INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Saturday, 5 July 2014
WEMA NA MAMA -LAZIMA TUSOME ALBADILI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili wale wote waliohusika kwa namna yoyote ile kuitengeneza picha hiyo na kuitupia mitandaoni, Risasi Jumamosi linakumegea.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA UITWAO "CHEI CHEI"- WA KIJANA TOKA JKT MLALE-SONGEA BAADA YA MAFUNZO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WIMBO HUU NI DEDICATION KWA VIJANA WOTE WALIOPITIA,BULOMBORA,MSANGE,KANEMBWA,RWAMKOMA,RUVU,KABUKU
Wimbo unahusu maisha yote baada ya matokeo ya form six kutoka jamaa akapata division II ,akawa anajiandaa kwenda chuo kikuu,dah,jamaa anasema kilichomshangaza ni kwamba kuna taarifa zikatoka ngazi juu wote waliomaliza form six mwaka huu wapitie kwanza jeshi ,chuo wataenda tu.

SILVA,LUIZ WAIPELEKA BRAZIL NUSU FAINALI KWA USHINDI WA 2-1 DHIDI YA COLOMBIA,GERMANY WAIVUGUMISHA KUSIKOJULIKANA UFARANSA KWA 1-0
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nahodha Thiago Silva alitangulia kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya saba, lakini bahati mbaya kwake akaonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye mashindano haya, ambayo itamfanya akose mchezo wa Nusu Fainali.
WENYEJI
Brazil wametinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuifunga
mabao 2-1 Colombia katika mchezo wa Robo Fainali kwenye Uwanja wa
Castelao mjini Fortaleza.
Beki David Luiz kwa mara nyingine alikuwa shujaa wa Brazil baada ya kufunga bao la pili dakika ya 69 kwa shuti kali la mpira wa adhabu kutoka nje kabisa ya boksi.
Beki David Luiz kwa mara nyingine alikuwa shujaa wa Brazil baada ya kufunga bao la pili dakika ya 69 kwa shuti kali la mpira wa adhabu kutoka nje kabisa ya boksi.
Nahodha Thiago Silva alitangulia kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya saba, lakini bahati mbaya kwake akaonyeshwa kadi ya pili ya njano kwenye mashindano haya, ambayo itamfanya akose mchezo wa Nusu Fainali.
Friday, 4 July 2014
BREAKING NEWZ:MAJAMBAZI WATATU WAUWAWA JIJINI ARUSHA
STORI KAMILI: KUHUSU SHEKH ALIJERURIWA NA BOMU ARUSHA MDA WA KULA DAKU
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kuhusu shekh wa Arusha aliyejeruhiwa wakati anakula Daku.
Kutoka
Arusha taarifa ambayo imetangazwa kupitia Leo tena ambayo imetolewa
kama breaking news ni kuhusu Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally
Sood (37) uliopo eneo la Kilombero
Kuhusu shekh wa Arusha aliyejeruhiwa wakati anakula Daku.
WAFUNGAJI BORA HADI MDA HUU -KOMBE LA DUNIA HAWA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanaoongoza kwa mabao mpaka leo;
3-Thomas MUELLER-Ujerumani
Robin VAN PERSIE-Uholanzi
Arjen ROBBEN-Uholanzi
2-Karim BENZEMA-Ufaransa
Mario MANDZUKIC-Ujerumani
Tim CAHILL-Australia
NEYMAR-Brazili
GERVINHO-Ivory Coast
James RODRIGUEZ-Colombia
HAYA NDIO MAJESHI YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI-HUKU MAREKANI IKIONGOZA KUWA IMARA ZAIDI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HAYA NDIO MAJESHI YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI
1. US Navy SEAL
2. British SAS
RATIBA KOMBE LA DUNIA-ROBO FAINALI JULY 04 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KOMBE
LA DUNIA
RATIBA
ROBO
FAINALI
IJUMAA,
JULAI 4, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
France
v Germany [57]
|
ROBO
FAINALI
|
Estadio
do Maracanã, Rio de Janeiro
|
2300
|
Brazil
v Colombia [58]
|
ROBO
FAINALI
|
Estadio
Castelão, Fortaleza
|
JUMAMOSI,
JULAI 5, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Argentina
v Belgium [59]
|
ROBO
FAINALI
|
Nacional,
Brasilia
|
2300
|
Netherlands
v Costa Rica [60]
|
ROBO
FAINALI
|
Arena
Fonte Nova, Savador
|
NUSU
FAINALI
JUMANNE,
JULAI 8, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Mshindi
57 v Mshindi 58 [61]
|
NUSU
FAINALI
|
Estadio
Mineirão, Belo Horizonte
|
JUMATANO,
JULAI 9, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Mshindi
59 Mshindi 60 [62]
|
NUSU
FAINALI
|
Arena
Corinthians, Sao Paulo
|
MSHINDI
WA TATU
JUMAMOSI,
JULAI 12, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Aliefungwa
61 v Aliefungwa 62
|
MSHINDI
WA 3
|
Nacional,
Brasilia
|
FAINALI
JUMAPILI,
JULAI 13, 2014
|
|||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2200
|
Mshindi
Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
|
FAINALI
|
Estadio
do Maracanã, Rio de Janeiro
|
TANGAZO BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA-KWA WATAHINIWA KIDATO CHA SITA 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
BARAZA
LA MITIHANI LA TANZANIA
Baraza
la Mitihani la Tanzania linapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka
kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei
2015 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili
kilianza rasmi tarehe 1
Julai, 2014 hadi
tarehe
30 Septemba, 2014
kwa ada ya Shilingi 50,000/=.
Aidha kuanzia tarehe 1
Oktoba, 2014 hadi
tarehe 31
Oktoba, 2014
waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 65,000/-
(ada pamoja na faini).
JIJINI MBEYA: KIJANA APEWA ADHABU YA KUTUNDIKWA KWENYE MTI BAADA YA KUKUTWA ANAIBA FUNGUO ZA DALADALA KATIKA GARAGE MOJA SOWETO.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kijana
huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika
mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja
Soweto.
ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA:TAKWIMU MBALIMBALI ZA KOMBE LA DUNIA KABLA YA MECHI ZA ROBO FAINALI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatua ya
robo fainali ya kombe la dunia inaendelea leo. Saa 1:00 usiku kwa saa za
Afrika mashariki, Ufaransa watachuana na Ujerumani.
Saa 5:00 usiku, wenyeji Brazil watakuwa kibaruani dhidi ya Colombia.
Kfikia sasa hizi ndio takwimu muhimu za kombe la dunia mwaka 2014, nchini Brazil.
Kufikia sasa mpaka michezo 56 kati ya 64 imekwishachezwa,
Takwimu muhimu mpaka sasa,
Mfungaji
bora anayeongoza akiwa ni James Rodrguez wa Colombia mwenye mabao
matano, huku Neymar, Lionel Messi na Thomas Muller wa Ujerumani
wakifuatia wakiwa na mabao manne kila mmoja.