Wednesday, 11 June 2014

ANGALIA:MUME WA MTU AFUMWA AKIFANYA UFUSKA NA WANAWAKE 2



Jamani Maaadili yana elekea Wapikama mzee kama huyu anaamua kufanya
Share:

FANYA MAMBO HAYA UKIJUA UMESALITIWA



KATIKA MAISHA YA KIMAPENZI HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUSALITIWA, TENA KUSALITIWA KUNAKOUMA ZAIDI NI PALE UNAPOBAINI MPENZI WAKO KAMPA PENZI MTU UNAYEMJUA HALAFU UKIJILINGANISHA WEWE NA HUYO ALIYEPEWA UNASHINDWA KUELEWA KILICHOMSHAWISHI MPENZI WAKO KUMPA PENZI HUYO MTU.

Share:

VANITTA AAMUA KUOLEWA BAADA YA VIFO VYA WASANII KUZIDI

MSANII Vanitha Omary aliyeolewa hivi karibuni, amesema vifo vya mfululizo vya wasanii wenzake vimemlazimu kuondoka katika fungate ili ashirikiane na wenzake katika shughuli za misiba.
Share:

MASTAA WAGOMBEA MKONO WA JK



HATIMAYE staa wa sanaa za maigizo Bongo, marehemu Said Ngamba ‘Mzee Small’  amezikwa juzi Jumatatu katika Makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko lilikuwepo msibani hatua kwa hatua.
Share:

BILA MAREHEMU TYSON SIJUI 'NINGEKUWA WAPI LUCY KOMBA WA BONGO MOVIE' :


MSANII nguli katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba amefunguka kuwa yeye ni zao mojawapo la hayati George Otieno Okumu ‘Tyson’.
Msanii nguli katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba
Share:

SOMA KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO JUMATANO


1_b469e.jpg
2_5b16a.jpg
Share:

Tuesday, 10 June 2014

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA'JKT'

TANGAZO

JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAUTANGAZIA UMMA KUEPUKANA NA MATAPELI WANAOCHUKUA FEDHA KWA LENGO LA KUWAPATIA VIJANA NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT. NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT HAZIUZWI POPOTE.
Share:

FIFA WORLD RANKING TOWARDS FIFA WORLD CUP BRAZIL 2014

RnkTeamPts+/- Pos
1 Spain14850
Equal
2 Germany13000
Equal
3 Brazil12421
Up
4 Portugal1189-1
Down
5 Argentina11752
Share:

SUA:UCHAGUZI MKUU CHUO KIKUU CHA SOKOINE(SUA) MOROGORO,VIJANA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU.

                                      
Zikiwa zimebakia siku 9 kuelekea uchaguzi wa serikali ya wanafunzi sua,baadhi ya vijana wameonekana wakichukua fomu za uongozi wa nafasi mabalimbali;zikiwemo nafasi za ubunge na urais wa chuo.

Uchaguzi huo utahusisha kampasi mbili MAZIMBU na  MAIN CAMPUS.
Share:

WABUNGE WACHARUKA PICHA CHAFU KWENYE MITANDAO'WEMA NA DIAMOND' WAHUSISHWA

                           
 
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond wanazopiga wakiwa chumbani na kuweka kwenye mitandao. 
Share:

MWANACHUO HUYU AJIUZA KWENYE MITANDAO WA JAMII SIJUI KWA NINI LAKINI EBU INGIA HAPA UONE MAMBO

Anaitwa Khadija wa TPSC Mtwara
PICHA ZAIDI HAPO CHINI
Share:

'MZEE SMALL' AZIKWA AACHA LAANA-SOMA HAPA NI NINI


HATIMAYE aliyekuwa nguli wa sanaa za maigizo Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amezikwa jana katika Makaburi ya Tabata-Segerea jijini Dar es Salaam huku akiacha laana kwa tasnia ya maigizo.

Mzee Small alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH) ambako alilazwa akisumbuliwa na…

Ustadhi akimuombea marehemu dua ya mwisho baada ya kuuhifadhi mwili wake kaburini.
Share:

MTAZAME KIJANA HUYU ALICHUKULIWA MSUKULE -MARA


KIJANA Kenedy Onyango Augustine (22),  mkazi wa Kitongoji cha Nyambogo Shuleni, Kata ya Kitembe wilayani Rorya mkoani Mara aliyepotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule.
Share:

MBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA:' KWA NILIYOYAFANYA SIHITAJI KAMPENI\


IRINGA ni miongoni mwa mikoa ambayo siku za nyuma ilikuwa ni tegemeo la chakula kwa taifa letu, ikiwa ni mojawapo ya iliyounda kitu kilichoitwa Big Four, kwa uzalishaji wa chakula, mingine ikiwa ni Mbeya, Ruvuma na Rukwa.
Lakini katika miaka ya hivi karibuni, uzalishaji huo umekuwa ukishuka, jambo linalosababishwa pamoja na mambo mengine, mabadiliko ya hali ya hewa na usimamizi mbaya wa viongozi wa vijiji katika kuhimiza ukulima wa kisasa, matumizi ya mbolea na kadhalika.
Share:

YAWALIMWENGU:MJAE AWEKEWA MTI SEHEMU ZAKE ZA SIRI

MJANE mmoja (jina linahifadhiwa kwa sababu za maadili) (24) mkazi wa Kijiji cha Omuga, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara amefanyiwa ukatili wa kutisha wa kusimikwa kijiti sehemu zake za siri na shemeji zake ili kulazimishwa kuhama baada ya mumewe kufariki dunia.
Share:

HOUSE GIRL ATOBOA SIRI'SAKATA LA KUNG'ATWA NA BOSI WAKE



NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMANNE-'UDAKU,KITAIFA,SIASA NA BURUDANI'


1_2cf1b.jpg
2_62009.jpg
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger