Wednesday, 5 October 2022

RC BABU AFUNGUA TAMASHA LA JINSIA KANDA YA KASKAZINI....AKEMEA UKATILI "TUSIWAPIGE, TUWABEMBELEZE WANAWAKE"

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu akifurahia jambo na washiriki wa Tamasha la Jinsia Kanda ya Kaskazini. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amezindua Tamasha la Jinsia Kanda ya Kaskazini linalofanyika katika viwanja vya Kwasa Kwasa wilaya...
Share:

ROMBO KUTUMIA SOKO LA KIMATAIFA KUUZA NDIZI ILI KUONGEZA KIPATO CHA WAKULIMA.

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Na Mathias Canal, KILIMANJARO KATIKA  kuimarisha sekta ya Kilimo  imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kutumia soko la kimataifa kuuza ndizi ili kuongeza kipato cha wakulima. Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa...
Share:

Tuesday, 4 October 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 5,2022

...
Share:

WAZIRI WA MADINI ARIDHISHWA KASI YA UJENZI WA KINU CHA KUPOZA UMEME GGML

Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko ( wa nne kulia) akipatiwa maelezo kuhusu mradi wa kinu cha kupoza umeme kutoka kwa Meneja anayehusika na miundombinu kutoka GGML, Eliakimu Kagimbo. Dk. Biteko alitembelea mgodi wa GGML pamoja na mradi huo unaojengwa na kampuni hiyo ili kupokea umeme wa Tanesco na...
Share:

TBS LIMEFUNGUA MAFUNZO KUHUSU KANUNI YA USHIRIKIANO KATI YA TBS NA HALMASHAURI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi.Rehema Madenge akizungumza katika ufunguzi mafunzo ya Utekelezaji wa kanuni za Ushirikiano katika Utekelezaji wa Mamlaka na Majukumu baina ya TBS na Tamisemi yaliyotolewa kwa Maafisa Afya na Maafisa Biashara wa mkoa wa Dar es salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu...
Share:

RAIS SAMIA KUFUNGUA MKUTANO WA 65 WA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI (UNWTO)

  Na Woinde Shizza , ARUSHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufungua mkutano wa kimataifa wa 65 wa shirika la Utalii duniani (UNWTO) Oktoba 5,2022. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha,Waziri wa maliasili na utalii,Balozi aesema mkutano...
Share:

UNAKUMBUKA STORI YA MKE ALIYEFARIKI AKIMFUKUZIA MMEWE AKIWA NA MCHEPUKO?? MMEWE NAYE KAFARIKI

WIKI mbili zilizopita kulikuwa na habari za tanzia kuhusu mwanamke mmoja aliyefariki dunia katika ajali ya barabara alipokuwa akimkimbiza mumewe, Sonnie Bassey baada ya kumfumania na mwanamke mwingine. Sakata hilo limeibuka tena baada ya taarifa mpya kudai kuwa mwanaume yule naye pia amefariki...
Share:

NABII MKUU DKT. GEORDAVIE AWAPONGEZA WANARIADHA ZAIIDI YA 500 WALIOSHIRIKI NGURUMO YA UPAKO MATEMBEZI MARATHON

Na Woinde Shizza ARUSHA Wanariadha zaidi ya 500 kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Arusha wamefanikiwa kushiriki katika mbio za riadha zijulikanazo kama Ngurumo ya upako matembezi marathon. Mbio hizo ambazo zimefanyika jijini Arusha juzi ambapo washindi wa mbio hizo wameweza kupatiwa zawadi mbalimbali...
Share:

NYUKI WAVAMIA MKUTANO WA UCHAGUZI CCM ...WAJUMBE WAJERUHIWA

Katika hali isiyo ya kawaida, jana Oktoba 2, 2022 nyuki walivamia ukumbi wakati uchaguzi ukiendelea wa kumpata Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Vijijini. Tukio hilo ambalo lilishangaza wengi, lilitokea wakati wa mapumziko wajumbe wakisubiri utaratibu wa kurudia uchaguzi baada...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger