Jamaa wawili wamefikishwa mahakamani Jumanne ,Disemba 31, 2019 baada ya kukashifiwa kwa kuiba chupa sita za pombe aina ya Jameson.
Daniel Mbugua na Cliff Obonyo ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya Mitchel Cot wanasemekana kutekeleza kitendo hicho Disemba 17, wakiwa mtaani Embakasi.
Pombe...
Jamaa mmoja nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga mwenye miaka 35, amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila.
Ismail Dholaga ambaye anafanya kazi ya udereva wa pikipiki (bodaboda) alilazimishwa kufanyiwa kitendo hicho...
Watu watatu wanaelezwa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Hiace yenye namba za usajili T 836 DEB ikitokea Kishapu kwenda Shinyanga Mjini kumgonga mwendesha baiskeli na kutumbukia mtaroni wakati ikikwepa gari aina ya Toyota Harrier yenye namba za usajili T726 DFM.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa...
Na Amiri Kilagalila-Njombe
Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia ndugu Josphat Mtega (24) mkazi wa Ramadhani mjini Njombe kwa tuhuma za kumsababishia kifo mkewe kilichotokana na ugomvi.
Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake,kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema...
Na Amiri Kilagalila-Njombe
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limesema kwa nyakati tofauti watoto wanne mkoani humo wamepoteza maisha kutokana na maji.
Akizungumza na vyombo vya habari mkoani humo kamanda wa polisi Hamis Issa amesema,mtoto wa kwanza aliyefahamika kwa majina ya Alpha Pilla...
Mahakama ya Kisutu imetupilia mbali ombi la Erick Kabendera kwenda kutoa heshima za mwisho kufuatia kifo cha mama yake mzazi.
Hakimu Janeth Mtega amesema mahakama haina mamlaka ya kutoa ruhusa hiyo, na mtuhumiwa hana fursa ya kukata rufaa kupinga uamuzi huo.
Maombi hayo yaliwasilishwa...
Diwani wa kata ya Maganzo, Lwinzi Mbalu Kidiga ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madiwani wa kata zinazozunguka mgodi wa Mwadui akiwatangazia wananchi kuhusu taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wao.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Katika hali isiyotarajiwa mkutano wa wananchi wanaozunguka mgodi wa...
Upande wa Serikali umempa pole Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera kwa kufiwa na Mama yake mzazi, Verdiana Mujwahuzi huku ukipinga maombi yake ya kutaka ashiriki Ibada ya mazishi ya mama yake.
Hayo yamebainika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati Kabendera anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji...
Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi nchini Iraq yanayoungwa mkono na Iran ambao waliovamia maeneo ya viunga vya ubalozi wa Marekani na kurusha mawe katika maandamano ya siku mbili wameondoka jana(01.01.2020).
Hatua hiyo imewezekana baada ya Marekani kupeleka ...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Flora Adamu (23), mkazi wa Shinyanga Mjini, kwa tuhuma za kumkata mumewe sehemu za siri, ambaye ni askari Polisi mwenye Namba H, 8980 Pc Kazimiri, kwa madai ya kumtuhumu kutokuwa muaminifu katika ndoa.
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa huyo alimtuhumu mumewe...