msanii
wa muziki Tunda Man amedai jana alipokea simu nyingi baada ya Mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza list mpya ya majina ya watu
wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya Madawa ya kulevya ilikiwemo
jina la Tunda ambaye ni video queen.
Baadhi
...
NECTA yaachia matokeo ya wanafunzi ambaowamemaliza kidato cha nne 2016 ,Kama
kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia
majina endapo unahitaji kujua matokeo yako;
ILI KUANGALIZIWA FANYA YAFUATAYO;
TAFADHALI FANYA YAFUTAYO KAMA UNATAKA KUANGALIZIWA;
1.TUMA ...
Serikali inatarajia kuajiri Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule
Daraja la II. Ajira hii ni kwa Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule
waliohitimu kati ya mwaka 2013 - 2015.
Hivyo, wenye sifa stahiki na wanaotaka kuajiriwa Serikalini, wanatangaziwa kuwasilisha nakala za vyeti vyao...
NECTA yaachia matokeo ya wanafunzi ambaowamemaliza kidato cha nne 2016 ,Kama
kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia
majina endapo unahitaji kujua matokeo yako;
ILI KUANGALIZIWA FANYA YAFUATAYO;
TAFADHALI FANYA YAFUTAYO KAMA UNATAKA KUANGALIZIWA;
1.TUMA ...