Tuesday, 21 April 2015

KANYE WEST AZINDUA BIBLIA YAKE,AJIITA MUNGU !! BIBLIA HIYO IKO HAPA


Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka jina lake.
Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasema kuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vile vile kiongozi wa kidini
Kitabu hicho kinaongezea kwamba ''katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu''
Japokuwa Kanye hajatoa tamko lolote kuhusu wadhfa huo aliojipatia,amekuwa akijifananisha na Mungu hapo mbeleni.
''Mungu alinichagua mie,alinitengezea njia.Mimi ni chombo cha mungu'',alisema mwaka 2009.
''Lakini kinachoniudhi maishani mwangu ni kwamba sitawahi kujiona nikicheza muziki moja kwa moja''.,aliongezea.
Wasanii wengine waliofananishwa na Yeezy ni Marilyn Monroe na Michael Jackson.
Via>>BBC
Share:

Dangerous pest destroying major food crops.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Pawpaws heavily infested by mealybug and (R)
Share:

23 Tanzanians at safety camp seeking shelter from xenophobic attacks in SA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Foreign Affairs and International
Share:

PSPF partners with Maxmalipo for electronic payment services to boost monthly collections.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

The Deputy Minister for Informational,
Share:

News:"2015 CNN Multichoice African Journalists Awards launched."

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

CNN International Executive Vice
Share:

AIRTEL LAUNCHES COST EFFECTIVE WI-FI SERVICE FOR STUDENTS-READ HERE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Airtel UNI Wi-Fi Marketing
Share:

NEWS:"SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 21 2015"-KUBWA ZAIDI ZITTO AMPYA MASHARTI LOWASA KUJIUNGA NA ACT"-SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Monday, 20 April 2015

NEW VIDEO:"DOWNLOAD VIDEO |Ben Pol - Sophia "

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

https://www.youtube.com/watch?v=81i3dybXK8U
Share:

AUDIO"DOWNLOAD AYLER-SOPHIA REMIX YA 4"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

New AUDIO[RMX] | Ayler - Sophia Cover | Download

Share:

NEWS:"CHUO KIKUU BUGANDO CHATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA DIPLOMA NA DIGRII 2015/2016"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                     Tokeo la picha la BUGANDO

ADVERTISEMENT OF INVITATION FOR ADMISSION DIPLOMA COURSES 2015-2016--

Share:

AUDIO:"JOHN MNYIKA NAYE AMSHAMBULIA ZITTO KABWE KWENYE MKUTANO HUKO MUSOMA,ADAI ZITTO NI ADUI NAMBA MOJA WA CHADEMA"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                            Tokeo la picha la MNYIKA
Nilitegemea kwamba wapinzani wataenda katika uchaguzi wakiwa kitu kimoja na imeanza kudhihirika
Share:

NEWS:"WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO KUHUSU WATANZANIA WALIOPO SOUTH AFRICA,AAGIZA WARUDISHWE TANZANIA"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (pichani) ametoa tamko
Share:

NEW VIDEO " Afande Sele ft. Lusumo & Bush Dada – Soma Ule (Official Music Video)"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Msanii afande sele ambae kwa sasa ni  mwanachama wa chama cha ACT amezindua video mpya,maswayetu blog tumeifatilia na tumeipata,iangalie hapa
Screen Shot 2015-04-20 at 4.36.10 PM
Share:

READ:"RThe group of rights advocates inclusion of marginalised groups in politics."

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


TAMWA Executive Director Valerie Msoka.
Share:

AUDIO:"ZITTO ATANGAZA KWAMBA ENDAPO LOWASSA ATAKATWA JINA CCM,ATANGAZE MALI ZAKE AJIUNGE NA ACT" LISTEN HERE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Tokeo la picha la zitto kabwe
Share:

READ:"CBA in new drive to rescue schoolgirls from 'predators'.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Commercial Bank of Africa (CBA)
Share:

Use of Kiswahili in public schools hurting students' performance - don.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Prof Kitila Mkumbo.
The use of Kiswahili as the medium o
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger