Saturday, 31 July 2021

Tanzia : MMILIKI WA PEACOCK HOTEL AFARIKI DUNIA

Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo Jumamosi Julai 31 asubuhi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa ameugua muda mrefu. Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine...
Share:

KATIBU MKUU WA UVCCM KENANI KIHONGOSI AWAAGIZA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM KUANZISHA KLABU ZA MAZOEZI

  Na Dotto Kwilasa, DODOMA. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kenani Kihongosi amewaagiza Wenyeviti na makatibu wa Chama hicho kwa ngazi ya mikoa  kuanzisha utaratibu wa Club  za mazoezi kwa kila Mkoa ili kuwahamasisha vijana kufanya mazoezi ili...
Share:

MAWAZIRI WA MAWASILIANO NA HABARI WAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA LESENI TCRA

...
Share:

Naibu Waziri Kundo Amtumbua Meneja Wa TTCL Kagera, Shirika La Posta Kagera Kuchunguzwa

Na Faraja Mpina, BUKOBA Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew ametengua uteuzi wa Meneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wa Mkoa wa Kagera Bi. Irene Shayo kuanzia tarehe 30/07/2021 kwa kile kilichobainika kuwa taratibu za uteuzi wake zilikiukwa na utumishi...
Share:

Mhandisi Masauni Aridhishwa Na Utendaji Wa Shirika La Bima La Taifa

 Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amelipongeza Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa kuongeza ufani na kuboresha utendaji kazi wa Shirika hilo na kufanikiwa kuongeza kiwango cha uwekezaji kutoka sh. bilioni 85 mwaka 2018/2019...
Share:

Serikali Ya Zanzibar Yaapa Kuulinda Muungano

 Na mwandishi wetu, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuulinda Muungano kwa kuwa ndio tunu kubwa ambayo imeachwa na waasisi wa Muungano huo na kwamba Serikali haitotumia nguvu kwa baadhi ya wananchi wenye maoni taofauti bali itawaelimisha. Ahadi hiyo imetolewa na...
Share:

Usajili Wa Wakulima Washika Kasi

 Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na TAMISEMI, Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Serikali za Mitaa zinaendelea na usajili wa wakulima kwenye mfumo wa M-Kilimo ili waweze kutambuliwa, kutoa huduma kwa njia ya simu na pia Serikali kutoa huduma zingine...
Share:

Je, Unasumbuliwa na Tatizo la Kisukari na Nguvu za Kiume?...SUPER NHESHA ni Tiba Sahihi. Bofya Hapa Kujua Zaidi

SUPER – NHESHA Ni dawa ya kutibu tatizo la sukari au jina la kitaalamu (Diabetes Mellitus) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo Mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya Glucose katika mwili kutokana na mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza Insulin ya kutosha...
Share:

HESLB Yampongeza Rais Samia Ongezeko La Bajeti Ya Mikopo

Na Mwandishi Wetu, BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya Serikali kuongeza bajeti ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2021/2022 yenye kiasi cha TZS 570 Bilioni iliyoweka historia katika taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa...
Share:

MWANZA FRIENDS WAKUTANA SHINYANGA MJINI KUZINDUA KATIBA ,KUSAKA FURSA ZA UWEKEZAJI

Mwenyekiti wa Mwanza Friends Association, Patrick Joseph akionesha Katiba na Nyaraka mbalimbali za Kikundi cha Mwanza Friends Association. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Wanachama wa Kikundi cha Wafanyabiashara na Watumishi wa Umma  Marafiki kutoka Mwanza maarufu ‘Mwanza Friends Association’...
Share:

MBUNGE NEEMA LUGANGIRA ATOA NENO FEDHA ZINAZOKUJA NCHINI KWA AJILI YA NGOs

  MBUNGE wa Viti Maalumu CCM (NGOs Tanzania Bara) Neema Lugangira akizungumza  wakati wa  Uzinduzi wa Wiki ya Azaki imefanyika Jijini Dar es Salaam Julai 29 Julai 2021 MBUNGE wa Viti Maalumu CCM (NGOs Tanzania Bara) Neema Lugangira amesema wakati umefika kuhakikisha fedha...
Share:

TVMC YATOA ELIMU UKATILI WA KIJINSIA, LISHE MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

Mratibu wa Miradi wa Shirika lisilo Kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) la Mjini Shinyanga, Mary Mahanya (kulia) akizungumza katika banda la TVMC kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger