Sunday, 13 November 2016

Magazeti Ya Leo Jumapili ya Novemba 13



Share:

Saturday, 12 November 2016

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MO-DWEJI SCHORLSHIP CHUO KIKUU UDSM 2016/2017

Home

Mo Dewji Foundation - Scholarship Recipients

 Click Here for more
Share:

HIZI HAPA KURASA ZA NDANI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI NOV 12 2016


Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI NOVEMBER TAREHE 12.11.2016



Share:

Friday, 11 November 2016

SUA:Selected Candidates batch 3 to batch 8 - 2016

Image result for SUANET.AC.TZ
Share:

Batch 6 Allocations for the 2016-2017 SUA continuing students receiving loan from HESLB

Share:

New AUDIO | Dullayo Ft Juma Nature – Sina Papala | Download


11184607_1626962830882340_497341642_n-1
djmwanga1bdownloadlogo
Share:

Sikiliza Hapa Kionjo Cha Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz.


15034856_140312616444647_8315410384202760192_n
Share:

AGIZO LA SERIKALI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA 2016 KWENDA JKT

Serikali amewaagiza wote waliohitimu kidato cha sita Mei mwaka huu na ambao hawajajiunga na vyuo vya elimu ya juu, wakaripoti katika kambi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Desemba Mosi, mwaka huu.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ametoa agizo hilo mjini Dodoma alipozungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Habari wa Bunge.

Dk Mwinyi alisema Mei na Juni mwaka huu, JKT iliwafanyia usaili vijana wa kujiunga na JKT kwa kujitolea. Alisema usaili huo ulifanyika kwa kushirikiana na kamati za ulinzi za wilaya na mikoa.

“Wizara ya Ulinzi na JKT inapenda kuwatangazia vijana wote waliosailiwa Juni mwaka huu, kujiunga na JKT kwa kujitolea, waripoti kwenye kambi walizopangiwa ifikapo Desemba Mosi mwaka huu kwa nauli zao,” amesema Dk Mwinyi.

Dk Mwinyi amesema mafunzo hayo ni ya miezi mitatu kwa mafunzo yenye utaratibu wa kawaida na miaka miwili kwa wa kujitolea.

Ili kufanikisha hilo, Wizara ilimuagiza Mkuu wa JKT kufufua kambi ya Makuyuni JKT iwe miongoni mwa kambi kuanzia Desemba mwaka huu.

Aliagiza kambi za Luwa na Milundikwa za mkoani Rukwa, zirejeshwe kwa shughuli za JKT za kilimo na ufugaji.

Dk Mwinyi alimuagiza Mkuu huyo wa JKT pia kambi ya Mpwapwa irejeshwe kwa ajili ya kuendesha mafunzo ya kilimo na ufugaji ndani ya JKT.
Share:

LIVE: Fuatilia Hapa Zoezi la Kuuaga Mwili wa Samwel Sitta ambalo Linaongozwa na Rais Magufuli

Leo kuna shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Spika wa Bunge Maalum la Katiba(BMK), Marehemu Samwel Sitta.

Rais Magufuli ataongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Marehemu Sitta katika Viwanja vya Karimjee.


==Fuatilia  zoezi hili hapo chini
Share:

Taratibu Za Ajira Za Uhamiaji Kwa Ngazi Ya Askari Na Maafisa


Share:

HIZI HAPA KURASA ZA NDANI ZA MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBER 11 2016


Share:

Magazeti ya Leo Ijumaa nov 11 2016

    Share:
    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    Popular Posts

    Unordered List

    Pages

    Blog Archive


    Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger