The Government of the Republic of Mauritius is offering scholarships for
undergraduate studies in public tertiary education institutions in
Mauritius.
Applications are invited from qualified Tanzanians to apply for
undergraduate programs tenable in the Republic of Mauritius for
2014/2015 academic year in the following areas of specializations:-
Medicine,
Engineering,
Science...
Friday, 2 May 2014
Thursday, 1 May 2014
TUCTA "KIMA CHA CHINI CHA MFANYAKAZI KIWE 750,000"

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa
kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)
kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali kupandisha kima cha chini hadi
kufikia Sh750,000.
Katibu Mkuu wa Tucta,...
RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"

Staa
katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema
amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa
ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa
yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na
wanaume zao...
BREAKING NEWS:Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015,SASA WENYE DIVISION FOUR YA 32 HADI 34 RUKSA KUAPPLY

Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza nafazi za Mafunzo ya Ualimu
ngazi ya Stashahada na Cheti kwa Mwaka wa Masomo 2014/2015.
Kuzidownload bofya link hizo hapo chini, ya kwanza ngazi ya cheti (Certificate Grade A) na ya pili ni stashahada (Diploma).
TANGAZO LA MAFUNZO...
KIKWETE ALIVYOSHEREHEKEA MEI DEI JIJINI DAR
Rais
Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi katika Uwanja wa Uhuru, Dar leo
wakati wa kilele cha Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani, Mei Dei
iliyofanyika kitaifa.
Brass Bend ikipita mbele ya Rais Kikwete wakati wa maandamano ya wafanyakazi.
…wafanyakazi wa mali asili wakipita mbele ya Rais Kikwete.
…...
HUYU NDIYE SNURA MAMA WA MAJANGA , JIONEE PICHA ZAKE ZA UTATA AKIWA JUKWAANI..!!NI SHIDAAA
Naamini
kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hi EW MAISHA CLUB atazindua
video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa
na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI
NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000...
HUYU NDIYE MREMBO WA OMMY DIMPOZ...TAZAMA PICHA YAKE HAPA

Mastaa
wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha
wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni tofauti hata hivyo. Ni mastaa wachache wenye ujasiri
wa kuwaweka hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz.
Mastaa...
Wednesday, 30 April 2014
MAJINA AJIRA WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO 2014

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa
Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya
usaili kuanzia tarehe 04 hadi 30 Machi, 2014 kuwa walioorodheshwa
katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa...
POLISI MKOANI MANYARA YAKAMATA MISOKOTO 6,000
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa
na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa
habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata kwenye mabasi
mawili hivi karibuni ambayo ilikuwa...
JE WAJUA UNA KILA SABABU YA KUOGA NA MPENZI WAKO KAMA UJUI SOMA HAPA

Unapo
kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani,
hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu
vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu yawe mapya kila siku.
Wakati
wa kuoga fanya mbwe mbwe kidogo msugue mwenzako, mgongoni...
Picha mbili za maamuzi ya Samuel Eto’o kuhusu ile ishu ya Dani Alves

Unaambiwa
club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha
kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitendo ambacho
kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa na nyani.
Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa
ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo aliyotupiwa uwanjani alafu...