Friday, 20 February 2015

TAARIFA KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA KUJITOLEA NA KUDAI KUAJIRIWA NA SERIKALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

JESHI LA KUJENGA TAIFA

TAARIFA KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA KUJITOLEA NA KUDAI KUAJIRIWA NA SERIKALI

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.

                Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
      Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.

·           Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya taifa.
Share:

Saturday, 14 February 2015

BREAKING NEWZ:MATOKEO KIDATO CHA NNE(NECTA) 2014 YATANGAZWA RASMI-ANGALIA HAPA MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                          
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT ,hatimae matokeo kidato cha nne 2014 yatangazwa rasmi .
Kama kawaida yetu Maswayetu blog tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia wale wote watakaotaka kuangaliziwa matokeo yao;
Enadpo utahitaji kuangaliziwa matokeo yako fanya yafuatayo,

1.TUMA NAMBA YA MTIHANI  MFANO S0710/0005/2013
    kwenda namba 0768260834

2.TUMA JINA LA SHULE  kwenda namba 0768260834
3.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TU AMBAYO
   UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA 0768260834
   AU 0653791475(TIGO PESA)

4.TAFADHALI TUMA KWANZA PESA NDIO UTUME
    NAMBA NA JINA LA SHULE  ,HUTAJIBIWA HADI
    UTUME  PESA

NOTE:SMS ZOTE ZITAJIBIWA NDANI YA MDA MFUPI THANKS.(usipige simu)
Share:

Tuesday, 10 February 2015

TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUTUMA MAOMBI YA MAFUNZO YA STASHAHADA YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana nasi kwa kupiga namba 0768260834 au 0653791475) pia like our facebook page here https://www.facebook.com/pages/MATUKIO-YA-WANAVYUO/495944367193545       
                                                  

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi  (NACTE) linapenda kuwataarifu wananchi kuwa limeongeza muda
Share:

BREAKING NEWZ:MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana nasi kwa kupiga namba 0768260834 au 0653791475)
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU ECXLUSIVE BLOGSPOT kama kawaida yetu kuwapa kitu roho inapenda ,soma taarifa hiyo chini kuhusu utangazwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2014 kama ilivyotolewa na Katibu baraza la mitihani.

                 

Share:

Sunday, 8 February 2015

MPYA:DOWNLOAD HAPA RATIBA YA MITIHANI VYUO VYA UALIMU DIPLOMA NA CHETI 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
  
eb 05
Feb 05
Share:

Tuesday, 3 February 2015

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATINUMZ-MARADHI YA MOYO HAPA MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA 02-02-2015,KOZI ZA FOOD SCIENCE,MICROBIOLOGY,BIOTECHNOLOGY

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

PDFPrintE-mail
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (Orginal Certificates) mahali na tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.
EXAMINATION RESULTS: COMMITTEE CLERK- MDAs AND LGAs
              
Na. EXAMINATION NUMBER  SCORE  REMARKS
1    CLERK-MDA-PSRS-1004    69    SELECTED
2    CLERK-MDA-PSRS-1058    63    SELECTED
3    CLERK-MDA-PSRS-1041    60    SELECTED
4    CLERK-MDA-PSRS-1069    60    SELECTED
5    CLERK-MDA-PSRS-1070    59    SELECTED
6    CLERK-MDA-PSRS-1130    59    SELECTED
7    CLERK-MDA-PSRS-1134    59    SELECTED
Share:

MAGAZETI LEO JUMANNE-KUBWA ZAIDI LOWASSA NA MWANDOSYA WANYUKANA-MASWAYETU BLOG

Share:

MAN UTD YAMALIZANA NA ANDERSON,AREJEA KWAO-MASWAYETU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Share:

Monday, 2 February 2015

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 02.01.2015-KUBWA ZAIDI JK AWAKATISHA WASAKA URAIS CCM-MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Saturday, 31 January 2015

NEWS:MEYA MANISPAA MOROGORO, WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI-MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY(MASWAYETU BLOG)

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ( wa kwanza kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro , Said Amanzi , wakipita eneo ambalo gari la namba SM 4151 Nissan iliyokuwa ikitumiwa na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo , ilipogongwa Januari 30, mwaka huu saa 9: 30 alasiri eneo la Mzambarauni Darajani -Msamvu barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam .Meya huyo na watu wengine watatu walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kulazwa wakindelea kupatiwa matibabu.
Share:

Friday, 30 January 2015

AJIRA MPYA: WIZARA YA AFYA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana nasi kwa kupiga namba 0768260834 au 0653791475)
                                  

Habari zenu ,kuna majina ambayo yameongezwa katika ajira za wizara ya afya tofauti na zile zilizotoka mwanzo,kama kawaida yetu maswayetu blog tupo vizuri kukuhabarisha ewe mpenzi msomaji wetu .
Pia tunaendelea kutoka huduma ya kuangalizia watu kama umeajiriwa au la kwa haya majina yalioongezewa katika ajira hizi(OFA TUTAKUANGALIZIA JINA LAKO NA RAFIKI YAKO KWA GHARAMA ILE ILE),
 Fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili,fani uliyosomea mfano nurse grade II 
2.kwenda namba 0768260834
3.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu,
4.Pesa zote zitumwe kwenda namba 0768260834 (mpesa) au 0653791475-tigo pesa na aitel money
5.SMS zote lazima zijibiwe,hutajibiwa hadi tupokee pesa yako,tuma kwanza pesa then jina.
Share:

Thursday, 29 January 2015

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 29 JANUARY 2015-KUBWA ZAIDI SAKATA LA LUPUMBA LATIKISA BUNGE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

.
Share:

Wednesday, 28 January 2015

MPYA:DOWNLOAD HAPA RATIBA YA MTIHANI UTAKAOANZA TAREHE 16 FEBRUARY 2015-CHUO KIKUU CHA SOKOINE-SUA KOZI ZOTE(TAFADHALI SHARE NA WENZAKO)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY(MASWAYETU BLOG)

EXAMINATION TIMETABLE STARTING ON 16 FEBRUARY

LETTER 
Degree Programme
Year
BSC. Agic Econ&Agribus.
123
BSc. Agric General
123
BSc. Agronony
123
BSc. Animal Science
123
BSc. Aquaculture
123

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger