INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
RAIS
John Magufuli (pichani) amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga
kumaliza makosa yote yaliyojitokeza huko nyuma ikiwemo tatizo la
watumishi na wanafunzi hewa lililoibuka hivi karibuni.
Amewataka
Watanzania kuacha kuingiza siasa kwenye...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAUAJI
ya Watanzania kwa njia ya kuchinjwa yanaendelea kushika kasi baada ya
usiku wa kuamkia jana wakazi wanane wa kitongoji cha Kibatini, kata ya
Mzizima jijini Tanga kukusanywa kwa mwenyekiti wa kitongoji na kisha
kuuawa kwa kuchinjwa shingo na watu...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
RAIS
wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna nchi au jumuiya za
kimataifa zitakazomwondoa madarakani yeye kwa sababu amechaguliwa
kihalali na wananchi kwa kura nyingi kwa mujibu wa Katiba.
Dk
Shein alisema hayo wakati akizungumza na wanachama...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SERIKALI
ya awamu ya tano imesema kuwa itaendeleza jitihada za kutunza na
kulinda urithi wa dunia ikiwemo kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi
maeneo ya uhifadhi ili watanzania wote waweze kunufaikana rasilimali za
nchi .
Hayo
yalisemwa na ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JUMUIYA
ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) imesema kilichotokea
si walimu kugoma kufundisha programu ya Stashahada Maalumu ya Elimu,
Sayansi, Hisabati na Tehama, bali tatizo ni kutoelewana na Menejimenti
ya chuo kutokana na mazingira mabovu...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa mambo ya malikale na
uhifadhi wa urithi asilia (natural heritage) watafute mbinu
zitakazoimarisha utunzaji wa rasilmali hizo bila kuathiri mifumo ya
uchumi ya nchi zinazoendelea.
Ametoa
wito huo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SERIKALI
imeitaka wakala wa usajili,Ufilisi na Udhamini, RITA, kuhakikisha
inatoa elimu ya kutosha kwa wananchi kuelewa umuhimu wa kuandika wosia
na mirathi ,ili kuondoa migogoro kwa familia wakati wa kugawa mirathi ya
marehemu.
Rai hiyo imetolewa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KWA UMMA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli,
amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Kufuatia
uteuzi huo, Waziri wa Nishati na Madini...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
John Magufuli amesema Serikali yake itaendelea kupambana na wanaoingiza
bidhaa zilizochini ya kiwango na wale wanaokwepa kodi.
Amesema kwa kufanya hivyo, wanachangia kuviua viwanda vya ndani ya nchi.
Rais
Magufuli ameyasema hayo jana kwenye hafla ya utaoji...