Monday, 3 June 2019

Nape Ammwagia Pongezi Waziri Makamba

Mbunge wa Jimbo la Mtama,Nape Nnauye ametoa pongezi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kwa kusimamia suala la katazo la mifuko ya Plastiki. Katika ukurasa wake wa Twitter leo asubuhi Jumatatu Juni 3, 2019 Nape ameandika ujumbe akisema kazi iliyofanywa na Makamaba...
Share:

Tangazo la Nafasi za Masomo Kwa Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Lake Tanganyika....Changamkia Hii Fursa

...
Share:

Jeshi la Polisi Kigoma Lafanikiwa Kumkamata kinara wa ubakaji na kujeruhi wanawake

Vyombo vya dola mkoani Kigoma vimefanikiwa kumkamata Hussein Hamis, anayetuhumiwa kuwa kinara wa ubakaji na kujeruhi wanawake nyakati za usiku maarufu kama teleza. Hamis aliye maarufu kwa jina la Orosho, alikamatwa pamoja na watuhumiwa wengine tisa wakitambuliwa kama teleza, ambao huwaingilia kingono...
Share:

Mwenyekiti wa Chama cha Umma (Chaumma) Hashim Rungwe Aripoti Polisi

Mwenyekiti wa Chama cha Umma (Chaumma) Hashim Rungwe ameripoti katika kituo cha polisi Osterbay kuitikia wito wa kamanda wa polisi Mkoa wa Kinondoni Mussa Taibu. Rungwe amefika kituoni hapo saa 4.10 asubuhi ya leo Jumatatu Juni 3, 2019  akiwa amevalia kanzu nyeupe akiongozana na mtu mmoja ambao...
Share:

Kitabu Cha Madini Yapatikanayo Tanzania

Serikali kupitia  Wizara ya Madini chini ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imetoa toleo jipya la kitabu cha Madini yapatikanayo Tanzania kuanzia ngazi ya Mikoa, Wilaya na Kata.   Toleo hili la nne linaonesha taarifa nyingi zaidi ambapo maeneo mapya yenye madini yameongezeka...
Share:

Waziri Mhagama Azindua Baraza La Taifa La Ushauri Kwa Watu Wenye Ulemavu

Na; Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amezindua rasmi Baraza la Taifa la ushauri kwa Watu wenye Ulemavu huku akilitaka baraza hilo kufanya kazi kwa weledi na ushirikiano ili kuleta tija na mafanikio...
Share:

Naibu Waziri Kanyasu Awaonya Wananchi Wanaotoa Vitisho Kwa Askari Wanyamapori Wa Vijiji

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amewataka Wananchi waache tabia ya kuwatishia maisha  Askari wanyamapori wa vijiji  (VGS) wakati wanapowakataza wananchi hao kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo ya mtawanyiko na mapito ya wanyamapori (shoroba) Kufuatia...
Share:

Taarifa rasmi ya Tukio la Mama Mjamzito kujijeruhi Kirando - Rukwa

Kuanzia tarehe 30 Mei, 2019 kuna taarifa zilizosambaa na kutolewa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu mama mjamzito anayesemekana kujijeruhi maeneo ya tumboni na kupelekea kutoa mtoto tumboni,tukio lililotokea katika kata ya Kirando Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa.  Baada...
Share:

Vyama vya Upinzani Vyatangaza Kususia Uchaguzi wa Marudio

Vyama  nane vya upinzani vimesema havitashiriki uchaguzi wa marudio katika kata 32 unaotarajia kufanyika Juni 15, mwaka huu, endapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haitatekeleza agizo la Mahakama la kuwataka wakurugenzi wa halmashauri kutosimamia uchaguzi. Vyama vilivyosusia ni Chama cha Demokrasia...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu June 3

...
Share:

Sunday, 2 June 2019

WACHIMBAJI ZAIDI YA ELFU 10 HATARINI KUPATA MAGONJWA YA MLIPUKO MSALALA KUTOKANA KUJISAIDIA PORINI

 Choo cha maturubai cha wachimbaji. Akina mama wakitafuta mawe ya dhahabu Na Salvatory Ntandu - Kahama Zaidi ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu 10,000 katika mgodi usiyo rasmi ulipo katika kijiji cha kakola namba tisa katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga...
Share:

Nacte: Tamisemi selection 2019

Nacte Tamisemi selection 2019, Form Five selection, Selection form five 2019/2020 , form five selection 2019/20 first selection form five 2019 pdf tamisemi form five selection 2019 form five second selection 2019/2020 post form five 2019, necta form five selection 2019, www.tamisemi.go.tz form five selection, form 5 selection 2019 pdf download, form five second selection 2019/20 List of students...
Share:

WANANCHI WAUA MWIZI ALIYEKUTWA AKIIBA DUKANI HUKU AKIJIHAMI KWA KISU SHINYANGA

Mwanaume, aliyejihami kwa kishu asiyefahamika jina kabila wala makazi yake umri kati ya miaka 28 - 29 ameuawa na wananchi waliojichukulia sheria mkononi baada ya kukutwa akiiba bidhaa za duka kwenye duka la Bertha John (28), mkazi wa kijiji cha Nyashimbi, kata ya Puni, Tarafa ya Itwangi, wilaya ya...
Share:

TBL YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE DAR, ARUSHA, MWANZA NA MBEYA

Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL- Dar es Salaam wakishiriki futari iliyoandaliwa na kampuni kwa wafanyakazi wake mwishoni mwa wiki. Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL-Mbeya wakishiriki futari iliyoandaliwa na kampuni kwa wafanyakazi wake mwishoni mwa wiki Wafanyakazi wa kiwanda cha TBL-Mwanza wakishiriki...
Share:

Ngoma Mpya ya Asili : KISIMA - MBINA

Nakualika kutazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Majabala 'Kisima The Greatest Singer' kutoka mkoani Simiyu, inaitwa Mbina... Ngoma kali sana mtu wangu,itazame hapa chini ...
Share:

JAMAA AFURAHIA KUFANYA KAZI NA MAITI ...ADAI HAWASUMBUI KABISA!!

Kwa wengi, maiti huogofya sana na ni wachache pekee ambao huwa na ukakamavu wa kuingia kwenye vyumba vya kuhifadhia maiti.  Wengi huteta kuwa huathirika na ndoto mbaya wakati wowote wakikutana na maiti. Lakini  Basil Enatu ambaye hupenda kufanya kazi na maiti. Ni muhudumu wa hifadhi...
Share:

Waziri Mkuu Aushukuru Uongozi Wa Kanisa ......Ni Baada Ya Kutoa Sehemu Ya Eneo Lake Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Shule

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameushukuru uongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Lindi kwa kutoa sehemu ya eneo lake na baadhi ya majengo kwa ajili ya ujenzi wa shule. Jimbo Katoliki la Lindi limetoa eneo hilo lilipo katika Parokia ya Mnacho wilayani Ruangwa ambalo awali ilikuwa shule ya msingi ya Mnacho...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger