
Tuesday, 11 October 2016
Monday, 10 October 2016
Breaking News:TCU IMEFUNGUA APPLICATION THIRD(3RD) ROUND KWA WANAFUNZI WALIKOSA NAFASI FIRST AND SECOND ROUND 2016/2017
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA
TANGAZO
KWA UMMA
Tume ya
vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa imekamilisha kuchakata maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu
na Taasisi za Elimu ya Juu kwa awamu ya kwanza na ya pili. Orodha na
majina ya walichaguliwa yameshapelekwa
vyuoni kwa ajili ya kuiidhinishwa na Seneti za vyuo husika. Baadhi
ya vyuo vimeshaanza kuyatangaza.
BREAKING NEWS:CHUO KIKUU MUM KIMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Hatimae chuo kikuu MUM kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba mkopo kwa ajili ya masomo yao chuoni hapo,kwa awamu ya kwanza.
APPROVED LIST YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU MUM FORM SIX AND DIPLOMA 2016/2017-FIRST BATCH
Mwalimu Auawa,Anyofolewa Kiganja cha Mkono wa Kulia
Mwalimu
Israel Mlowasa (40) wa Shule ya Sekondari Nkuhungu katika Manispaa ya
Dodoma, amekutwa ameuawa nyumbani kwake na kiganja chake cha mkono wa
kulia kukatwa na kuondoka na wauaji hao.
Taarifa
iliyotolewa na Jeshi la Polisi inasema kwamba mauaji hayo yamefanyika
juzi maeneo ya Chang’ombe Extension katika Manispaa ya Dodoma.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari ya Nkuhungu, Fidelis Kaishozi alisema mwalimu
huyo alipotea tangu Oktoba 2, mwaka huu na taarifa kutolewa Polisi.
Imeelezwa kuwa maiti ya mwalimu huyo ilikutwa katika pagala la nyumba eneo la Nkuhungu.
Hakuna
mtu aliyekamatwa kuhusu mauaji hayo, msako mkali unaendelea ili kubaini
wahusika na mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa Dodoma
kwa uchunguzi zaidi wa madaktari.







