
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro akikabidhi zawadi ya fedha kwa washindi wa mashindano hayo.
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MSHINDANO ya Katambi U-17 CUP yametamatika rasmi,huku Timu ya Katunda FC wakiibuka washindi wa michuano hiyo,baada ya kuifunga Busulwa Sec kwa mikwaju ya penati,na...