Regional Administrative Secretary of Arusha Adoh Mapunda
The Tanzania Investment Bank (TIB) has agreed to
provide 31bn/- to finance construction of the Arusha Regional referral
hospital which will be erected at the current premises of Mount Meru
Regional Hospital.
Speaking...
This is to inform you that Tanzania Commission for Universities (TCU)
has responded to various requests for admission, transfer from other
institutions and change programme of study at MUhimbili University of
Health and Allied Sciences for academic year 2016/2017 as shown on the
link . Click here...
Baada ya serikali
kusitisha utoaji wa ajira mpya ili kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi wa
umma nchi nzima.Imepanga kutoa ajira mpya kwa waalimu 35,000 katika mwaka wa
fedha wa 2016/2017.
Hayo yamesemwa Disemba 2, 2016 na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za
Mikoa na Serikali...
Tume ya
Uchaguzi nchini Gambia imemtangaza mgombea wa upinzani, Adama Barrow,
kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumapili na kuna taarifa
kuwa tayari Rais Yahya Jameh amekubali kushindwa.
"Ni jambo
la kipekee kwamba mtu ambaye ametawala nchi hii kwa kipingi kirefu kama
hiki amekubali...
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wanachama watano wa Chadema
pamoja na watu wengine watatu wasio raia wa Tanzania waliokuwa
wanakabiliwa na kesi ya uhalifu wa kimtandao.
Hakimu
Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage aliwaachia huru washtakiwa hao jana chini
ya Kifungu...
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepiga marufuku uchapaji holela
wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia kwa wachapaji binafsi na badala
yake uchapaji huo utasimamiwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) ili
kuthibiti ubora.Amesema mbali na kudhibiti wa ubora pia uamuzi...