Thursday, 5 June 2025

MASHINDANO YA SAMIA CUP MKINGA YAFANA, MSHINDI AJINYAKULIA SH M. 5 TASLIMU


Na Hamida Kamchalla, MKINGA.

MEELEZWA kwamba michezo hasa mpira wa miguu ni ajira kwa vijana lakini pia huwatoa vijana hao kwenye vijiwe na kuwafanya watambue nafasi na wajibu wao katika jamii zao ambapo kwa upande mwengine wanaweza kuoneana katika timu kubwa.

Mkurugenzi wa Makampuni ya Duvii Farms na Duvii Transport Saidi Rashid Duvii ameyasema hayo wakati wa fainali ya Kombe la Samia Cup Mkinga, katika Wilaya ya Mkinga ambapo timu  zilishiriki na hatimaye timu ya Chafupozi kuibuka kidedea kwa magoli mawili ya penati kwa moja dhidi ya timu ya Kasera.

Mkurugenzi huyo ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo amesema katika juhudi za kuunga serikali mkono katika michezo ameandaa mashindano hayo ikiwa ni sambamba na kurudisha fafhila kwa wananchi wilayani humo kupitia makampuni yake.

"Tumeanzisha ligi hii kwasababu pia asilimia kubwa ya vijana wapo mtaani, hivyo kwa kufanya hivi vijana hawa wataweza kuonekana lakini pia kuweza kupata ajira na kujiajiri, kuna vipaji vingi sana vinaishia mashambani, hivyo tumefanya ligi hii ili kuwaonesha watu kwamba vipaji vipo huku" amesema.
Sambamba na hayo, mkurugenzi huyo amebainisha kwamba mashindano hayo yatakuwa ni muendelezo ikiwa ni kuwaletea vijana pamoja na kujenga umoja na mdhilamano baina yao.

Naye aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya Coastal Union ya jijini Tanga Ahmed Aurora amesema moja ya lengo la mashindano hayo ni pamoja na kusaka vipaji ambapo pia yatasaidia kupata timu ambayo itakuwa ya kudumu wilayani humo.

"Sasa kupitia mashindano haya, tunakwenda kutengeneza timu moja ambayo naamini itakuwa bora kabisa ambayo itakwenda kushiriki katika ligi kuanzia chini hadi juu na kwa kuanza tayari tumeshapata vipaji hivyo" amebainisha Aurora.

Katika mashindano hayo, mshindi wa kwanza amezawadiwa Kombe, pesa taslimu shilingi Milioni 5 na medali, mshindi wa pili amepewa sh Milioni 3 na medali, mshindi wa tatu amepata shilingi Milioni 2 na wa nne shilingi Milioni 1.
Share:

JINSI HOUSE BOY ALIVYOFUMANIWA AKITEMBEA NA MKE WA BOSI WAKE




Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi kikubwa, huku akidumisha furaha na upendo katika ndoa yetu.

Ndani ya familia yetu, baada ya miaka mingi ya kusumbuliwa na wasichana wa kazi, tuliamua kujaribu kuwa na mvulana wa kazi kwa sababu wasichana ambao tuliwaleta kila mara walikuwa wakitoroka nyumbani kwetu siku chache baada ya kuanza kazi.

Ufanyaji kazi wa wavulana tuliowaleta, haukuwa mbaya, wengi wao walikuwa watiifu na wachapakazi, hivyo tuliamua kufanya nao kazi kwa muda mrefu ndani ya nyumbani yetu.

Siku zote mimi na mke wangu tulikuwa tukienda kazini kwetu asubuhi na kurejea usiku, kwa hiyo tulihitaji mtu wa kukaa nyumbani na mtoto wetu.

Kuna kipindi tulipata mvulana wa kazi (house boy) jina lake Jamal, alikuwa mfanyakazi wangu niliyempenda sana. Alikuwa akiamka mapema na kuandaa kifungua kinywa, kufua nguo na kumtunza mtoto wangu mwenye umri wa miaka mitano.

Kijana huyu alikuwa na urafiki mzuri na mke wangu jambo ambalo nililipenda kwa sababu sote tulivutiwa na kazi yake.

Sasa siku moja nilitafuta shati langu chumbani sikuliona hata baada ya kumuuliza mke wangu, naye alisema hajaliona. Kisha nikafikiria kwenda kuangalia chumbani kwa Jamal kwani yeye ndiye alikuwa anatufulia nguo na kuzipiga pasi.

Niliingia chumbani kwake wakati yeye alikuwa jikoni anatengeneza kifungua kinywa, niliangalia kitandani mwake na nilishangaa sana baada ya kukutana na sidiria ya mke wangu kwenye blanketi yake.

Nilidhani macho yangu yananidanganya lakini nilipotazama kwa karibu, hakika ilikuwa ni nguo ya ndani ya mke wangu. Wazo langu la kwanza lilikuwa ni kwenda kuwakabili wawili hao lakini sikuwa na ushahidi na hivyo wangekana.

Ila mke wangu alikuwa akifua nguo zake za ndani na kuzitundika bafuni kwetu kwa hivyo kupata sidiria yake kwenye chumba cha house boy ilikuwa ni hali ya kushangaza sana.

Harakaharaka nikachukua shati lingine na kutoka nje ya nyumba ili niweze kufikiria vizuri juu ya jambo hilo, lakini kitu ambacho nilijua kwa hakika ni kwamba mke wangu na house boy walikuwa na lao jambo.

Nilikwenda kazini asubuhi yake nikiwa na msongo wa mawazo sana. Nilimshirikisha mwenzangu kazini suala hilo, huyu rafiki yangu aliniambia ukweli ambao uliniuma ila ulinisaidia pia.

“Kaka, hao wawili wamekuwa wakifanya mapenzi kwa siri! Huko ni kukosa heshima kabisa! unapaswa kuwasiliana na Kiwanga Doctors ili wakusaidie kuwakamata tena kipindi wakifanya yao,” aliniambia.

Basi nilifanyia kazi ushaurii huo. Baada ya siku moja, nilirudi nyumbani jioni hiyo na kujifanya kila kitu kiko sawa. Mimi na mke wangu tulilala saa 1 usiku na nililala haraka kutokana na uchovu na msongo wa mawazo niliokuwa nao .

Ila kesho yake majira ya saa 1 asubuhi, niliamshwa na mayowe kutoka kwenye chumba cha house boy na nilipoingia chumbani kwake, nilimkuta mke wangu ameingia chumbani kwake na wote wawili walikuwa uchi na wamekwama kwenye sehemu zao za siri wakifanya ngono haramu ndani ya nyumba yangu.

Nilikasirika sana na niliwakemea kwa usaliti wao. Walikuwa na maumivu makali sana ambayo nilitaka kuyatumia kuwafundisha somo muhimu la maisha. Ila baadaye Kiwanga Doctors waliwafungua na wote wawili wakaomba msamaha kutokana na jambo hilo.

Binafsi niliamua kumsamehe mke wangu kwa sababu bado nilimpenda lakini nilimfukuza house boy kwa kunidharau.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Share:

GVEN T-SHIRT STORE & EMBROIDERY - SULUHISHO LAKO LA SARE NA T-SHIRT BORA

👕 Gven T-shirt Store & Embroidery – Suluhisho Lako la Sare na T-shirt Bora!

New Arrivals! ✨✨✨
Karibu sana kutoka Gven Embroidery & T-shirt Clothing Store 🧵

Je, unahitaji:
👕 T-shirt
👔 Mashati
🧢 Kofia
🪑 Seatcover
Kwa jumla na rejareja?
Na huduma za embroidery (kudarizi) zenye ubora wa hali ya juu?

Tunatoa huduma kwa:
⭐ Uniform za hoteli
⭐ Sare za shule
⭐ Sare za viwandani
⭐ Vikundi vya kijamii na kibiashara
⭐ Taasisi za serikali na binafsi
⭐ Ofisi binafsi (migahawa, stationery, maduka ya vipodozi n.k.)


Sasa suluhisho limepatikana!
👉 Gven T-shirt Clothing Store & Embroidery Logo
📍 Tunapatikana Shinyanga Mjini, mkabala na NMB Manonga

🎯 Tunatoa huduma bora za kudarizi kwa kutumia uzi wa kisasa
🛍️ Uuzaji wa T-shirt kwa jumla na rejareja
✅ Ubora wa kazi zetu unazungumza – hutajutia!


📞 Mawasiliano: 0767 926 671
Karibu sana – huduma kwa wakati na kwa heshima!

💥 NEW NEW NEW 💥


Share:

PETE YA UCHAWI ILIVYOMNASA MUME AKICHEPUKA


Naitwa Ummy kutokea Tanga, niko hapa kukusimulia hadithi ya maisha yangu ambayo imenitikisa hadi katika mzizi wa moyo wangu na kuniacha na kovu kubwa la maumivu.

Siku zote nilikuwa nikimshuku kuwa mume wangu hatokuwa mwaminifu katika ndoa yetu lakini nilikosa ushahidi wa jambo hilo, hivyo sikuweza kumuhoji kuhusu ukweli wa jambo hilo.

Rafiki yangu wa karibu aliyeponywa ugonjwa wa ajabu na Kiwanga Doctors, alinialika nyumbani kwake, aliamini wataalamu hao wa dawa za mitishamba wangeweza kunisaidia kufichua ukweli kuhusu jambo langu na mume wangu.

Kwa kuamini ushauri wake, niliwatembelea Kiwanga Doctors ambao walinipa pete ya uchawi na kuniagiza nikamvishe mume wangu, na kunihakikishia kwamba ukweli utajulikana ndani ya siku chache tu.

Nilirudi nyumbani huku moyo wangu ukiwa umejaa hamu na hofu. Nilimkabidhi mume wangu pete, nikamwambia ni ishara ya upendo wangu kwake. Basi alivaa bila kujali kusudi lake lilikuwa ni lipi hasa?.

Siku ya pili, baada ya kurudi kutoka kazini, nilikuta mlango wa mbele ukiwa umefunguliwa kidogo. Niliusukuma huku moyo wangu ukinidunda kwa kasi sana. Baada ya kusukuma ulango ule, nilichokiona ndicho ilikuwa hofu yangu ya siku zote kuhusu mume wangu.

Unajua niliona nini?, nilimkuta mume wangu akiwa na mwanamke mwingine kitandani wakifanya mapenzi. Hata hivyo, wawili hao walikuwa amegandana katika sehemu zao za siri. Kila mume wangu alipojaribu kuchomoa alikuwa akilalamika maumivu makali.

Lakini mazungumzo yety yaliyofuata ndiyo yalinivunja moyo sana. Mume wangu, kwa kukata tamaa kwake, alikiri wazi kuwa alikuwa na uhusiano na mwanamke huyo kwa kipindi kirefu. Alikiri kwamba hakuwa mwaminifu kwangu, mwanamke ambaye nilikuwa nimesimama naye katika hali zote ngumu.

Nilipokuwa nimesimama pale, nilihisi wimbi la hisia kali pamoja na hasira vikinitawala lakini nashukuru ukweli ulijulikana ingawa ni mchungu kupita maelezo.

Pete ya uchawi ilikuwa imefanya kazi yake kwa kufichua ukweli kuhusu uaminifu wa mume wangu ndani ya ndoa yetu. Ukweli unaweza kuwa mchungu sana lakini ni muhimu kwa uponyaji wa hisia na kusonga mbele.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Share:

Wednesday, 4 June 2025

TANZANIA YANADI UZOEFU WAKE KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA, YAWAALIKA MATAIFA KUJA KUJIFUNZA



NA. MWANDISHI WETU – GENEVA USWISI

Tanzania yaendelea kung’aa Kimataifa katika kukinadi Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura nchini Tanzania ambacho kimeifanya nchi kuwa kinara katika masuala ya menejimenti ya maafa hususan katika kuzuia, kupunguza kujiandaa na kukabili maafa pindi yanapotokea.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametoa kauli hiyo tarehe 03 Juni, 2025 Mjini Geneva nchini Uswisi wakati alipohudhuria Jukwaa la Nane la Dunia la Nnae la Kupunguza Madhara ya Maafa ili kutathmini, kujadili maendeleo ya utekelezaji wake na kuimarisha masuala ya usimamizi wa maafa kimataifa kupitia makubaliano ya hiyari ya nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ambayo yameridhiwa linaloendelea Mjini humo.
Akizungumzia masuala ya menejimenti ya maafa amesema Tanzania imenufaika kwa uwepo wa kituo hicho ambapo,kimeendelea kutumika kufanya ufuatiliaji wa uwezekano wa kutokea kwa majanga kwa kutumia mifumo ya kiteknolojia ya kijiografia kwa majanga yanayotokana na hali ya hewa na haidrolojia kwa kutumia jukwaa la kielektroniki la MyDEWETRA.

Aidha aliongezea kuwa Tanzania inajiandaa kuwa Kituo cha Kikanda kwa ajili ya wadau mbalimbali kujifunza namna ya kukabiliana na majanga katika mazingira ya Afrika na Nchi zinazoendelea hususan Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Dkt. Yonazi ametumia Jukwaa hilo kuyaalika Mataifa kuja kujionea na kujifunza namna Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema kinavyotumika kurahisisha ufuatiliaji wa mwenendo wa janga lililotabiriwa na kufanya uchambuzi wa kiwango cha madhara kwa jamii, miundombinu na mazingira, kuandaa taarifa za tahadhari ya mapema ya hatua za kuchukua za mzingo wa menejimenti ya maafa.

“Tanzania imeweza kushirikisha uzoefu wake katika masuala ya menejimenti ya maafa katika mkutano huo, na tumepata fursa ya kueleza fursa zilizopo nchini, na wenzetu wapo tayari kujifunza kutoka kwetu na namna tunavyokiendesha kituo na wapo tayari kushirikiana nasi,” alisema Dkt. Yonazi




Akiyataja baadhi ya manufaa ya kituo hicho amesema kimeendelea kimendelea kuipa nchi heshima kwa kuwa na mfumo huo unaosaidia katika kukabiliana na pindi yanapotokea.

Naye Mwakilishi Mkaazi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (SRSG) wa Kupunguza athari za Maafa, na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupunguza athari za Maafa (UNDRR),Bw. Kamal Kishore akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi ameipongeza Tanzania namna inavyoendelea kupiga hatua katika masuala ya usimamizi wa Maafa huku akiipigia mfano ikiwa ni moja kati ya Taifa linalotekeleza na kuendelea kufanya vizuri katika kukabiliana na maafa.





Share:

Tuesday, 3 June 2025

VITONGOJI 284 ARUMERU MASHARIKI VYAFIKIWA NA UMEME



📌  Ni kati ya Vitongoji 330 vya Jimbo la Arumeru Mashariki.

📌Kapinga asema upelekaji umeme unafanyika kwa  awamu kulingana na upatikanaji wa fedha

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma ya umeme Vitongoji 284 katika Jimbo la Arumeru Mashariki kati ya Vitongoji 330.

Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Juni 03, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Dkt. John Danielson Pallangyo aliyeuliza ni  lini Serikali itakamilisha kusambaza umeme wa REA katika Vitongoji 37 ambavyo vipo gizani katika Jimbo la Arumeru Mashariki.
 
"Mheshimiwa Mwenyekiti, Vitongoji 17 vipo katika hatua ya utekelezaji kupitia Mradi wa Ujazilizi (Densification IIB) na mradi wa kupeleka umeme katika Vitongoji Awamu ya Pili  A (HEP IIA), aidha, katika Vitongoji 29 zabuni imetangazwa ili kupata Wakandarasi wa kutekeleza miradi kupitia mradi wa kupeleka umeme Vitongojini Awamu ya Pili B (HEP IIB). 

Amesema kukamilika kwa miradi hiyo, kutawezesha vitongoji vyote vya Jimbo la Arumeru Mashariki kufikiwa na umeme.

Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Dkt.John Danielson Pallangyo aliyeuliza kuhusu  Kata za Arumeru Mashariki zinazo pata maji kutoka msitu wa mlima Arumeru na kuwa na  flouride ambapo Kampuni ya Kweka imejitolea kuweka mtambo wa kusafisha lakini kinachohitajika ni umeme,   Mhe. Kapinga amesema tayari Serikali imetenga fedha katika mwaka ujao wa fedha kukipelekea umeme wa uhakika Kitongoji cha Seneto Kata ya Legeruki kwa ajili ya kutibu flouride katika maji.

Akijibu swali la Mbunge wa Moshi Vijijini, Mhe. Profesa Patrick Alois Ndakidemi aliyeuliza Serikali itakiunganishia lini umeme Kitongoji cha Orera kilichopo Kijiji cha Mweka, Mhe. Kapinga amesema katika Jimbo la Moshi Vijijini yupo Mkandarasi anayetekeleza miradi ya kupeleka umeme kwenye Vitongoji 15 vya kila Mbunge na kuongeza kuwa kitongoji hicho kipo katika orodha hiyo ya Mkandarasi.

Akijibu swali la Mbunge wa Kondoa Mjini, Mhe. Ally Makoa aliyeuliza Serikali itapeleka lini umeme kwenye mitaa ya Mongoroma, Chandimo na Hachi,  Mhe. Kapinga amesema Serikali imeipelekea umeme mitaa ya Kondoa Mjini ambapo imebaki mitaa hiyo mitatu na kuongeza kuwa itatengwa fedha katika bajeti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuifikishia mitaa hiyo umeme.

Mhe. Kapinga ameongeza kuwa upelekaji wa umeme unafanyika kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha na bajeti ambayo imetengwa.

Akijibu swali la Mbunge wa Mwibara, Mhe. Charles Kajage aliyeuliza kuhusu lini Serikali itavipelekea umeme Vitongoji vya Jimbo la Mwibara ambavyo havina umeme, Mhe. Kapinga amesema Jimbo la Mwibara lina miradi ya Vitongoji ambayo inaendelea kutekelezwa. 

Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Rita Kabati aliyeuliza kauli ya Serikali kuhusu uwepo wa nguzo Kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo toka mwezi wa 11 mwaka jana na hadi leo umeme haujawaka, Mhe. Kapinga amesema hadi kufikia mwezi wa saba eneo hilo litakuwa limefikiwa na huduma ya umeme.
Share:

OFA YA RAIS SAMIA YAREJESHA HUDUMA YA MAJI KWA MAMIA YA WAKAZI WA SONGEA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya huduma  safi na usafi wa mazingira kwa wateja wa Songea (SOUWASA), Bi. Baby Lucas Bicco akizungumzia kuhusu umuhimu wa Ofa iliyotolewa na Mheshimiwa Rais kwa wateja waliositishiwa huduma hiyo ya maji safi na usafi Songea Mkoani Ruvuma


Na Regina Ndumbaro Songea-Ruvuma 

Ofa iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kurejesha huduma ya maji bure kwa wateja waliokatiwa huduma hiyo kutokana na madeni, imewanufaisha wakazi 287 wa Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. 

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA), Bi. Baby Lucas Bicco, amesema kuwa utekelezaji wa agizo hilo la Rais umefanyika kwa mafanikio makubwa kupitia kampeni mbalimbali za kuwafikia wateja waliositishiwa huduma.

Bi. Bicco amesema kuwa SOUWASA ilitumia njia mbalimbali kuwafikia wateja hao, ikiwemo kuwatafuta kwa njia ya simu, matangazo ya magari mitaani na ujumbe wa moja kwa moja kwa kila mteja. 

Kupitia juhudi hizo, hadi kufikia Mei 31, 2025, jumla ya wateja 287 walikuwa wameunganishiwa tena huduma ya maji bila gharama yoyote, na makubaliano maalum ya kulipa madeni yao polepole yalifikiwa.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kabla ya kuanza kwa ofa ya Rais iliyodumu kuanzia Mei 8 hadi 31, 2025, jumla ya wateja 2,400 walikuwa wamesitishiwa huduma kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo malimbikizo ya ankara. 

Katika kipindi hicho cha ofa, zaidi ya shilingi milioni 15 zilikusanywa kutoka kwa wateja waliokuwa na deni la jumla ya zaidi ya milioni 22, jambo linaloashiria mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato.

Aidha, Bi. Bicco ametoa wito kwa wateja wote wa maji kuhakikisha wanalipa ankara zao kwa wakati ili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma, kwani kuchelewesha malipo hupelekea kuongezeka kwa madeni na gharama za kurejesha huduma. 

Ameeleza kuwa mteja anayelipa kwa wakati anapata siku 30 za kulipa kwa hiyari bila adhabu yoyote, jambo linalomuepusha na changamoto za kifedha zinazoweza kutokea baadaye.

Kwa upande mwingine, Mamlaka hiyo imesisitiza kuwa kwa wateja ambao hawakufanikiwa kunufaika na ofa hiyo, bado wana nafasi ya kufika katika ofisi za SOUWASA na kuzungumza kuhusu namna ya kurejeshewa huduma.

 Amesema changamoto za kifedha ni tofauti kwa kila mteja, hivyo mamlaka iko tayari kusikiliza na kusaidia kwa kutoa fursa ya makubaliano maalum ya kulipa madeni hatua kwa hatua bila shuruti, ili kila mwananchi aweze kupata haki yake ya msingi ya huduma ya maji safi na salama.

Share:

CHAMA CHA USHIRIKA UDURU WASHINDA KESI,SHAMBA LARUDISHWA RASMI


Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Hassan Bomboko, amesema kuwa, shamba la Chama cha Ushirika Uduru Makoa lenye ukubwa wa ekari 358 limepokelewa rasmi na chama hicho baada ya kushinda kesi dhidi ya mwekezaji, Elisabeth Stegmeir.

Akizungumza na wananchi wa eneo la Uduru Makaa, Wilayani Hai, Mhe. Bomboko ameeleza kuwa, hukumu ya kesi hiyo ilitolewa tarehe 28 Mei 2025, baada ya mchakato wa muda mrefu uliodumu tangu mwaka 2022.

Mhe. Bomboko amesema kuwa mwanzo, chama hicho cha ushirika kilimkodisha mwekezaji huyo kwa makubaliano maalum, lakini baadaye mwekezaji huyo alikiuka masharti na kuacha kulipa kodi kwa kipindi cha miaka minne.

“Huwezi kuamua kukaa kwenye eneo la watu kwa miaka minne bila kulipa kodi, ilhali mali hiyo siyo yako. Najua mlikuwa mnasubiri sana hukumu hii, na niwaambie tu: hukumu imetoka, mmeshinda kesi, na sasa huyu mwekezaji anatakiwa kuondoka katika eneo lenu,” amesema Mhe. Bomboko.

Hata hivyo, Mhe. Bomboko amewasihi wananchi kuepuka kuvamia eneo hilo au kufanya fujo, akisisitiza kuwa, shamba ni mali ya chama, lakini taratibu za kisheria lazima zifuatwe ili mwekezaji huyo aondoke kwa amani.

Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe, amewataka wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati taratibu za kisheria zikiendelea ili mwekezaji huyo aondoke rasmi na shamba lirudishwe kwa chama.

“Ni ukweli usiopingika kwamba shamba hili ni letu na ni haki yetu – hilo halina mjadala. Tunakamilisha taratibu nyingine ili makabidhiano yafanyike na haki yetu ipatikane. Tumefanya kazi mchana na usiku kuhakikisha shamba hili linarejea mikononi mwa chama,” amesema Mhe. Mafuwe.
Share:

Monday, 2 June 2025

MILA POTOFU ZINAVYO CHOCHEA MIMBA ZA UTOTONI NA KUATHIRI NDOTO ZA VIJANA WILAYANI CHEMBA


Mwezeshaji wa mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Vena Assenga (kulia) akizungumza na makundi mbalimbali wakiwemo wazee wa mila,viongozi wa dini,na watendaji wa serikali kwenye mdahalo uliowakutanisha kwa ajili ya kujadili usawa wa kijinsia na kuondoa vikwazo kwa wanawake na vijana  wilaya ya Chemba . 

Na Dotto Kwilasa, DODOMA

Katika kijiji cha Kidoka, wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, mdahalo wa wazi umeibua mjadala mzito kuhusu athari za mila na desturi potofu zinazofanyika katika jamii kwa kisingizio cha kuenzi utamaduni wa Mtanzania.

Mdahalo huo ulioandaliwa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Ireland kupitia mradi wa Tuinuke kwa Pamoja, umebaini kuwa mila zinazohusishwa na ngoma za unyago na jando zimegeuka chanzo kikuu cha mimba za utotoni, utoro mashuleni, na kuvunjika kwa ndoto za vijana wengi.

Wazee wa kimila, viongozi wa dini, akina mama, wawakilishi wa serikali za vijiji na mashirika ya kiraia walishiriki mdahalo huo uliolenga kutafuta njia za kufanikisha usawa wa kijinsia na kuondoa vikwazo vinavyowakwamisha wanawake na vijana.

Sheikh Salamu Hando, mmoja wa washiriki kutoka Kidoka, ameeleza kwa uchungu jinsi baadhi ya ngoma za unyago zinavyohusisha mafundisho yenye mwelekeo wa ngono kwa watoto wa kike ambao bado hawajafikia umri wa utu uzima.

“Tunawaambia watoto kuwa sasa wamekuwa watu wazima, huku tukiwafundisha stadi za ndoa na tendo la ndoa, jambo ambalo linawapotosha na kuwasukuma kwenye majaribu ya mapenzi kabla ya wakati,” amesema Sheikh Hando.

Naye Arafa Hukomo, mjumbe wa kituo cha taarifa na maarifa katika kijiji hicho, ameongeza kuwa kutokana na kukosekana kwa sheria kali za kudhibiti desturi hizo, baadhi ya wasichana huishia kupata ujauzito wakiwa bado wadogo.

"Matokeo yake ni watoto wa kike kuacha shule na kukosa fursa ya kujitegemea baadaye kimaisha," ameeleza Hukomo.

Mbali na wasichana, vijana wa kiume nao wameathirika,Wengi wao hutoroka shule na kukimbilia mijini wakisaka ajira zisizo rasmi ili kujitafutia kipato, hatua ambayo huwapeleka mbali na ndoto zao za kielimu.

Amesema, “Jamii inawafanya vijana waamini kuwa mtu mzima ni yule anayeweza kujitegemea kiuchumi, hata kwa njia isiyo rasmi,” alisema mmoja wa washiriki wa mdahalo.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii wa kijiji hicho, Samalu Lupande, ameangazia kiini kingine cha tatizo kuwa ni umaskini wa kaya.

Amesema kuwa wazazi wengi, hasa katika familia masikini, huwalazimisha au kuwasihi watoto wao wasome kwa kiwango cha kawaida tu, au hata kuacha shule, ili wawasaidie katika shughuli za kiuchumi.

Amesena wazazi wengine huwashawishi watoto wasifanye vizuri kwenye mitihani ili wasiendelee na masomo,hii hutokea kwa sababu hawana uwezo wa kugharamia elimu ya juu,” amesema.

Mbali na hayo,ameeleza kuwa umasikini umekuwa kichocheo cha wasichana kujiingiza kwenye mahusiano ya kingono kwa ajili ya kujikimu.

“Mtoto anakwenda shuleni bila chakula, hana vitabu, hana sare za shule anapotokea mtu kumsaidia, hata kama kwa masharti ya rushwa ya ngono, anakubali,hii ni hatari kwa maendeleo ya jamii,” anafafanua Lupande.

Kutokana na hayo Mwezeshaji kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Vera Assenga amesisitiza kuwa lengo kuu la mdahalo huo ni kuchochea mabadiliko ya kijamii kupitia utungaji wa sheria rafiki kwa mtoto wa kike.

Ameeleza kuwa si mila zote ni mbaya, lakini ni muhimu kuchuja yale maudhui ambayo yanapingana na ustawi wa watoto na vijana.

“Tunapaswa kutofautisha kati ya ngoma kama sanaa ya utamaduni na mafundisho yake.

Tukiweka sheria madhubuti, tutaweza kubaki na utamaduni wetu bila kuharibu maisha ya watoto wetu,” amesema Assenga.

Naye Deogratius Temba, mwezeshaji wa mradi wa Tuinuke kwa Pamoja unaotekelezwa Chemba na Kondoa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Ireland, ameeleza kuwa mradi huo umejikita katika kuondoa vikwazo vya kijinsia vinavyomkandamiza mwanamke na kijana.

Ameeleza kuwa kupitia mijadala na midahalo ya kijamii kama hii, jamii huamshwa kiakili na kijamii, na hivyo kuwa tayari kubadilika.

Mjadala huu unaashiria mwamko mpya katika wilaya ya Chemba,mwamko wa kuhoji na kuchuja maudhui ya mila na desturi zetu.

Amesema ni dhahiri kuwa jamii inahitaji mabadiliko ya haraka kwa mila zisizofaa ili kuwaepusha watoto wa kike na wa kiume dhidi ya athari zinazotokana na desturi potofu.

"Tunafahamu tunawajibu wa kuzitii mila na tamaduni zetu, lakini jamii yetu inafaa kufahamu kuwa kuna mila hazifai kuzingatiwa kwa kuwa zimepitwa na wakati, ni wajibu wa kila mdau kushiriki katika mapambano haya kwa kuweka mbele maslahi ya watoto na kizazi kijacho, amesisitiza.

Pamoja na mambo mengine Mdahalo huo ulioandaliwa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Ireland kupitia mradi wa Tuinuke kwa Pamoja, ulibaini kuwa mila zinazohusishwa na ngoma za unyago na jando zimegeuka chanzo kikuu cha mimba za utotoni, utoro mashuleni, na kuvunjika kwa ndoto za vijana wengi.


Share:

MOROCCAN SAHARA: UK CONSIDERS MOROCCO’S AUTONOMY PROPOSAL AS MOST CREDIBLE TO SETTLE THE DISPUTE


The United Kingdom “considers Morocco’s autonomy proposal, submitted in 2007 as the most credible, viable and pragmatic basis for a lasting resolution of the dispute” over the Moroccan Sahara, and “will continue to act bilaterally, including economically, regionally and internationally in line with this position to support resolution of the conflict”.

This position was expressed in a Joint Communiqué signed, Sunday in Rabat, by the Secretary of State for Foreign, Commonwealth and Development Affairs of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland, David Lammy, and the Minister of Foreign Affairs, African Cooperation and Moroccan Expatriates, Nasser Bourita.

This document underlines that the UK “follows closely the current positive dynamic on this issue under the leadership of His Majesty King Mohammed VI.” It adds that London “recognises the importance of the question of Western Sahara for the Kingdom of Morocco,” noting that this settling this regional dispute “would strengthen the stability of North Africa and the relaunch of the bilateral dynamic and regional integration.”

The UK affirms, in the Joint Communiqué signed at the Foreign Ministry headquarters, that UK “can consider supporting projects” in the Sahara, notably as part of “the UK Export Finance’s £5bn commitment to support new business across the country.”

It also underlines that the UK “recognises Morocco as a key gateway to Africa’s socio-economic development and reaffirms its commitment to deepening engagement with Morocco as a partner for growth across the continent”.

In this document, “both countries support, and consider vital, the central role of the UN-led process,” reaffirming “their full support for the efforts of the UN Secretary-General’s Personal Envoy, Mr. Staffan de Mistura.” To this end, the UK underlines that it is “ready, willing and committed to lend its active support and engagement to the Personal Envoy and the parties.”


“As a Permanent Member of the UN Security Council, the United Kingdom agrees with Morocco on the urgent need to find a resolution to this long-held dispute, which would be in the interest of the parties”, the document notes, adding that “the time for a resolution and to move this issue forwards is long-overdue, and would strengthen the stability of North Africa and the relaunch of the bilateral dynamic and regional integration,”.

This new position of the United Kingdom, a permanent member of the UN Security Council, aligns with the strong stances expressed by many major powers, notably the United States, France, and Spain.

This new position of the United Kingdom, a permanent member of the UN Security Council, reinforces the growing international momentum driven by His Majesty King Mohammed VI in support of the Autonomy Plan under Moroccan sovereignty.

It also confirms the credibility of this initiative and the broad consensus backing it to reach a final resolution to the regional dispute over the Moroccan Sahara
Share:

Sunday, 1 June 2025

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 2,2025

Magazeti
















Share:

MAHAKAMA 'KESHO' KUSIKILIZA KESI YA TUNDU LISSU 'Live' MOJA KWA MOJA MITANDAONI

Mahakama ya Tanzania imetangaza kuwa mashauri ya jinai namba 8606/2025 na 8607/2025 dhidi ya Tundu Lissu yatasikilizwa Jumatatu, 2 Juni 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Mashauri hayo yatarushwa mubashara kupitia mitandao ya kijamii na tovuti ya Mahakama (www.judiciary.go.tz) ili kuruhusu wananchi kuyafuatilia bila kuhudhuria mahakamani.

Ukumbi wa Mahakama utachukua watu wachache tu: Mawakili wa Serikali (10), wa Utetezi (60), na Waandishi wa Habari (10). Wananchi wengine wanahimizwa kufuatilia kesi kupitia mitandao kwa mujibu wa Mpango Mkakati wa Mahakama ya kuimarisha uwazi na matumizi ya TEHAMA.

Matangazo ya moja kwa moja yataanza kabla ya saa 2:30 asubuhi. 


Share:

NILIVYOOKOA TITI LANGU LISIKATWE KISA SARATANI


Jina langu ni Lily kutokea Mombasa, nakumbuka takribani miezi minane iliyopita, nilianza kupata maumivu yasiyo ya kawaida kwenye titi langu la upande wa kulia.

Maumivu yalikuwa makali sana hadi kupelekea mara nyingi kulazimika kuomba likizo kazini kwangu ili nipumzike nyumbani. Hapo nilikuwa na umri wa miaka 27 tu na bado sijaolewa. Hivyo, nilihangaikia sana afya yangu katika umri mdogo.

Hali hiyo ilianza wakati naoga siku moja, niliona kifua changu kumelegea kuliko kawaida na nilihisi uzito usio wa kawaida kama kulikuwa na mawe makubwa ndani.

Nikiwa na wasiwasi, nilitafuta matibabu mara moja. Baada ya kufanya vipimo kadhaa, Daktari alitoa habari zenye kuhuzunisha, nazo ni kwamba nilibainika kuwa na saratani ya matiti. Ugunduzi huu ulikuja kwa kuchelewa sana, hivyo tiba pekee iliyopendezwa ilikuwa ni chemotherapy.

Nikiwa nimehuzunishwa, sikutaka kukubali tiba hiyo hasa katika umri wangu na hali yangu ya kutoolewa, nilimsihi Daktari achunguze matibabu mbadala. Hata hivyo, alisisitiza kuwa tiba hiyo ndio sahihi kwangu.

Nikiwa nimefadhaika, nilirudi nyumbani, nikiwa sina tumaini na msongo wa mawazo. Baada ya muda, Daktari alionya kwamba saratani ilikuwa ikienea haraka na kwamba upasuaji ungehitajika ndani ya mwezi huo.

Nikiwa nimekata tamaa kabisa, nilikutana na ushuhuda kwenye mtandao wa Facebook kutoka kwa mwanamke aliyedai kuponywa saratani na Kiwanga Doctors ambao ni wataalamu wa tiba asilia.

Ingawa nilikuwa na mashaka kuhusu ushuhuda huo, niliamua kujaribu tiba kutoka kwa Kiwanga Doctors. Kwa mshangao wangu, walinihakikishia kwamba wanaweza kuponya saratani yangu bila upasuaji, kwa kutumia mchanganyiko wa mitishamba na uchawi.

Basi nilipewa mchanganyiko maalum wa mitishamba ili ninywe na nikafanyiwa tambiko la uponyaji. Kwa mshangao, ndani ya siku chache tu, niliona mabadiliko makubwa katika kifua changu. Uchunguzi uliofuata ulipobaini kuwa hakuna dalili zozote za saratani, hata wataalamu wa matibabu walishangaa.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger