Thursday, 30 May 2019

KAMPUNI YA JATU KUFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA WAKE JUMAMOSI,JUNI MOSI JIJINI DAR

Mkurugenzi  Mtendaji wa JATU  PLC  Peter Isare *** Mkutano mkuu wa Kampuni ya Umma ya Jenga Afya, Teketeza Umaskini (Jatu TLC) umepangwa kufanyika Jumamosi June Mosi, katika Ukumbi wa Mgulani jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine, wanachama wa Kampuni hiyo watachagua viongozi...
Share:

Picha : WOMEN FUND TANZANIA YATAMBULISHA MRADI WA KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KITAIFA WA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA

Shirika lisilo la kiserikali la Women Fund Tanzania linalofanya shugghuli za utetezi wa haki za wanawake na ujenzi wa tapo ya wanawake Tanzania lenye makao yake jijini Dar es salaam limetambulisha rasmi Mradi wa Kuwezesha Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto...
Share:

Naibu Waziri Nditiye Awataka Watanzania Kusoma Kwanza Maelekezo Ya Tiketi Kabla Ya Kukata Tiketi Ili Kuondoa Migogoro.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amewataka watanzania  Kuwa na desturi ya kusoma kwanza maelekezo yaliyopo kwenye tiketi  ya kusafiria  pindi wanapotaka kusafiri ili kuondoa migongano na migogoro baina yao na Wamiliki wa Vyombo...
Share:

Msemaji wa Serikali: Maono Na Mtazamo Wa Rais Magufuli Yazidi Kupaisha Makusanyo Ya Mapato Ya Madini

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO SERIKALI imesema maono na mtazamo yakinifu wa Rais Dkt. John Magufuli katika usimamizi na ufuatiliaji wa sekta ya madini, umewezesha ongezeko maradufu la makusanyo ya mapato ya sekta hiyo kutoka Tsh Bilioni 210 mwaka 2015/16 hadi kufikia Tsh Bilioni 302 kwa mwaka 2018/19...
Share:

Ufahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake

Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa.   Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo...
Share:

Serikali yakanusha kuwalazimisha wafanyakazi wake kuwa na laini ya TTCL

Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema hakuna agizo la Serikali linalolazimisha mfanyakazi wa Serikali kuwa na laini ya TTCL isipokuwa viongozi wanaowekewa vocha za Serikali kwamba ni muhimu kuwa na laini hizo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo amesema taarifa inayosambaa kwenye mitandao...
Share:

Rais Magufuli arejea nchini akitokea Zimbabwe

Rais John Magufuli amerejea nchini kutoka Zimbabwe ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen.  Venance Mabeyo. Rais  Magufuli kwa takribani wiki moja sasa amekuwa ziarani katika nchi kadhaa za Afrika,...
Share:

ATCL yamvuruga Nape, ahoji kucheleweshwa kwa ndege

ATCL yamvuruga Nape, ahoji kucheleweshwa kwa ndege...
Share:

ACHAPWA VIBOKO 40 KISA KULA EMBE OVYO OVYO HADHARANI MWEZI WA RAMADHAN

 Ibrahim Ismail, jamaa mwenye umri wa miaka 20 amepatikana na hatia ya kula embe wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na kupokea mijeledi 40 kwa kosa hilo.  Ismail ambaye alituhumiwa kula wakati Waislamu wengine wakifunga, amepatikana na hatia hiyo na mahakama inayoongozwa na sheria za Shariah...
Share:

Video Mpya: Rich Mavoko - Usizuge

Video Mpya: Rich Mavoko - Usizuge ...
Share:

ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUJIKATA UUME KWA WEMBE

Jamaa kutoka kijiji cha Bula, kaunti ya Isiolo  nchini Kenya aliripotiwa Jumatano kujikata uume wake, akitumia wembe baada ya kuzidiwa na dawa za kulevya.  Kwa mujibu wa ripoti ya eDaily, mamake jamaa huyo alifichua kwamba kisa hicho kilitokea wakati mwanawe huyo wa miaka 27, Abshiro Abdi,...
Share:

MKE,HAWARA MTOTO WAUA MUME MOROGORO

Boniface Agustino (46) mkazi wa Chamwino Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kuuawa na mke, mpenzi wake na mtoto wake kwa kupigwa kwa kitu kizito kichwani kwa kile kinachodaiwa kuwa wivu wa kimapenzi. Majirani walioshuhudia tukio hilo, akiwamo Mariam Mohamed, walidai kuwa juzi majira ya saa 8:00 mchana,...
Share:

BABA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA MTOTO WAKE

Said Rashid (36), mkazi wa Mbezi Juu jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumbaka mwanaye mwenye umri wa miaka 13. Akisoma hati ya mashtaka jana Jumatano Mei 29, 2019 mbele ya hakimu, Anifa Mwingira, wakili wa Serikali, Matarasa Hamisi amedai...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS MEI 30,2019

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger