INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya serikali kukaa kimya kwa mda mrefu atimae imetangaza Majina ya wanafunzi waliokosea kujaza fomu za mikopo.
Kama kawaida yetu TANGA YETU &MASWAYETU BLOG Tupo hapa
kuhakikisha unapata habari kwa wakati,endapo utataka kuangaliziwa jina lako umechaguliwa
shule gani fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0652740927mfano:PAUL
PAUL(helsb 2015/16)







Tangazo
la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka
2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa
kujiunga na jeshi la Polisi.





