WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa
sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya
wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari
iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani
kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
Baadhi ya wanafunzi wa
CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa
Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai
kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake
na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
Mwanafunzi wa
Chuo kikuu cha Dar es Salaam aitwaye Tina Kinozi ataka kujiulia gesti
jana usiku baada ya kuchoka kuumizwa moyo na wanaume ambao wameonesha
kutokumpa ushirikiano wa kimapenzi kabisa. Chanzo cha habari hii
kinasema kuwa mwanadada huyo alikuwa na miadi ya kukutana na mwanaume
ambaye inasemekana pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
jana usiku kwenye gesti moja mashuhuri sana iliyopo Sinza, Dar es
Salaam. Mwanadada huyo alimsubiri mtu wake mpaka saa 6 usiku, lakini
hakutokea kabisa!! Baada ya kugundua kuwa
Wananchi wa Mlangali Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho
WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE
MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA
Wizara
ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradimbaimbali ya Maendeleo katikamkoa wa Mwanza na Mara.
Mheshimiwa
Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo
atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu
wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami. Siku
inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua mradi wa barabara ya Makutano – Natta – Mugumu
(sehemu ya Makutano – Sanzate km 50).
Sheikh
wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini
Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa nyumbani kwake
wakati wakila daku hapa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru,
alijeruhiwa miguuni na mapajani.
Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akimkaribisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Uwanja wa
Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, leo
Julai 5, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Magereza, Sania Kigwe.
Mbunge
wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mikono na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
walioamua kujiunga na chama hicho mara baada ya Mbunge huyo kufanya
Mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Nyabugela, kata ya Mganza
katika Wilaya ya Chato leo.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOYRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam leo