Mtumishi atakayekwenda kusomea FIRST DEGREE anatakiwa achukue LIKIZO
ISIYO NA MALIPO na hastahili kulipwa chochote na Mwajiri wake ikiwa ni
pamoja na kutolipwa Mshahara kwakuwa HAYUPO KAZINI.
Hakuna malipo yoyote ya UHAMISHO kwa Mtumishi atakayehamishwa umbali usiozidi kilometa 10....
Mamlaka ya mapato Tanzania 'TRA' imetoa
ufafanuzi kuhusu kodi ya ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha
kuwa marekebisho ya sheria ya mwaka 2014 yaliyopitishwa na bunge
yanayolenga kutoza kodi la ongezeko la thamani kwa kiwango cha 18%
kwenye ada ambazo benki inatoza wateja wake kwenye...
Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo
imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu
ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao...
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amesema Halmashauri zitaelekezwa kwa waraka ni
vyanzo vipi vitahitaji kutumia wawakala wa ukusanyaji mapato kwani siyo
kila chanzo cha mapato ya Halmashauri kitakusanywa kwa ufanisi kwa
kutumia au kwa kutotumia mawakala.
Waziri
Mkuu ametoa agizo...