Sunday, 2 June 2019

EDWIN SOKO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MWANZA

Mwenyekiti mpya wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza, Edwin Soko (katikati) akitoa salamu zake za shukrani baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum uliofanyika jana Juni 01, 2019 katika ukumbi wa Nyanza jijini Mwanza kumchangua kushika nafasi hiyo hadi hapo mwakani 2020 uchaguzi mkuu utakapofanyika.  ***** Wajumbe...
Share:

WAJASIRIAMALI 3400 WANUFAIKA NA MIKOPO YA BENKI YA POSTA (TPB) TANGA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Benki ya Posta kwenye maonyesho ya saba ya biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kulia ni Meneja wa Tawi la Benki ya Posta (TPB) Tanga Jumanne Wagana Kamanda wa...
Share:

BINTI HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI MSAADA WAKO... HANA PESA ZA MATIBABU

Happiness Stephen Makala,mkazi wa mtaa wa Busulwa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga anaomba msaada wa matibabu kwa mtoto wake aitwaye Rogathe Cyprian Makala mwenye umri wa miaka 18, ambaye anayesumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa ngozi kwa muda wa miaka 16 sasa. Anasema amehanghaika katika...
Share:

KIJANA SALUM RAMADHAN SALUM ABICHI AMEPOTEA...TUNAMTAFUTA

Habari za Leo, Pole na majukumu ya siku nzima.  Napenda kukujulisha kuwa ndugu Salum Ramadhan Salumu (18) ,BADO hajapatikana wala hatujapata taarifa zake. Tafadhali naomba msaada wako wa kila njia (Instagram,Facebook,Twitter,Radio,TV,Blog,Makundi ya WhatsApp,Website Nakadhalika) kusambaza...
Share:

TAKWIMU ZA MIMBA ZAMSHITUA KAMANDA WA POLISI MWANZA "HATUWEZI KUKUBALI"

Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza, ACP. Jumanne Muliro akifungua kikao kazi cha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali za Mitaa, Ustawi wa Jamii, Dawati la Jinsia, Jeshi la Polisi na wataalamu wa afya mkoani Mwanza. Kikao hicho kiliandaliwa na shirika la kutetea haki za wanawake na watoto (KIVULINI)...
Share:

KAMPUNI YA GREENWASTEPRO YAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MIFUKO MBADALA

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya GreenWastePro wakionyesha aina mifuko (vibebeo) ambayo haipaswi kutumika kuanzia leo Juni 01, 2019 baada ya kuanza kwa katazo la Serikali la uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko hiyo. Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Kampuni ya huduma ya usafi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger