<meta content='a5UwvNA1Df8kUBvAzmqidIJH9pE0ODdM_z8Z8Ioc9YQ' name='google-site-verification'/&g...
Tuesday, 3 June 2014
KANISA KATOLIKI LATANGAZA MWANAMKE WA KWANZA DUNIANI: KUPEWA DARAJA LA UPADRI

Mtanadao wa waharakati wanaopigania wanawake kupewa daraja la upadri,
Umemtangaza mwanachama wake Lillian Lewis (75) kuwa Padre Mkatoliki.
Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao
Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa wiki
baada ya mwanamke...
POMBE SI CHAI,CHEKI ILIVYOMFANYA VIBAYA O -TEN

Unaweza
kuona ni kiasi gani maisha ya kupanda na kushuka kwa kila mtu kwani kwa
upande wa O-ten mambo hayamuendei vizuri kabisa kwa kifupi anahitaji
maombi ya mama Rakwatare kwani hali yake sio na ulevi aka gambe
limepitiliz...
BUNGENI:TUNDU LISSU AWALIPUA MAWAZIRI TENA

Na Hudugu Ng'amilo
Waziri wa
Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya
nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za miradi ya maji katika maeneo
wanakotoka, huku sehemu zenye matatizo...
RAIS MPYA WA MALAWI ANA MSIMAMO MKALI NA ZIWA NYASA

Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa
Wingu
jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa...
‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza
Dar es
Salaam. Ndugu wa baba wa mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyefariki dunia usiku
wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jana walijitokeza
wakitaka wapewe mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.
Baada ya kuwasili hospitalini hapo saa
1:35...
ACHOMWA MOTO KWA KUIBA NG`OMBE

MTU mmoja
anayetuhumiwa kwa wizi wa ng’ombe na ndama wake, mwishoni mwa wiki
iliyopita alipata kipigo cha kufa mtu na baadaye kuchomwa moto, lakini
katika hali isiyo ya kawaida, hakuweza kufariki ‘kugoma kufa’ hadi
polisi walipotokea na kunusuru maisha yake.
Mtuhumiwa
wa wizi wa ng'ombe...
DIAMOND PLATNUMZ NI NOMAAAAAAA, KUPIGA KOLABO NA MSANII HUYU WA MAREKANII? SOMA HAPA

DIAMOND PLATNUMZ HALALI. PAMOJA NA MAFANIKIO MAKUBWA ANAYOENDELEA KUYAPATA, STAA HUYO ANAZIDI KUJITENGENEZA CONNECTION KALI ZA KIMATAIFA.
Picha ya juu: Diamond akiwa na Kevin Liles, meneja wa Trey Songz, Big Sean, Estelle na wasanii wengine Katika
kile kinachoonekana...
BAADA YA KUSEMA SUMU YAUSIKA,UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU UDSM HUU HAPA SOMA..............

HATIMAYE familia
ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius
Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata,
imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo.
Marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya enzi za uhai wak...
Monday, 2 June 2014
NCHEMBA ASEMA ATAONGOZA MAPAMANO YA KUMNG'OA MSIGWA
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini...
MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF,
Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi.
Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa
mazish...
Mambo Ambayo Wanawake Wanafanya ili Kuleta Mvuto Lakini Hayashtukiwi na Wanaume Kivile

1. Kubadili mtindo wa kujikwatua.
Mwanamke anaweza kuwa amezoea kujikwatua
kwa namna fulani lakini baada ya muda akaamua kubadili muonekanao wake
kwa kubadilisha aina mpya ya kujikwatua kwa kuongeza vikorombwezo fulani
fulani akitegemea mwenzi wake ata notes lakini asijue kwamba...