Tuesday, 18 October 2016

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ATC ARUSHA 2016/2017

 
List Of Students Selected By TCU To Join ATC Degree Programmes In 2016-17 Academic Year

The Arusha Technical College (ATC) is hereby releasing the names of selected candidates to join Bachelor’s
Share:

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MBEYA UNIVERSITY-MUST 2016/2017 1ST,2ND AND 3RD ROUND


KUONA MAJINA
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOHN DODOMA 2016/2017 BATCH 3

Image result for SJUT.AC.TZ
KUONA MAJINA HAYO 
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MOUNT MERU 2016/2017

Header_text
Share:

MPYA:HII HAPA LIST YA VYUO VILIVYOTOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SECOND ROUND VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017

Image result for TCU.GO
Habari yako,

Maswayetu blog,tumedhamiria kuwapa vitu roho inapenda hapa
mjini,Tumeamua kukuwekea list ya vyuo vikuu ambavyo vimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na joining instructions za  kujiunga na vyuo vikuu 2016/2017-SECOND ROUND



CHUO KIKUU TUMA-MBEYA                (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA MWL.NYERERE DAR & ZANZBAR CAMPUS                                   (2ND ROUND)                                                 >>BONYEZA HAPA<<                                                                                                                
CHUO KIKUU UDOM                             (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU SUA                                 (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU MUST                              (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO - OUT                                           (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO - KIKUU SEKOMU                      (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO - RUGAMBWA-SAUT BUKOBA  (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU ST.MARKS CENTER      (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU MIPANGO DODOMA    (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU ECKERN FORD             (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU RUAHA-IRINGA            (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU MWLNYERERE DAR     (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU TUMAINI-DAR              (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU ST.JOHN                         (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU MWENGE                       (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU ZANZBAR                        (2ND ROUND)  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO KIKUU IRINGA                         (2ND ROUND)     >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA MIPANGO DODOMA      (2ND ROUND)     >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA IFM                                      (2ND ROUND)     >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA UDSM,MUCE&DUCE       (2ND ROUND)   >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA MAKUMIRA-ARUSHA (SECOND ROUND)>>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA ARUSHA UNIVERSITY    (2ND ROUND)>>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA STEFANO MOSHI  (1ST &2ND ROUND)>>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA MARIAN (SECOND ROUND)                    >>BONYEZA HAPA<<


CHUO CHA SAUT-MWANZA (SECOND ROUND)       >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA TEKU(SECOND ROUND)                           >>BONYEZA HAPA<<


CHUO CHA MUCCOBS/MOCU(SECOND ROUND)     >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA BUGANDO(SECOND ROUND)                   >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA JORDAN (SECOND ROUND)                       >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA AMUCTA(SECOND ROUND)                       >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA KIU(SECOND ROUND)                                  >>BONYEZA HAPA<<

CHUO CHA MUM(SECOND ROUND)                               >>BONYEZA HAPA<<


CHUO CHA MWEKA SECOND ROUND)                          >>BONYEZA HAPA<< 

 
CHUO CHA AJUCO SONGEA( 2ND ROUND)                  >>BONYEZA HAPA<< 
 
Share:

Jambazi Awajeruhi Kwa Bomu Askari na Raia Wanne Kigoma

Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 14. 

Alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Yahya Kamuhanda (49) mkazi wa kijiji hicho. Mtui aliwataja majeruhi hao kuwa ni askari polisi F.3187 Koplo Isaya na raia Saidi Mohamed, Seleman Kashali, Joseph Daudi na Hassan Nasibu, wote wakazi wa Kijiji cha Uvinza. 

Alisema askari walipata taarifa kutoka kwa raia wema kwamba Kamuhanda anajiandaa kufanya uhalifu hivyo waliweka mtego eneo la Uvinza Madukani alikokwenda kununua mahitaji. 

Alidai kuwa alipotambua anafuatiliwa alitupa bomu ndipo polisi walimpiga risasi mguuni na wananchi walimvamia na kumshambulia kabla ya askari kutumia nguvu kumwokoa asiuawe kwa kipigo. 

Mtui alisema mtuhumiwa alipohojiwa alisema alificha bunduki kijijini kwao Lukole wilayani Ngara mkoani Kagera, ambako askari walikamata SMG yenye namba 78GA5062 ikiwa imefukiwa ardhini.

 Pia, walikamata magazini saba, moja ilikuwa na risasi 40, nne (risasi 30 kila moja) na mbili (risasi 20 kila moja) na risasi 75 zilikuwa kwenye mfuko wa sandarusi. Pingu moja na funguo zake, maski tisa na laini 20 za mtandao wa Halotel ambazo hazijasajiliwa. 

Mtui alisema mtuhumiwa huyo alifariki dunia juzi akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma (Maweni). Alisema majeruhi wote watano walipata matibabu hospitalini hapo na waliruhusiwa kurudi nyumbani. 

Share:

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Afikishwa Mahakamani Kwa Kosa La Kumtishia Bastola Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki)

Ilikuwa kama mchezo wa kuigiza kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Emmanuel Mkumbo kufikishwa ili apandishwe kizimbani kujibu mashtaka sita, likiwamo la kutishia kuua. 
Tukio zima la kumpeleka mahakamani, kumpandisha kizimbani na kumsomea mashtaka kwa muda wa dakika 30 hivi lilitawaliwa na vituko. Kwanza, ni jaribio la kuwaficha wanahabari. 
Kabla ya kufikishwa mahakamani, Polisi mkoani Morogoro iliwaarifu wanahabari kuwa ingetoa taarifa kuhusu mkurugenzi huyo lakini saa 4:30 asubuhi wakati Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Ulrich Matei akijiandaa kuzungumza nao, alipigiwa simu akatoka nje ya ukumbi na aliporejea alisema hawezi kutoa taarifa tena na akaondoka. 
Waandishi walipofika mahakamani saa 5:00 asubuhi walikuta Kamanda Matei akishuka kwenye gari na alipanda tena akasogea kando kuzungumza na baadhi ya askari wake. 
Pili, baada ya hakimu kumaliza kusikiliza kesi hiyo, Mkumbo hakurudishwa mahabusu mahakamani hapo kama ilivyo ada ili kusubiri utaratibu mwingine badala yake mshtakiwa huyo alihamishiwa chumba cha hakimu ambacho hakikuwa na kesi inayoendelea. 
Humo ndugu zake walimpelekea koti kubwa jeusi na kofia aina ya pama, hivyo alitoka akiwa tofauti na alivyoingia akiwa na fulana yenye rangi nyeupe, bluu na nyeusi. Baada ya kuvaa alitoka akiwa amezingirwa na polisi, huku ndugu wakiwazuia wanahabari kumpiga picha. 
Mashtaka dhidi yake
Mkumbo ambaye ni mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam alipandishwa kizimbani kujibu mashtaka sita, la kwanza likiwa la kutishia kuua kwa bastola na la pili ni la usalama barabarani lenye makosa matano.
Alisomewa mashtaka hayo na mawakili wa Serikali Sunday Hyera na Edgar Bantulaki. Katika shtaka la kwanza, mbele ya hakimu Agripina Kimaze anadaiwa Oktoba 15, saa 10:30 jioni alitenda kosa la kutishia kuua eneo la Mkambarani, Manispaa ya Morogoro.
Anadaiwa katika shtaka hilo la jinai namba 226 la mwaka 2016, alitishia kumuua kwa bastola askari namba 5057, Koplo Tuti Ndaga wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, kinyume na kifungu namba 89 (1),(2),(a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu namba 16. 

Katika shtaka la pili la ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani lenye makosa matano, ilidaiwa kuwa; kwanza, siku na muda huo eneo la Mbuyuni Mkambalani, mshtakiwa alikuwa akiendesha gari aina ya Toyota Prado lenye rangi ya kijivu bila kuwa na leseni. 
Pili, ilidaiwa alikuwa akiendesha gari hilo ambalo halikuwa na bima; tatu, alikutwa akiendesha kwa mwendo kasi; na nne, alikataa kupeleka gari Kituo cha Polisi cha Kingoluwira kama alivyoamriwa na askari, WP namba 5392 Sajenti Anna. 
Ilidaiwa katika shtaka la tano kwamba, wakati akiendesha alisimamisha gari katikati ya barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam kwa uzembe, bila uangalifu wala kuzingatia watumiaji wengine wa barabara. Mkurugenzi huyo alikana mashtaka yote yanayomkabili.
Hakimu Kimaze alitoa masharti ya dhamana kwa mshtakiwa kwamba awe na mdhamini mmoja kwa kila shtaka, yaani shtaka la jinai na la usalama barabarani lenye makosa matano, wote wawe wakazi wa Morogoro na mmoja akitakiwa kuweka dhamana ya Sh500,000 kwa kosa la kwanza na Sh1 milioni kwa kosa la pili. 

Mshtakiwa alikidhi masharti ya dhamana na kuachiwa huru, huku gari likiendelea kushikiliwa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Morogoro.
Hakimu Kimaze aliahirisha shauri hilo hadi Oktoba 31, usikilizwaji wa awali utakapoanza baada ya upande wa mashtaka kudai upelelezi umekamilika.
Share:

Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE OCTOBER 18 2016



Share:

Basi la Barcelona Lapata Ajali na Kuua Watu 10 Mkoani Lindi

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Lindi  kupata ajali eneo na Miteja mkoani Lindi.

Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Renata Mzinga imesema kuwa chanzo cha ajali hiyo kimetokana na tairi ya gari ya upande wa kushoto kupasuka na kutokana na mwendo wa kasi wa basi hilo, dereva alipoteza uelekeo ndipo likapinduka.

Pia Kamanda Mzinga amesema kuwa wamechunguza na kugundua kua licha ya kuwa basi hilo lilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 48, wakati basi hilo linapata ajali kulikuwa na abiria 54 kitu ambacho ni kosa kisheria.

Aidha, Kamanda Mzinga amesema kuwa bado wanaendelea na uchunguzi kuweza kubaini alipo dereva ili kuweza kufahamu ni kipi hasa kilichotokea. Hadi sasa wanamshikilia kondakta wa basi hilo lakini bado hajaweza kuelezea tukio halisi.
Share:

Monday, 17 October 2016

MPYA:TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT LEO TAREHE 17.10.2016

Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AMUCTA TABORA,FIRST,SECOND AND THIRD BATCH 2016/2017

 Image result for AMUCTA.AC.TZ
Share:

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu October 17, 2016


habar1
Share:

WAFANYAKAZI NEW HABARI CORPORATION HATARINI KUWA VIZIWI

Share:

Mfanyabiashara wa Mwanza ajishindia lori la Konyagi


kona1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Devis Deogratius akiongea na  mawakala na wageni waalikwa
kona2
Mfanyabiashara  Julius  Masalu mkazi wa Mwanza (katikati) akipokea funguo za gari alilojishindia katika droo ya promosheni ya Nunua,Uza ,Shinda na Konyagi iliyohusisha mawakala wa kuuza bidhaa za kampuni ya Tanzania Distillers Ltd (TDL) kutoka kwa Meneja wa Chapa ya Konyagi,Martha Bangu (Kulia),anayeshuhudia kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TDL,Devis Deogratius.Droo ya pili ya promosheni hiyo ilifanyika  mwishoni mwa wiki katika viwanja vya hoteli ya Kili Home mjini Moshi mwishoni mwa wiki ikihusisha washiriki 31 kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa
kona3
Baadhi ya maofisa wa TDL na mawakala katika picha ya pamoja
kona4
Mawakala wa Konyagi wakiserebuka wakati wa hafla hiyo
kona5
Meneja Masoko wa TDL,George Kavishe akiwashukuru mawakala walioshiriki kwenye promosheni hiyo
Mfanyabiashara  Julius  Masalu (58) mkazi wa Mwanza ameibuka mshidi wa gari aina ya Eicher lenye thamani ya shilingi milioni  56  katika mzunguko wa pili wa bahati nasibu ya Promosheni ya  Nunua,Uza ,Shinda na Konyagi iliyohusisha mawakala wa kuuza bidhaa za kampuni ya Tanzania Distillers Ltd (TDL).
Droo ya pili ya promosheni hiyo ilifanyika  katika viwanja vya hoteli ya Kili Home mjini Moshi mwihoni mwa wiki ikihusisha washiriki 31 kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa na kusimamiwa na afisa wa Bodi ya Taifa ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdul Hussein.
Akiongea kwa furaha baada ya kutangazwa kuwa mshindi, Masalu alisema ametoka Mwanza akiamini kuwa atajishindia gari hilo na kwamba bahati nasibu hiyo imeendeshwa kwa uwazi na hakuna upendeleo unaoweza kufanyika.
“Katika bahati nasibu hii hakuna  longo longo,shindano limeendeshwa kwa uwazi mkubwa sana na namshukuru Mungu kwa kuweza kupata zawadi hii ya gari itanisaidia sana katika kusambaza bidhaa zakampuni  ya konyagi kwa wateja wangu,” alisema Masalu.
Kaimu Meneja  Mkuu wa Konyagi, Devis  Deogratius alisema dhumuni ya promosheni hiyo ni  kukuza uhusiano wa kibiashara na wasambazaji wa bidhaa za TDL pamoja na kuwapatia kifaa kitakachosaidia katika kupanua masoko ,kusambaza na kuongeza ufanisi.
“Safari ilianza mwezi wa saba hadi mwezi wa tisa ,kumekuwa na usawa katika mchakato huu wa kumpata mshindi na hakuna upendeleo wowote ,wale ambao wamefikia malengo wamefika katika promosheni hii  na kuwepo hali ya usawa katika kushinda zawadi ya gari”alisema Deogratius.Alisema mbali na mshindi huyo wa gari  katika droo hii ya kwanza washiriki  watano walibahatika  kujishindia katoni 10 za Konyagi kila mmoja.
Baadhi ya washiriki katika droo hiyo, Mkamba Zephania na Joas Muganyizi  walisema wameridhishwa na mchakato mzima ulivyofanyika katika kuchezesha droo na wala hapakuwa na kasoro ama udanganyifu wowote.
“Kampuni ya TDL kupitia bidhaa yake ya Konyagi katika promosheni ya Nunua  Uza,Shinda na Konyagi imesaidia kuwakutanisha wafanyabiashara wa maeneo mengine ya kanda ya Kaskazini na kanda ya ziwa hali inayochangia kuongeza wigo katika kufanya biashara”.Alisema Muganyizi.
Washindi wengine waliojinyakulia katoni 10 kila mmoja za bidhaa ya Konyagi na maeneo wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na Linus Mathew (Kagera) Msemo Enterprises (Arusha) ,Joace Muganyizi(Bukoba) Mkamba Zephania (Bariadi) na Yohana Masunga (Geita).
Huu ni mzunguko wa pili wa droo ya bahati nasibu ya Promosheni ya Nunua Uza,shinda na Konyagi ambapo katika droo ya kwanza mfanyabiashara Grace Oroki,  mkazi wa Jijini Dar es salaam, alijinyakulia gari kwa mawakala wa kuuza bidhaa za kampuni ya TDL wa mikoa ya Nyanda za juu Kusini na Pwani. 
Share:

WAZIRI MKUU AAGIZA MAPATO YA HOSPITALI YA NACHINGWEA YAKUSANYWE KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI


imgm9052
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.
Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba 16, 2016) wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Nachingwea akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Lindi.
Waziri Mkuu amesema Serikali ilishaagiza taasisi zote za umma kutumia mfumo wa kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato kwa lengo la kudhibiti mianya ya upotevu wa fedha za umma.
Amesema taasisi ambazo tayari ziameanza kutumia mfuko huo katika ukusanyaji wa mapato zimeweza kuongeza kiwango cha makusanyo kutoka sh. 300,000 hadi milioni nne kwa siku.
Pia aliwaagiza viongozi wa wilaya hiyo kuendelea kuwahamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ambao utawawezesha kupata huduma ya matibabu bure katika kipindi cha mwaka mzima.
Akizungumzia kuhusu matibabu kwa wazee, Waziri Mkuu amemuagiza Bw. Mohammed kuhakikisha anafungua dirisha la kuwahudumia wazee ili kuwarahisishia upatikanaji wa huduma wanapofika hospitalini hapo.
“Mkurugenzi hakikisha watendaji wako wa kata na vijiji wamebaini wazee wote katika maeneo yao na kuwatengenezea vitambulisho vitakavyowawezesha kupatibiwa bure,” amesema.
Naye Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dk. Samwel Laizer amesema muamko mdogo wa jamii kujiunga na CHF ni moja kati ya changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za afya.
Dk. Laizer amasema kati ya kaya 30,000 zilizoko wilayani Nachingwea ni kaya 7,133 tu ndizo zilizojiunga na mfuko wa CHF.
Awali Waziri Mkuu alizungumza na watumishi wa wilaya hiyo kwenye ukumbi wa Chuo Cha Walimu na kuwataka wabadilike ili waweze kuwatumikia wananchi kwa uadilifu bila ya kujali itikadi zao za kidini na kisiasa.
Amesema Serikali haitamvumilia mtumishi yeyote atakayeshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuwatumikia wananchi. “Serikali haitaridhika kuona wananchi wakizagaa kwenye ofisi za halmashauri hiyo bila ya kusikilizwa,” amesema.
Share:

Grants Assistant at ACDI/VOCA


ACDI/VOCA, an International NGO with Headquarters based in Washington, D.C., is currently advertising for the position outlined below for the Cereals Market System Development (CMSD) Activity. CMSD is a four-year project funded by The United States Age, for International Development (USAID), which promotes economic growth by facilitating the competitiveness of the smallholder-based rice and maize value chains, especially in rural areas.

Position:Grants Assistant

Location:lringa

Job Summary:

The Grants Assistant is a member of the CMSD Grants team. The primary role of the Grants Assistant is to work with the Gran. Manager to ensure that grants are executed in an efficient and timely manner, in full compliance with ACD/VOCA grants policies and procedures, as well as USAID rules and regulations. The Grant& Assistant works with the Grants Manager on ensuring the integrity and transparency of the process of identifying grantees and the procedures used to award them. S/he ensures that processes and procedures are clear and clearly communicated to staff, applicants, grantees and subcontractors.

Key Responsibilities:

• Participate in improving/clarifying processes and procedures for awarding and administering grants, and propose corrective action when these are unclear or causing unnecessary delays

• Collect and safely store received prequalification applications and submit to Grants Manager for processing Distribute grant applications to evaluation committee and with collaboration with Grants Manager, perform Pre-Award Assessments

• Coordinate approval of milestones/deliverabies and payments to grantees

• Ensure that all grants files are well filed and property documented according to the grant documentation checklist requirement

• Ensure and Make proper filing and documentation of Grantees files with respect to the grant documentation check list

• In the absence of Grants Manager, serve as a non-voting member of the grant application evaluation committee

• Identify and document any problems or shortcomings of grantee performance, recommend corrective actions, and communicate these to the Grants Manager and appropriate personnel in timely fashion

• Review and analyze grantee budget estimates for allow ability and reasonableness, and consistency and routinely spot check visit grantees to ensure that funds allocated are used for specified purposes

• In close collaboration with Grants Manager, conduct internal training sessions on CMSD grants Processes including the preparation of grant applications, financial management and reporting requirements

• In close collaboration with Grants Manager, conduct mandatory training for all grantees regarding administration and technical reporting requirements

• Engage and facilitate interaction with our technical team to ensure that roles and responsibilities in the granting ()MGM are clear and clearly communicated

Qualifications and Experience:

• University Degree in Accounting, Finance, Business Administration, Economics or related field with at least 1.2 years of work experience in Grants Management, Accounting, or Finance

• Proven knowledge of USAID rules and regulations, preferred with International NGO experience.

• High level of English, both spoken and written English,strong communication and interpersonal skills 

Application Instructions:

To apply for this position, qualified candidates should submit an application letter describing why he/she is the best fit for this position, and a curriculum vitae detailing relevant work experience with three referees to hr@nafaka-tz.org.

Closing date for applications is 21st October 2016 (Only shortlisted candidates will be contacted)
======== ============
Are you disappointed by fruitless job applications and never get shortlisted? The problem is not you, its your CV. This comes to an end, Now for outstanding CV and Jobs professional advice, contact Bright Professionals Tanzania  and grab your dream job. We  also prepare social science business researches  and proposals.
Email cv.bptz@gmail.com
Phone +255 678 226 793
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger