Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Qualify Group LTD, Yusuph Manji, amefariki Dunia jana Jumamosi, Juni 29, 2024 huko Florida nchini Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dkt. Redempta Mbatia
kuhusu huduma za Tiba kwa Waraibu (MAT) na huduma za Kinga, Tiba na Matunzo ambazo zinatolewa na THPS katika mikoa ya Tanga, Pwani, Shinyanga...
Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza utekelezaji wake.
Pamoja na Barabara hiyo kufungua fursa za kiuchumi...
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amezindua jengo la Dawati la Jinsia na Watoto linalopatikina katika kituo kikuu cha polisi wilayani Mkalama ikiwa ni jihudi ya serikali katika kutokomeza ukatili wa kijinsia nchini Tanzania .
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo hilo Juni 29,2024...