Wednesday, 31 July 2024

MELI KUTOKA CHINA ZITAENDELEA KUTIA NANGA BANDARI YA TANGA

Na Hamida Kamchalla, TANGA. Kampuni ya Uwakala wa Meli Seafront  Shipping Service (SSS), kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuleta meli yenye shehena ya mizigo mchanganyiko  inayokadiriwa kuwa takribani tani (14,000) kutoka nchini Chiina wamoja hadi bandari yaTanga. Hii inaweka alama ya kipekee...
Share:

TCB BENKI YATOA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA MILIONI 50 SUMBAWANGA

*Sumbawanga, 30 Julai 2024* — TCB Benki inajivunia kutangaza mchango mkubwa wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya milioni 50 za Kitanzania (TZS) kusaidia maendeleo ya sekta ya elimu na afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Mchango huu wa hali ya juu unalenga kuboresha miundombinu muhimu...
Share:

BIL 3 ZIMETOLEWA MATENGENEZO BARABARA ZILIZOATHIRIWA NA EL-NINO MKOANI NJOMBE-ENG RUTH

Na Mathias Canal, Njombe Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe. Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu...
Share:

Tuesday, 30 July 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 31,2024

...
Share:

MBUNGE MTATURU AITAKA RUWASA KUKAMILISHA MRADI MAPEMA

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akizungumza kwenye ziara katika Kata ya Kikio kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti 2024/2025,kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji 2024 na kusikiliza kero za wananchi. ....... MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu...
Share:

WAGOMBEA URAIS WAELEZA WATAKAVYOIFANYA TLS KUWA NA NGUVU

  Wagombea wa nafasi ya Urais katika Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) wakiwa kwenye mdahalo. Na Mwandishi Wetu WAKATI uchaguzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ukitarajiwa kufanyika Agosti 2, mwaka huu jijini Dodoma, wagombea nafasi ya Urais wamejinadi namna ya kujenga chama hicho kwenye...
Share:

Monday, 29 July 2024

NCHIMBI AWAPONGEZA MTWARA VIJIJINI UTEKELEZAJI ILANI YA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ameendelea na ziara yake ya mikoa miwili ya Kusini, Lindi na Mtwara leo tarehe 29 Julai 2024 amepata fursa ya kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Vijijini,...
Share:

SERIKALI KUFADHILI MASOMO YA TEKNOLOJIA YA NYUKILIA

Na Dotto Kwilasa,Dodoma WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema Serikali imetenga bilioni 1.6 kuwekeza kwenye Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa jijini hapa na Waziri wa Wizara hiyo Prof.Adolf Mkenda wakati akizungumza na waandishi...
Share:

Sunday, 28 July 2024

WANAFUNZI NAMNA PEKEE YA KUMLIPA RAIS SAMIA NI KUSOMA KWA BIDII-KATIMBA

Na Angela Msimbira, GEITA NAIBU WAZIRI Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba ametoa rai kwa wanafunzi wote nchini kuhakikisha wanasoma kwa bidii na kufaulu kwa viwango vya juu ili badae walitumikie taifa. Mhe.Katimba ametoa rai hiyo alipotembelea shule mpya maalum ya wasichana ya...
Share:

Saturday, 27 July 2024

SIKU YA BAHARI AFRIKA; WANAWAKE SEKTA YA BAHARI WAASWA KULINDA MAZINGIRA

Na Grace Semfuko, Maelezo. Wanawake wanaofanya kazi katika sekta ya bahari nchini, wameungana na wanawake wenzao Duniani kuadhimisha siku ya bahari Afrika ambapo katika maadhimisho hayo wamesema ni muhimu kulinda mazingira ili kuwe na uchumi endelevu wa mazao katika sekta hiyo. Wanawake hao leo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger