INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Minister for Education and Vocational Training Joyce Ndalichako.
St Joseph University of Tanzania (SJUIT) will run next
academic year due to start in October without new students, succumbing
to pressure by the nation’s high academic overseer organization,
Tanzania...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Taarifa
zilizotufikia hivi punde zinasema, Gari lenye namba za usajili T598 BEL
Toyota Landcruser,limepata ajali maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dereva
hajafahamika kutokana na kuungua .Gari lipo Polisi Kawe.
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANZIA
Marehemu Victoria Rubambimpala
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anasikitika kutangaza kifo cha Bibi. Victoria Rubambimpala, (Katibu Muhutasi) kilichotokea tarehe 1 April, 2016 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taratibu
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wananchi wa kijiji cha Dete kata ya Tununguo wilaya ya Morogoro
wamemtaka mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Stephene Kebwe kufika kijijini
hapo kujionea utendaji kazi wa askari polisi wa kituo cha Ngerengere
kufuatia mtu mmoja kuuawa kikatili na watu wasiojulikana bila...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mtu
mmoja amefariki dunia, huku mwingine akijeruhiwa baada ya kuchomwa visu
wakati wa ugomvi uliotokana na wivu wa mapenzi wilayani Ilemela mkoani
Mwanza.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Justus Kamugisha alimtaja aliyeuawa kuwa ni
Makororo Kitota (26) ambaye...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Hawa ni baadhi ya waagwa wakiwa wamependeza kwelikweli)
Binza secondary school ni moja ya shule iliyopo mkoani simiyu wilaya ya Maswa,ambayo leo hii wamefanikiwa kufanya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha sita na kuwakaribisha kidato cha kwanza mwaka wa 2016...