INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
...
Tuesday, 6 October 2015
Monday, 5 October 2015
DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA BUGANDO KWA WANAFUNZI MLIOCHAGULIWA BUGANDO 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tunaendelea kukupa urahisi wa kupata
vitu endapo umechaguliwa...
DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS NA ADA KWA MLIOCHAGULIWA CHUO KIKUU SAUT 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tunaendelea kukupa urahisi wa kupata
vitu endapo umechaguliwa CHUO KIKUU SAUT DOWNLOAD ur joining
instructions hapa chini;
JOINING INSTRUCTIONS FOR Diloma, Certificate and Undergraduate Students ...
DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA UDSM KWA WANAFUNZI MLIOCHAGULIWA UDMS,MUCE NA DUCE 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tunaendelea kukupa urahisi wa kupata vitu endapo umechaguliwa kati ya udms,duce na muce DOWNLOAD ur joining instructions hapao chini;
Form B Medical Examination
Joining Instructions 2015_2016
Registration Form for Freshers 2015_201...
Sunday, 4 October 2015
BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari kijiji iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA...
Saturday, 3 October 2015
USAILI WA MITIHANI YA MCHUJO DUCE TAREHE 12/10/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KADA HUSIKA KATIKA USAILI
AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
AFISA UTUMISHI II
AFISA TAWALAI II
KATIBU WA KAMATI
AWAMU YA PILI: SAA TATU KAMILI ASUBUHI
AFISA TARAFAI II
AFISA USIMAMIZI WA FEDHA
AFISA BIASHARA II
AWAMU YA TATU: SAA TANO...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WANAJESHI NA KURUTA WALIOKFARIKI KWA AJALI KAMBI YA BUROMBOLA -KIGOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MKUU
WA JESHI LA KUJENGA TAIFA, MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ATAONGOZA KUTOA
HESHIMA ZA MWISHO KWA MIILI YA MAREHEMU ASKARI WAWILI PAMOJA NA VIJANA
WATANO WALIOKUWA WANAPATIWA MAFUNZO YA JKT KAMBI LA BULOMBORA
WALIOFARIKI DUNIA...
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA UFUNDI ARUSHA ATC 2015/16

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,
hatimae Chuo kikuu cha ufundi arusha tech ATC NACHO kimetangaza
approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki kwa kozi za digrii mbalimbali mwaka wa masomo 2015/16
Kama
kawaida yetu...