
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Pendo Damas,akizungumza kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika kata nane za Wilaya hiyo,katikati Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Mji wa Mbinga(Mbiuwasa)Mhandisi Yonas...