Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba
wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa
amezimika barabaran...
HATIMAYE
wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4
wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka
ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu
waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitin...
RECHO:
Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake
mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda
mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988 KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YR...
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana
ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa
kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya
maendeleo inayotekelezwa...
Ni
aibu kwa msomi kuweka picha za nusu uchi mtandaoni cheki huyu mmoja wa
wanachuo wa chuo kimojawapo hapa dodoma ameweka picha hizi mtandaoni
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PIC...
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam
linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa
mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya
kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel...
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI
wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na
umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekan...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapendakuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usailikuanzia tarehe 09 Aprili, 2014 hadi tarehe 09 Mei, 2014 kuwawalioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwakuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo...