Thursday, 22 May 2014

DAKTARI: KUAMBIANA AMEJIUA


IMEVUJA! Siku chache baada ya kifo cha mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Philip Kuambiana, daktari mkubwa wa mastaa ameibuka na kudai marehemu alijiua mwenyewe.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana.
Kwa mujibu wa daktari huyo ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini kutokana na maadili ya taaluma yao kuficha siri ya mgonjwa, siku moja kabla ya kifo (Ijumaa ya Mei 16, mwaka huu), marehemu alimpigia simu na kumwambia amekunywa dawa za malaria aina ya Fansidar lakini pia amekunywa pombe.
Mwili wa Adam ukitolewa Viwanja vya Leaders baada ya kuagwa.
ILIVYOKUWA
Daktari huyo alieleza kuwa, marehemu alimpigia simu kumuomba ushauri juu ya nini cha kufanya na kama kuna madhara yoyote juu ya pombe hizo na dawa alizokunywa.
“Aliniuliza kama kuna madhara yoyote ambayo anaweza kuyapata kwa kuwa alikuwa amekunywa fansidar kwa ajili ya malaria kisha akapata kiu ya bia na kuamua kunywa,” alisema daktari huyo.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili kaburini tayari kwa shughuli za kuusitiri.
AMSHAURI KWENDA HOSPITALI
Akizidi kuzungumzia tukio hilo, daktari alikwenda mbele kwa kusema licha ya msanii huyo kuwa na ‘masikhala’ mara kwa mara, lakini kwa kuwa alimwambia jambo ambalo linahusu uhai wake, alimshauri kwenda hospitali iliyo karibu ili akaonane na daktari kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa kutoa sumu kwani kitaalam mtu anapokunywa pombe akiwa amemeza dawa za aina hiyo vyote hugeuka kuwa sumu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kuambiana likishushwa kaburini.
Alisema kutokana na jinsi alivyozidi kumsimulia hali aliyonayo, aliamini kwamba marehemu alikuwa anamaanisha alichokuwa akikisema hivyo ikabidi amsisitize kuwahi hospitali haraka.
“Nilimwambia awahi hospitalini haraka kwani nilijua fansidar ni kali na si dawa ya kufanyia mchezo. Lakini kesho yake nilipopata taarifa za kifo chake niliumia sana japokuwa nilijua amejiua kwa kuchangaya fansidar na bia maana mchanganyiko wa sumu yake mwilini ni mkali sana,” alisema daktari huyo huku akisisitiza kusitiriwa kwa jina lake.
Msanii wa filamu, Richie Richie akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
MAZINGIRA YA KIFO
Kwa mujibu wa mtu ambaye alikuwa karibu na Kuambiana siku ya tukio ambaye naye hakutaka kutajwa jina gazetini, marehemu asingekufa ghafla kama tatizo alilokuwa nalo lingekuwa la vidonda vya tumbo ambavyo vilikuwa vikimsumbua kwa muda mrefu.
“Siku ile marehemu alikuwa na pesa, alikunywa sana pombe kutoka asubuhi mpaka usiku mwingi, alikuwa anakula kila anapojisikia sasa hatuelewi ni kitu gani kilitokea maana haiwezekani mtu akutwe anaendesha na kutapika damu pasipo kuwa na sumu mwilini,” alisema mtu huyo.
DAKTARI AWAASA MASTAA
Katika hatua nyingine, daktari huyo aliwashauri mastaa wengine kuwa makini kwani mara kadhaa amepata kesi za namna hiyo ambapo wanakunywa pombe vilabuni usiku huku wakiwa katika dozi ya ugonjwa fulani.
Msanii JB akiweka shada la maua wakati wa mazishi ya Adam Kuambiana.
“Mimi nawaambia ndugu zangu, hasa mastaa waache tabia ya kunywa pombe wakiwa katika dozi, starehe zipo tu. Ni vyema wakawa wanauliza kwa wataalam wa afya pindi wanapokuwa wamemeza dawa za aina yoyote, nguvu ya dawa inatofautiana kulingana na ugonjwa husika na muda wa kukaa mwilini,” alisema daktari huyo.
DAKTARI MUHIMBILI ANENA
Ili kuzidi kupata undani wa mazingira ya kifo cha Kuambiana, Amani lilimtafuta daktari mwingine mtaalam wa magonjwa ya binadamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Naye kwa sharti la kutotaja jina alieleza madhara ya mtu kunywa pombe akiwa kwenye dozi.
Mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi (Chadema), akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe.
“Unapokunywa dawa hususan hiyo fansidar, inakaa katika mwili kwa takriban siku saba hivyo mgonjwa anapokunywa pombe ndani ya siku hizo, pombe inapochanganyika na dawa katika mzunguko wa damu hugeuka kuwa sumu na mgonjwa ana uwezekano wa kupoteza maisha endapo asipowahishwa hospitalini,” alisema daktari huyo na kuongeza:
“Wengi huwa wanajisahau na kunywa pombe kabla ya siku saba lakini wengine huwa wanakunywa pombe makusudi pale tu wanapoanza kupata ahueni ya ugonjwa pasipo kutambua nguvu ya dawa bado ipo mwilini mwake na madhara yake ndiyo hayo.”
Mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB, baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.
JB AANGUKA GHAFLA, AZUA HOFU
Wakati shughuli za kuaga mwili zikiendelea juzi, Jumanne katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar, nguli wa filamu nchini ambaye alikatisha ziara yake ya kikazi nchini Uturuki kwa ajili ya kuja kumzika Kuambiana, Jacob Steven ‘JB’, alipewa kipaza sauti ili amzungumzie marehemu ambapo akiwa katikati ya kuongea alianguka ghafla.
Marehemu Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
Umati wa watu uliokusanyika viwanjani hapo uliingia hofu na kushindwa kuelewa amepatwa na nini lakini haikuchukua muda mrefu akasaidiwa na watu na kuendelea na shughuli nyingine.
MASTAA WAONGOZA KWA VILIO
Mastaa mbalimbali wa Bongo Movies wakiongozwa na Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, Aunt Ezekiel, Blandina Chagula ‘Johari’, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ waliongoza kwa kulia viwanjani hapo hadi walipofika makaburini, Kinondoni.
Msanii wa Filamu Bongo, Jini Kabula akiaga mwili kwa machungu.
Mbali na mastaa hao kuangusha vilio, Mkurugenzi wa Aset, Asha Baraka alijikuta akishindwa kuaga kwa kuhofia kuuona mwili wa marehemu na kudai huwa akitazama maiti anamuota kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Marehemu Kuambiana ambaye alikuwa nguzo muhimu katika ‘ku-dairekti’ filamu, alipatwa na mauti katika Gesti ya Silvarado, Sinza- Kwaremmy jijini Dar. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Amina.
Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Imeandikwa na: Erick Evarist, Musa Mateja, Richard Bukos, Shani Ramadhani, Deogratius Mongella, Chande Abdallah, Hamida Hassan,  Issa Mnally, Nyemo Chilongani na Mayasa Mariwata.
Share:

Wednesday, 21 May 2014

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
No reason was specified.
Date the ban will be lifted: 8th February 2015, 22:00

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
No reason was specified.
Date the ban will be lifted: Never

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
No reason was specified.
Date the ban will be lifted: Never

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
No reason was specified.
Date the ban will be lifted: Never
Share:

VIFO VYA KUSIKITISHA!!..MBWA AUA WATOTO WAWILI AMBAO NI NDUGU



AMA kweli kifo kisikie kwa wengine kikikufika ndiyo utakijua kilivyo! Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Ester Shaban (44) amejikuta akirudia machungu ya kufiwa na mume wake kwa kufiwa na watoto wa kuwazaa kutokana na kuumwa na mbwa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Ester alifika Kibamba-Kwembe, nje kidogo ya Jiji la Dar na watoto wake watatu akitokea Kahama, Shinyanga ili kupumzika kwa ndugu yake baada ya kufiwa na mume wake miezi kumi na nne iliyopita.
Siku ya pili tangu afike watoto wake, Boniface Joseph (4) na Peter Joseph (6) waling’atwa na mbwa sehemu za usoni.
Tukio hilo lilitokea wakati mama yao amekwenda Makondeko, Dar na kuwaacha watoto hao nyumbani bila kuwepo kwa mtu mzima.
Chanzo kilisema mwanamke huyo alirudi saa mbili usiku na kukutana na mkasa huo wa watoto wake kung’atwa na mbwa, wakiwa na majeraha usoni.
“Mtoto mmoja aliyeshuhudia tukio hilo alisema watoto hao ndugu waling’atwa usoni na mbwa wa mzee mmoja ambaye hata yeye alimkimbiza mchana,” kilisema chanzo hicho.
Waombolezaji wakiweka shada la maua.
Naye mama wa mtoto  huyo akizungumza na Risasi Mchanganyiko kwa masikitiko, alisema: “Baada ya kukuta wanangu wamekumbwa na mkasa huo niliwachukua mpaka kwa mwenye mbwa na kumweleza lakini akakataa kwamba si mbwa wake japokuwa alionekana kuwa na kigugumizi cha hapa na pale.”
Akaongeza: “Tulishauriana tuwapeleke Hospitali ya Tumbi (Kibaha) lakini yule mzee aliyesemekana kuwa ndiye mwenye mbwa akasema yeye hana pesa za kukodi gari labda tusubiri Jumatatu. Siku hiyo ilikuwa Jumamosi tena saa tatu usiku.
“Nilipinga, ikabidi kesho yake (Jumapili) tuwapeleke hospitali ya binafsi ya Gati ambapo walichomwa sindano za tetenasi tu.
“Niliwauliza madaktari kama sindano hizo zinatosha wakasema zinatosha kwani chanjo niliyoipata mimi wakati wa ujauzito itawasaidia na watoto. Nilishangaa kwa sababu nasikia mtu akiumwa na mbwa anachomwa sindano za kitovuni lakini wanangu hawakufanyiwa hivyo.”
Jeneza likiwa tayali kwa ajili ya mizishi.
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa daktari alimtoa wasiwasi kwa kumwambia vidonda hivyo vitapona asiwe na shaka. Akapewa dawa za kumeza watoto wake na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Akasema: “Baada ya siku kadhaa, vidonda vilionekana kukauka kwa nje, Kumbe sikujua kwa ndani watoto wangu walikuwa wanaumia pasipo kufahamu. Siku chache mbele Peter akazidiwa.
Akawa anatapika damu na kubweka kama mbwa. Ila sikujua cha kufanya, kwa kuwa ilikuwa usiku nilivumilia.
“Ilipofika alifajiri ya saa 10 mwanangu alikata roho. Tulipeleka mwili kwenye mochwari ya Tumbi kwa ajili ya kuuhifadhi.
“Siku iliyofuata tukiwa mochwari tunauchukua mwili, tulimsimulia daktari ugonjwa uliomuua mwanangu akasema tumpeleke Boniface (mwanaye mwingine) ili afanyiwe matibabu. Kumbe kule nyumbani Boniface naye alikuwa amezidiwa na yuko njiani wanamleta hospitali. Alipofikishwa tu hakukaa sana akafariki dunia,” alisema mwanamke huyo.
Mwanamke huyo akaendelea kusema kufiwa kwa watoto wake hao ni pengo kubwa sana katika maisha yake kwani kwa sasa amebaki na mtoto mmoja ambaye ni wa mgongoni.
“Moyo unaniuma sana ila sina namna zaidi ya kumshukuru Mungu kwa yote. Nilikuja kupumzika na watoto wangu hapa baada ya kifo cha baba yao, sasa siku nikirudi Kahama nitakuwa peke yangu,” alisema mama huyo na kuanza kulia.
Mwanamke huyo pia alisema anawaomba wasamaria wema wamsaidie kwa hali na mali kwani kwa sasa ni mjane na anahitaji kurudi Kahama ili kupeleka msiba wa watoto wake.
Kwa yeyote mwenye kuguswa na matatizo ya mama huyu anaweza kumsaidia kwa namba  0767 449758, jina litasoma Stella Shaban.
Marehemu hao walizikwa katika Makaburi ya Kibamba, Dar kwa kupishana siku moja. Mungu azilaze pema peponi roho zao. Amina.
Share:

Ommy Dimpoz Afunguka Juu ya Madai ya Wengi kua Kavaa Viatu vya Kike


Watu wengi waliokutana na picha hiyo wameifananisha suruali hiyo na nguo maarufu kwa akina dada "kipedo" huku wakidai kuwa viatu alivyovaa ni vya kike.
Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amefunguka ya kwake juu ya madai hayo na kusema....

"Viatu sio vya kike kwasababu, ukisema viatu vya kike it means labda umeende ku-shop kwenye duka la vitu vya kike, na viatu vile mi nimenunua South africa, kipindi tumeenda kumsapoti AY kwenye Channel O. nakumbuka tena siku ambayo nimeenda ku-shop nilikuwa na Dulla Spatan, nilinunua kama pea ishirini thelethini, zilikuwa pea nyingi, unajua nsometimes unaweza kuingia kwenye maduka ukakuta kuna sale nini, kwahiyo nilikuta, galafu na vile vilikuwa ni vyepesi havichukui kilos, kwahiyo nikanunua nunua vile vingi, lakini nime-shop kwenye Mr Price nakumbuka, vilikuwa ni simple......"
"sidhani kama watu wameichukuliaje lakini may be labda fashion ndio imenikosti, lakini naona ni viatu vya kawaida na watu wanavaa, hata ukiangalia ma designers nini hata watu wengi wanavaa, kwahiyo kwa kununua mi nimenunua sehem ya vitu vya kiume na hakikua kimoja kusema labda wamekosea wamekiweka sehem tofauti, ni kwamba viko vingi na design tofauti...." amesema Ommy
Share:

UGOMVI WA KAJALA, WEMA WABUNGE WAINGILIA KATI


Mambo bado mabaya! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni, ambako inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, wakiwa kwenye pozi enzi za ushosti wao.
Kwa mujibu wa chanzo makini, baada ya mvutano wao wa muda mrefu, wabunge hao walimwita Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na kumuuliza kama ni kweli wawili hao hawaelewani.
Inadaiwa kuwa Steve alikiri kutokuwepo kwa maelewano kati ya wawili hao ambao awali walikuwa ni marafiki pete na kidole.
Ilisemekana kwamba baada ya kuhakikishiwa kuwepo kwa ishu hiyo, baadhi ya wabunge hao, hasa wapenda michezo na sanaa, walimuagiza Steve kulifanyia kazi tatizo hilo haraka, akishindwa basi awapelekee ili wawakalishe chini.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
“Walimwambia Steve kwamba ni kitendo cha aibu kwa mastaa wakubwa kama hao kugombana, hiyo inawapunguzia heshima kwani hiki kilikuwa ni kipindi cha kushikamana kwa umoja ili kuisogeza mbele tasnia yao badala ya kulumbana,” kilisema chanzo hicho kikikataa kutaja majina ya wabunge hao na kutaka aulizwe Steve.
Gazeti hili liliwasiliana na Steve juu ya ukweli wa madai hayo, ambaye alikubali kuwa ni kweli baadhi ya wabunge wamemtaka kumaliza bifu kati ya waigizaji hao maarufu Bongo kwani nyuma yao kuna vijana wengi wanatamani kuwa kama wao.
Kajala Masanja.
Risasi Jumatano lilizungumza na mbunge wa Kinondoni  Idd Azan ambaye alisema hata yeye atawaunga mkono wabunge watakaojitolea kuwasuluhisha
Share:

NGONO MWANZO MWISHO!!..WANACHUO UDOM WAFUNGUKA KUHUSU KIJIUZA/KULALA NA BAADHI YA WABUNGE



 

Ripota wa nguvu Simon Simalenga akiwa 104.4 Dodoma amekutana na Wanachuo kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kwenye bunge la bajeti linaloendelea May 19 2014 Wabunge walipitisha bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ambayo ni Bilioni 799.2
Ndani ya saa 24 toka kupitishwa kwa bajeti hiyo taarifa zinapatikana kwamba kuna uwezekano wa kutokea maandamano ya Wanachuo wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuelekea bungeni kama hawatopata fedha zao za kujikimu ambazo wamecheleweshewa kwenye collage yao ya Humanities.
Wanasema ‘hatujazungumza hivi sababu tumepanic, kikawaida chuoni tunatakiwa kusaini boom kila baada ya siku 56 ambazo ziliisha 26 April 2014 na mpaka hatujapata taarifa yoyote toka wakati huo kwamba kuna shida gani imetokea’
Mwajuma Ally ambae ni Mwanachuo wa UDOM pia amesema ‘niko mwaka wa pili, tunashindwa kuelewa kwa nini hili tatizo limetokea mpaka sasa hivi inaonekana sisi tunadharaulika manake hii ni mara ya pili inatokea humanities lakini vyuo vingine wamepewa mikopo’
 
Wengine wanasema ‘Wanaume wenyewe sisi wapiganaji mpaka sasa tunaumia… watoto wa kike je?’ Mwananchuo mwingine aitwae Upendo amesema ‘hii kashfa ya watoto wa kike kujiuza kwa Wabunge ni ya kweli kwa sababu boom likichelewa ni bora nikakae maeneo ya bungeni kwa sababu nikimuelezea Mbunge nina shida nitalala nae atanipa hela’
‘Ndio maana Wasichana wengi tunapenda kujiuza, sio kwamba tunapenda kufanya makusudi ila ni kwa sababu tunacheleweshewa hela na maeneo ya bungeni ndio tunapendelea kwenda kwa sababu tunajua kule ndio kuna mpunga mwingi kuliko sehemu nyingine’
Kwenye ofisi za utawala za chuo hicho Profesa Mbunda akatoa ufafanuzi kwa kusema ‘kifupi ni kwamba management ya chuo kikuu inafatilia hilo swala, afisa wake wa juu kabisa wa mambo ya pesa yuko Dar es salaam na ameahidiwa katika siku tatu hili swala litakua limetatuliwa kwa hiyo tunaomba Wanachuo wetu wavumilie kwa siku tatu’.
Share:

MAMBO 6 WASIYOYAPENDA WANAUME KUTOKA KWA WENZA WAO!!!


  Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume.
NAYO NI HAYA HAPA UNGANA NAMI KUJADILI JAMBO HILI ambalo kwangu nimeona ni changamoto au niseme sikujua.

1. Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi waoMwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli. Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini? Weka balbu bwana. Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2. Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele, mlalamishi

Yeye ni kulalamika kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa. Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3. Wanaume hawapendi mwenzi mchafu

Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi. Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.

4. Wanaume hawapendi mwenzi mbishi

Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi. Utampa mwanaume ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5. Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao

Mwenzi mbabe anaetoa amri na kumtawala hawataki.

6. Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na kusachiwa sachiwa

Kumpekua kwenye simu, mifuko ya suruali kwamba unamulika mwizi. Hawapendi, tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya wahisiwe vibaya.
Share:

WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA SITA MLIOMALIZA MNAKUMBUSHWA KUOMBA MKOPO

                             
MNAKUMBUSHWA KUOMBA MKOPO KABLA YA TAREHE 30 JUNE NA HAKUTAKUWA NA MDA WA NYONGEZA,UTATUMIA CHETI CHAKO CHA FORM FOUR KUOMBA.
Share:

NI ZAIDI YA SODOMA :WANAFUNZI WA WAREKODI VIDEO YA UTUPU WAKIWA HOSTELI :CHEKI VIDEO YA NGONO KABISA



 
Ukistaajabu ya Musa Utayoyaona hayajulikani!Hebu angalia video ya haya mambo yanayofanyika katika mahosteli...Ufuska umetawla adabu imepotea ni utupu aibu na mambo yasiyo na maadili ndio hufanyika... video hapo chini Kazi kwako usisahau kutoa neno juu ya haya mambo ya aibu yanayofanyika hapa Tanzania..

KUANGALIA VIDEO SHARITI UWE MTU MZIMA WATOTO PITA PEMBENI



Share:

WAKUBWA TU18+!!..PICHA ZA MWANAFUNZI AKILIWA URODA ( UTAMU ) ZASAMBAA MTANDAONI CHEKI HAPA


Wasomi wanaipeleka wapi hii nchi na hili tatizo la ngono na kuziweka picha zao katika mitandao ya kijamii





Share:

WAKUBWA TU 18+...MUONE HUYU DADA AMANYO JICHUA (KUPIGA PUNYETO)


Kweli dunia imekwisha,hivi madhara ya mwanamke kujichua ni yapi? Sasa kunahaja ya kufahamu madhara na kuyaweka hadharani kwani sasa imekuwa kero kusikia hili jambo la wadada na mambo yao.
Tunasema wavulana ndiyo wanaongoza kwa upigaji kumbe wadada nao wamo sema hawavumi, sasa aibu hii ya huyu dada sijui ataimalizaje.Picha za dada anayejichua live bila chenga zimedakwa, endapo atakataa basi tupo tayari kuziachia zingine.Sisi tupo kwa ajiri ya kumuasa aachane na tabia hii ila kama atazidi kufanya basi tutazitupia kwenye chanzo chetu kila  mtu ajiaonee.


Share:

KUAMBIANA AZIKWA NA MASWALI MAGUMU 5


ADAM Philip Kuambiana amezikwa jana kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku akiacha maswali magumu matano kuhusu maisha, mazingira na hatimaye kifo chake, Risasi Mchanganyiko linakupa moja kwa moja.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili kaburini tayari kwa shughuli za kuusitiri.
Marehemu Kuambiana alifariki dunia Jumamosi iliyopita asubuhi akikimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuugua tumbo ghafla.
MANENO KUTOKA KWENYE MIDOMO YA WATU
Baada ya kifo chake, maneno kutoka kwenye vinywa vya watu yalionesha ni maswali magumu ambayo majibu yake yangepatikana kama marehemu angekuwa hai.
Hata hivyo, Risasi Mchanganyiko lilifanya kazi ya ziada kuhakikisha maswali hayo yanapata majibu kwa ndugu au watu wa karibu na marehemu.
Jeneza likishushwa kaburini.
MASWALI MAGUMU MATANO
Maswali ya watu kuhusu marehemu Kuambiana yako matano ambayo baadhi ya wasomaji walitoa ombi kwa Magazeti Pendwa ya Global kuyafanyia kazi na kutoa majibu yake kwa vile uwezo huo kwa Global upo.
SWALI LA KWANZA
Inadaiwa kuwa asubuhi ya kifo chake, marehemu na wasanii wenzake walikuwa kambini, Sinza jijini Dar. Wasanii hao walimgongea mlango kwa sababu walitakiwa kwenda kurekodi filamu wakakuta mlango uko wazi, wakaingia.
Mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi (Chadema), akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe.
Je, ni kwa nini marehemu aliacha mlango wazi wakati kuna maelezo kwamba alikuwa akilala na vifaa vingine vya kufanyia kazi?
Stara Thomas ambaye amewahi kuwa mchumba wa marehemu, anajibu hili:
“Ninavyojua mimi Kuambiana alikuwa anavuta sana sigara. Mara nyingi akitaka kuvuta alikuwa akitoka nje. Sasa huenda alfajiri ya siku hiyo alifungua mlango akatoka kuvuta aliporudi hakuufunga tena.”
SWALI LA PILI
Yapo madai kwamba, siku hiyo marehemu alikuwa na fedha nyingi. Hilo linaweza kuthibitishwa na rafiki wa karibu wa marehemu ambaye alisema kuwa, Ijumaa, yaani siku moja kabla ya kifo, Kuambiana alikuwa na fedha nyingi.
Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.
Kuhalalisha hilo, hata mhasibu wa Gesti ya Silvarado, Sinza jijini Dar ambayo marehemu na wasanii wake waliitumia kupiga kambi kwa ajili ya kurekodia filamu alisema walikuwa wakimdai shilingi milioni mbili na siku hiyo ya Ijumaa alilipa keshi.
Swali ni je! Kama marahemu alikuwa na fedha nyingi japokuwa hakijajulikana kiasi, baada ya kifo chake zilichukuliwa na nani na ameziweka wapi?
NDUGU WA MAREHEMU ANAJIBU
Ndugu wa marehemu ambaye alisema si msemaji wa familia na akaomba jina lake lisitajwe, alisema anachojua yeye marehemu hakukutwa na hata senti tano mfukoni.
Msanii wa Filamu Bongo, Jini Kabula akiaga mwili kwa machungu.
“Hilo la kusema alikuwa na fedha siku hiyo hata sisi tunasikia tu. Lakini sisi kama familia tunajua hakukutwa na pesa licha ya kwamba tumesikia alikuwa akiwapa ofa watu kwenye mabaa. Kuna mtu nasikia alitoweka nazo, tunamsaka kila kona.”
SWALI LA TATU
Wengi wanatatizwa na makazi ya marehemu kwamba mtu angetaka kumpata Kuambiana angekwenda wapi maana mara nyingi alikuwa akionekana kwenye baa mbalimbali za jijini Dar hasa maeneo ya Sinza.
“Mimi nimewahi kusikia kwamba, Kuambiana alikuwa hana makazi. Alipokutana na Stara Thomas ndiyo akawa anaishi kwake, walipomwagana ikawa mwendo ni uleule.
“Nimewahi kusikia kuwa alipokuwa akipewa tenda ya filamu ndiyo makazi yake yalikuwa kambini. Lakini sina hakina sana makazi yake japokuwa  na mimi ni msanii wa filamu kama alivyokuwa yeye,” alisema mwigizaji mmoja akiomba asindikwe gazetini.
Msanii wa filamu, Richie Richie akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Kuambiana
STARA ATAJA MIKOCHENI
Risasi Mchanganyiko lilizungumza tena na Stara ambaye alijibu:
“Mimi aliniambia makazi yake yalikuwa Mikocheni (Dar) lakini sikuwahi kufika. Lakini ninavyojua ni Mikocheni.”
Akizungumza na gazeti hili msibani kwa mke wa marehemu, Bunju jijini Dar, ndugu mmoja alisema anavyojua yeye marehemu alikuwa akiishi Bunju B.
SWALI LA NNE
Baadhi ya mastaa walisikika wakisema baada ya kuachana na Stara, marehemu alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii wa filamu anayeitwa Lulu Jumanne ‘Selina’ Lakini swali likawa je, ni kweli?
Share:

Tuesday, 20 May 2014

KUMBUKUMBU:ANGALIA VIDEO AJALI YA TRENI DODOMA 2002

Share:

‘Nape alaaniwe kwa kutuita Boko Haram’

‘Nape alaaniwe kwa kutuita Boko Haram’

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amemjia juu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye kwa kuufananisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kundi la Boko Haramu na kutaka alaaniwe.
Ukawa iliundwa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba na unahusisha wajumbe kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi, Chadema na CUF.(Martha Mageesa)
Akizungumza bungeni mjini Dodoma juzi, mbunge huyo alisema kauli ya Nnauye ni ya uchochezi na inapaswa kulaaniwa.
Mbunge huyo alikuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa na waziri wake, Sophia Simba.
"Gazeti la Uhuru (jana) lilimnukuu Nape Nnauye akisema Ukawa ni sawa na Boko Haramu... Hii ni kauli chafu na ya uchochezi. Haikubaliki na ninailaani kwa nguvu zangu zote," alisema.
Mbunge huyo alihoji "wazazi wao hawajui watoto wao wanaishije, wanakula nini wala wanalala vipi.... Leo hii Nape Nnauye amethubutu kusema Ukawa ni sawa na Boko Haramu?"
Hata hivyo, wakati akihoji hivyo, baadhi ya Wabunge wa CCM nao walisikika wakihoji "na Intarahamwe Je?".
Ukawa ilitumia jina hilo la Interahamwe wakati mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitangaza uamuzi wa kundi hilo kujitoa kwenye Bunge la Katiba, akiifananisha CCM na kundi hilo la nchini Rwanda.
Katika gazeti hilo, Nnauye amenukuliwa akisema Ukawa ni kundi hatari linaloeneza chuki na kusambaza uongo kwa Wananchi kwa nia ya kuwagawa na kusema silaha wanazotumia ni zaidi ya Boko Haramu.
Nnauye anadaiwa kutoa kauli hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani Tabora, akisema silaha za uongo wanazotumia viongozi wa Ukawa ni hatari zaidi kuliko silaha za moto zinazotumiwa na Boko Haramu.
Viongozi wa CCM na wale wa Ukawa wamekuwa wakizunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara kufafanua kile kilichojitokeza ndani ya Bunge la Katiba na kusababisha Ukawa kususia Bunge hilo.
CHANZO:MWANANCHI
Share:

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
16th May, 2014
Ref. Na EA.7/96/01/G/18
VACANCIES ANNOUNCEMENT

On behalf of Water Development and Management Institute (WDMI), Public Service
Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 26 vacant posts in the
above Public Institutions.
i.
NB: GENERAL CONDITIONS
All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however,
should also observe the age limit for each position where indicated.
ii.
Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable
contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.
iv. The title of the position and institution applied for should be written in the
subject of the application letter and marked on the envelope; short of which will
make the application invalid.
v.
Applicants must attach their detailed relevant certified copies of academic certificates:
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
- Form IV and Form VI National Examination Certificates.
- Computer Certificate
- Professional certificates from respective boards
- One recent passport size picture and birth certificate.
vi. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
vii. Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.
viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will
1necessitate to legal action
ix. Applicants for senior positions currently employed in the public service should route
their application letters through their respective employers.
x.
Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not
apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140
dated 30th November, 2010.
xi. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should
not apply.
xii. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
xiii. Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level
education should be certified by The National Examination Council of Tanzania
(NECTA)
xiv. Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania
Commission for Universities (TCU)
xv. Deadline for application is 30th May, 2014 at 3:30 p.m.
xvi. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
xvii. Women are highly encouraged to apply
xviii. Only short listed candidates will be informed on a date for interview
xix. Application letters should be written in Swahili or English
APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS.
HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:
Secretary
Public Service Recruitment
Secretariat,
P. O. Box 63100
DAR ES SALAAM.
1.0
OR
Katibu
SekretarietiyaAjirakatika
UtumishiwaUmma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger