Saturday 2 April 2022

OJADACT, ERC WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHOKONOZI KWENYE UHALIFU WA MAZINGIRA

Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la  Environmental Reporting Collective la Nchini Malaysia (ERC) kimeendesha mafunzo ya siku moja ya  Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye Sekta ya  Uhifadhi wa Mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Mafunzo hayo yamefanyika leo Jumamosi Aprili 2,2022 katika Ukumbi wa Nyakahoja Jijini Mwanza na kukutanisha pamoja waandishi wa habari 20 kutoka Vyombo mbalimbali ya Habari ambapo Mgeni rasmi alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Hassan Masala.

Akifungua Mafunzo hayo, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Afisa Tawala wa Nyamagana Bwana  Yonas Alfred   ameipongeza OJADACT kwa kuandaa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze kuwa wabobezi wa kuandika habari za uhalibifu wa mazingira na kwamba elimu watakayopata waandishi hao itawasaidia na kuwawezesha kufanya kazi kwa weledi mkubwa.

“Suala la uhifadhi wa mazingira kwa sasa ni Ajenda ya Kidunia. Bila Mazingira viumbe akiwemo binadamu kesho yetu haiwezi kukamilika, hivyo kuandika habari za uhifadhi wa mazingira ni jambo muhimu sana”,amesema.

Amefafanua kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan inatoa kipaumbele kwenye suala la mazingira ndiyo maana kuna Sera ya Mazingira na Kanuni mbalimbali zinazosisitiza kutunza na kuhifadhi mazingira.

“Kuna mfano wazi kuwa wilaya yetu ya Nyamagana na Mkoa wa Mwanza una changamoto nyingi za kimazingira, kuna uvuvi haramu ndani ya Ziwa Victoria, kuna ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya shughuli za uchomaji wa mkaa. Naomba changamoto hizi zote baada ya kupata mafunzo haya maalumu ya kuandika habari za uhifadhi wa mazingira basi nendeni mkafichue uhalibifu huo wa mazingira kwa kutumia kalamu zenu”,amesema Alfred.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko amesema mafunzo hayo yamelenga kuwa mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye Sekta ya Mazingira yamelenga kuwajengea uwezo waandishi wa Habari ili kuhakikisha kuwa wanakuwa wabobezi katika uandishi wa habari za uhalifu wa mazingira ili kuwa na uhifadhi wa Mazingira.

“Leo tumekutana na waandishi wa habari 20 wa mkoa wa Mwanza lakini Aprili 9,2022 tutafanya mafunzo mengine kama haya yatakayoshirikisha waandishi wa habari 20 kutoka mikoa mbalimbali”,amesema Soko.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza leo Jumamosi Aprili 2,2022 katika Ukumbi wa Nyakahoja Jijini Mwanza. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko, kulia ni Katibu Msaidizi wa OJADACT Isack Wakuganda. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Mratibu wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Lucyphine Kilanga akiwasilisha mada kuhusu masuala ya uhalifu wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Martine Nyoni akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Isaack Wakuganda akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko akiwasilisha mada kuhusu Uandishi wa Habari za Uchunguzi kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira 

Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akipiga picha ya kumbukumbu na Waandishi wa habari walioshiriki Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira 
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred  akipiga picha ya kumbukumbu na Waandishi wa habari walioshiriki Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu  wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Share:

MUME MWENYE HASIRA AMUUA JAMAA ALIEMFUMANIA AKIRARUA TUNDA LAKE LIVE KITANDANI

Mume wa umri wa miaka 53 aliyapandwa na mori amemuua jamaa mwenye umri wa miaka 35 baada ya kumpata akirarua tunda lake.

Ripoti ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ilifichua Edwin Komen aliuawa kwa kukatwakatwa Alhamisi, Machi 31, usiku huko Ukwala, Keringet, kaunti ndogo ya Kuresoi Kusini. 

Kisa hicho kilitokea baada ya jamaa ambaye jina lake halikutajwa kumpiga mwanaume huyo akijivinjari na mkewe nyumbani kwake.

 “Akiwa na hasira, mzee huyo mwenye umri wa miaka 53 alinyoosha mkono kuchukua panga na kumshukia jamaa huyo bila huruma akamkata kichwa mara tatu na kumuua papo hapo.

"Katika harakati hiyo mwanamke huyo alikimbia eneo la tukio hadi kwenye mashamba ya karibu na hajaonekana tena," sehemu ya taarifa ya DCI ilisema.

Wanakijiji waliofurika eneo la tukio baada ya kusikia zogo walibaki vinywa wazi kutokana na tukio hilo la kutisha lililotokea katika kijiji chao tulivu. 

Chifu wa eneo hilo Peter Lang'at alisema kifo cha Komen kilikuwa cha kusikitisha. 

Aliwatahadharisha wakazi kutojichukulia sheria mkononi bali wahakikishe wanazingatia sheria. Mshukiwa alikamatwa na polisi na atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya mauaji. 

Kwingineko, mwanamke mmoja wa Mombasa alipatikana amefariki dunia katika nyumba yake huko Bamburi baada ya kile kinachoaminika kuwa usiku wa kimahaba na jamaa. 

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Alice Wasike inadaiwa aliaga dunia usiku akilishana uroda na mwanaume ambaye alitoroka baadaye.

Baadaye mtu huyo alitiwa nguvuni.
Share:

ALIYEKUFA, AKAZIKWA MWAKA 2021 ADAIWA KUFUFUKA

Binti Eurélia Manuel Benjamim Raia wa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi Novemba mwaka jana ametokea kijijini kwao Lindi nchini Msumbiji.

Eurélia Manuel Benjamim anatajwa kama Mtu aliyefufuka kutoka kwa wafu lakini yeye mwenyewe anasema alikuwa ameenda tu kufanya kazi katika shamba la Mjomba wake kwa miezi michache.

Msimamizi wa eneo katika Wilaya ya Montepuez amesema Walifanya sherehe zote za mazishi, sherehe ya siku ya tatu na kutembelea kaburi na kaburi halijavunjwa.”

Kikosi cha wataalamu kinatumwa kwenye Kijiji cha Lindi nchini humo kufanya uchunguzi ili kuona ni nani au nini kilizikwa kaburini.
Share:

VILE BIBI YANGU ALIVYOANZA KUSHIKA MIMBA. NASHUKURU KIWANGA!

Majina kamili naitwa Maish kutoka Mtopanga Tanzania nilikozaliwa yapata miaka ishirini na minane iliyopita. Nina Stori flani.

Mwaka jana nilikutana na mrembo flani na nikampenda kisha tukaanza kuchumbiana na kuanza maisha kwenye chumba kimoja cha kukodisha tukaishi kama bibi na bwana. Maisha yetu yakakuwa mazuri, penzi likanoga mno. La kushangaza, tumetafuta mtoto tangu mwaka jana lakini hatujafanikiwa. 

Mimba ya kwanza ilitoka kisha ya pili pia ikatoka tukabaki kwa masononeko. Sijajuwa ni nini hasa mbaya lakini nilimpeleka bibi hospitalini ili afanyiwe uchunguzi lakini suluhu haikupatika na ikafika wakati wa kuanza kulaumiana naye. Nilimuambia  kila mara simtaki sababu hawezi nizalia watoto hata nikamfukuza na akaenda kwao. 

Amekuwa kwao kwa muda wa miezi nane nilipoambiwa anahudhuria matibabu ya kienyeji kwa daktari Kiwanga. Hata nilipoambiwa hilo nilipuuzilia mbali lakini dadaangu akaniambia nitafute huyo bibi haraka huenda akafanikiwa kupata mtoto baada ya kupata matibabu kwa Kiwanga.

 Kwa sababu nilimuheshimu dadaangu huyo nilimtuma amuite bibi yangu arudi. Na la kushangaza aliporudi tumekuwa naye kwa muda wa mwaka mmoja na tayari tumepata mtoto.

 Kiwanga Doctors ni madaktari wa kiasili ambao wanaweza kutatuwa changamoto nyingi kama uzazi utasa na kadhalika. Tunapoongea nawe sasa hivi tunatafuta mtoto wa pili na maisha yetu ya ndoa inanawiri bila mvutano. Ahsante Kiwanga.

 Kama unajua una matatizio na mambo ya mapenzi au ndoa kwa nyumba yako tafadhali nakusihi pigia matabibu wa Kiwanga.

 Kiwanga Doctors ni shujaa wa mambo yote. Natoa wito kwa wenye shida za magonjwa, mapenzi, ndoa, biashara, kikazi na afya kuharakisha kuwatembelea madaktari was Kiwanga. Tuvuti au Website yao ni: www.kiwangadoctors.com; Simu: +254 769404965 au wasiliana kwa barua pepe yaani Email kwa: kiwangadoctors@gmail.com

Sio lazima usafiri hadi ofisi zao. Ongea nao kwa njia ya simu na utasaidika kwa haraka kama vile watu wengine wanavyopata usaidizi. Kiwanga Doctors wamekuwepo kwa muda mrefu na ni matabibu waliofuzu kufukuza umaskini, magojwa na shida za ndoa.

 Dr. Kiwanga pia anaweza kushika wezi, kuzuia mikosi, kumaliza na kushinda kesi kotini, kuimarisha nyota yako ya maisha na kikazi na kurudish mke au bwana nyumbani.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 2, 2022

Magazetini leo Jumamosi April 2 2022

Share:

Thursday 31 March 2022

Breaking : HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA MAKATIBU WA WAZAZI CCM NA BAADHI YA WATUMISHI WANAOKWENDA MAKAO MAKUU

KIKAO Maalum cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana Dodoma tarehe 30, Machi, 2022 pamoja na mambo mengine ikifanya uteuzi wa watendaji wa Jumuiya ya Wazazi ngazi ya wilaya.Sambamba na kufanya uhamisho kwa baadhi ya watendaji wa wilaya na makao makuu kama ilivyoorodheshwa kupitia taarifa hii iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Daniel George kwa niaba ya Katibu Mkuu Umoja wa Wazazi;

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger