MAGAZETI LEO JUMAPILI
Sunday, 11 May 2014
Written by Mjengwa Blog
Email
Tuma Maoni
Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
...
Sunday, 11 May 2014
Saturday, 10 May 2014
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA 6 MEI 2014
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA 6 MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI;...
MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka mot...
SKENDO YA USAGAJI: BINTI WA 1992 AKILI KUA NA MAHUSIANO NA MASTAA 2 TOFAUTI
“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo) mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar...
NI ZAIDI YA LAANA, MFANYA BIASHARA MAARUFU AFUMANIWA AKIMRA URODA (KUMLAWITI) SHOGA
OFM walivyomnasa mfanyabiashara wa magari (kushoto) chumbani akitaka kumlawiti modo maarufu.
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo.
Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam...
KUWA WAKWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD OFFICIAL AUDIO: DIAMOND PLATNUMZ - KITORONDO
SIKILIZA HAPO CHINICHANZO: www.bongosound.com
PIA WAWEZA KU PLAY HAPA BOFYA HA...
MWANAFUNZI WA MIAKA 11 AFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI MKOANI MBEYA.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Jangurutu darasa la tano aliyetambulika kwa jina la Habibu Dismass (11) amefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.120 AMV aina ya Camry lililokuwa likiendeshwa na derava Otino Mwampamba (48) mwalimu shule ya sekondari, Mbarali. Tukio...
Friday, 9 May 2014
MAJINA YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA-WALIOCHAGULIWA KWENDA BULOMBORA 2014
MAJINA YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA-WALIOCHAGULIWA ...:
S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F HAWA MAGONGO
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTER S NZOA
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTHER S RAPEMO ARUSHA S0632 BONDENI SEC. SCHOOL F HAWA A TASSAMA ARUSHA S3646 DULUTI SEC. SCHOOL F HAPPY E...
MAJINA NA KAMBI MABALIMBALI WALIZOPANGIWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA -WALOCHAGULIWA KWENDA JKT 2014
BUROMBOLA - KIGOMA
RWAMKOMA - MUSOMA
MSANGE - TABORA
KANEMBWA - KIGOMA
RUVU - PWANI
OLIJORO - ARUSHA
MGAMBO KABUKU - TANGA
MARAMBA - TANGA
MAFINGA - IRINGA
MLALE - SONGEA
MTABIRA - KIGOMA
MAELEZO MUHIMU
Vijana wote wenye ulemavu unaoonekana waripoti kikosi cha RUVU-PWANI
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
info@jkt.go.tz au piga 0758536534
...
MAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABARA YA DAR ES SALAAM MTWARA
Malori
na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea
na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese
lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana
kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha
na...