INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI (Jeshi la Magereza)
TANGAZO LA KUITWA CHUONI
Kamishna
Jenerali wa Magereza Tanzania Bara anawatangazia wafuatao kuwa
wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza baada ya Usaili kufanyika
katika kambi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MARUCO JOINING INSTRUCTION FOR MARCH 2016 INTAKE
MARUCO FEE STRUCTURE FOR MARCH 2016 INTAKE
ANNOUCEMENT FOR CERTIFICATE AND DIPLOMA COURSES...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Serikali kuajiri watumishi wa afya 10,000
Serikali inatarajia kuajiri watumishi 10,000 wa sekta ya afya katika
mwaka ujao wa fedha ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu wa fani
hiyo nchini.
Hayo yalisema jana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mbunge wa Sumve, Richard
Ndassa amepandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu leo akituhumiwa kuomba
rushwa ya Shilingi milioni 30 akiwa kwenye Kamati za Bunge.
Ndasaa
anakuwa mbunge wa nne wa CCM kupandishwa mahakamani ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Aliyekuwa
Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Harry Kitilya na wenzake Shose Sinare na Sioi
Solomoni wamefikishwa mahakamani (Kisutu DSM) leo kwa mashitaka 8
ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 6,
mwezi Machi mwaka 2013, ili kufanikisha mkopo kutoka...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAASISI
ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo tarehe 1/4/2016
imewafikisha Mahakamani aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania na Mwenyekiti wa ‘Enterprise Growth Market Advisors Ltd’ (EGMA),
Bw. Harry Msamire Kitilya; aliyekuwa Mkuu wa Idara...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BARAZA
Kuu la Waislaam nchini (Bakwata) kwa kushirikiana na Shia wamekabidhi
msaada wa madawati 500 kwa serikali ili kusaidia upungufu wa madawati
katika shule za msingi na sekondari.
Akizungumza
katika hafla ya kukabidhi madawati, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bi. Hilda Nkanda Kabisa kuwa Kamishna wa kazi.
Kabla
ya Uteuzi huo, Bi. Hilda Nkanda Kabisa alikuwa Mkurugenzi Msaidizi,
Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli jana alimpigia
simu mtangazaji wa kipindi cha Clouds360 cha CloudsTv, Hudson
Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu mshahara wa Rais.
Rais alisema mshahara alioukuta na ambao analipwa ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza
kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.
Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme
Tanzania TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe sambamba na...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Transferred Students from St. Joseph University to The University of Dodoma
IMPORTANT ANNOUNCEMENT
TRANSFERRED STUDENTS FROM ST. JOSEPH UNIVERSITY TO THE
UNIVERSITY OF DODOMA
This is to inform all students transferred from St. Joseph University
in Tanzania...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kondakta wa daladala, Hamim Seif (42) mkazi wa Mwananyamala
Ujiji, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
akikabiliwa na shtaka la kutishia kumuua Rais John Magufuli kwa maneno.
Seif
alipandishwa kizimbani mahakamani hapo jana mchana na kusomewa...