Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli ametoa wito
kwa vyombo vya Habari nchini kuwa mbele katika kusimamia Maadili na
kuutangaza Utamaduni wa Mtanzani...
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewataka
watanzania kutumia fursa zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa
ajili ya kuliletea maendeleo ya taifa.
Aliyasema
hayo jana Jijini...
Amesema kwamba;
"Sitambui kama usitishwaji wa ajira bado unaendelea mimi nilisitisha kwa
miezi miwili tuu baada ya miezi hiyo kuisha zoezi la kuajiri liliendelea
na hata juzi tumeajiri madoctor na tunatarajia kuajiri wengine 5000
keshokutwa..ni maneno ya mkuu wa Nchi alipokuwa na mahojiano...
Habari wakuu,
Jana ilikua siku ya 365 tangu ilipotimia November tano mwaka Jana na
nchi yetu kubadilisha utawala wake kwa njia ya kura zilizopigwa mwezi
October.
November tano akaapishwa Daktari John Pombe Magufuli kuwa Rais wa awamu
ya tano akimrithi mtangulizi wake, Rais wa awamu ya nne, Daktari...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekesha usiku wa
kuamkia leo Novemba 4, 2016 ikiwa ni mgomo waliouanza wakilalamikia
masuala mbalimbali yanayohusiana na mikop...
Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu Waombaji wote
walioomba kudahiliwa katika kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada
(Diploma) na Umma kwa ujumla kuwa dirisha la maombi lilifungwa mnamo
tarehe 15 Oktoba 2016 ili kuruhusu...
POLISI
mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa
tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mtihani wa
Taifa.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema kwamba walimu hao wa
shule za sekondari za Zoissa na Mnyakongo...
Serikali
kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna
Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi
wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili kuwapatia
mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.
Taarifa
ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo...
Shirikisho
la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini limemuomba Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa hesabu za Sh
bilioni 1.74 za ada ya uombaji mikopo kwa mwaka huu katika Bodi...