Tuesday, 5 February 2019

Picha : RAIS MAGUFULI AKINUNUA NA KUNYWA MADAFU MTAANI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na Katibu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole kunywa Dafu alilonunua kwa mjasiriamali Paschal Sabas mara baada a kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la CCM (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni...
Share:

DAWA ZA MITI ZA KUTIBU UKIMWI ZAMTOKEA PUANI MCHUNGAJI WA KANISA

Mahakama nchini Zimbabwe imemlima faini ya dola 700 mchungaji mmoja mashuhuri nchini Zimbabwe baada ya kumkuta na hatia ya kudanganya kuwa ana dawa ya miti shamba inayotibu Ukimwi. Walter Magaya awali alikiri mashtaka ya kuvunja sheria Udhibiti wa Dawa ya nchi hiyo kwa kuuza dawa ambazo hajithibitishwa. Polisi...
Share:

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI

Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza na Kinondoni. RPC mkoa wa Kinondoni, ACP Muliro Jumanne Muliro amekwenda kuwa RPC Mwanza huku ACP Jonathan Shana amehamishiwa makao makuu ya polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo...
Share:

BUNGE LAREJEA BAADA YA VING'ORA KUZUA TAHARUKI

...
Share:

RPC ASIMULIA TUKIO LA MAUAJI KANISANI "DED ALIFUNGA MLANGO WA KANISA,ASKARI WAKAFYATUA RISASI"

Na  Sylivester Richard - Singida  Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu 7 kutokana na tuhuma za mauaji ya  Isaka Petro , (28), mkazi wa kijiji cha Kaskazi, Tarafa ya Itigi  Wilaya ya Manyoni ambaye  alifariki dunia papo hapo baada ya kupigwa na...
Share:

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA OFISI ZA AFRICAN MEDIA GROUP WAMILIKI WA CHANNEL 10 NA MAGIC FM,ASEMA NI MALI YA CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Dkt John Pombe Magufuli Magufuli leo ametembelea kituo cha televisheni cha channeli ten ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 42 ya chama cha Mapinduzi ambacho Rais ndio mwenyekiti wa chama hicho. Amesema kutokana na Uhitaji wa vifaa vya kisasa kama Kamera...
Share:

MADURO AMUOMBA PAPA FRANCIS KUINGILIA MGOGORO VENEZUELA

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amemwandikia barua kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis akimwomba kuingilia kati kwenye mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake. "Nimemwandikia barua Papa Francis, akisema kwamba anamwomba kiongozi huyo kusaidia kufanikisha mchakato wa majadiliano", alisema...
Share:

MSANII NGULI WA FILAMU AFARIKI DUNIA

Msanii nguli wa filamu wa Marekani, Kristoff St. John (52) amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa nyumbani kwake huko San Francisco, usiku wa Februari 2, 2019. Kristoff ambaye alishawahi kuwekwa kwenye hospitali ya watu wenye matatizo ya akili baada ya kujaribu kujiua kwa bunduki, alipata umaarufu...
Share:

Breaking: KIKAO CHA BUNGE CHAAHIRISHWA GHAFLA BAADA YA ALARM KUASHIRIA HATARI KULIA

Habari za hivi punde kutoka Dodoma zinasema kikao cha Bunge kimesitishwa kwa muda baada ya alarm kulia ghafla Bungeni saa 5:02 asubuhi na wabunge wametoka nje akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.  Taarifa tutakuletea hivi punde...
Share:

MKURUGENZI WA HALMASHAURI MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI KANISANI SINGIDA

Watu watano, akiwamo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, Pius Luhende, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida, wakituhumiwa kusababisha kifo cha mfugaji Peter Chambalo, anayedaiwa kupigwa risasi akiwa kanisani. Akizungumza na Nipashe jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Ahmed Msangi,...
Share:

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA LEO FEBRUARI 5,2019.

Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 5, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani. Sourc...
Share:

Monday, 4 February 2019

MAHAKAMA YAAMURU WADHAMINI WA TUNDU LISSU WAFIKE MAHAKAMANI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wadhamini wa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Chadema, Tundu Lissu kufika Mahakamani hapo Februari 25, 2019 kueleza maendeleo ya afya yake. Amri hiyo, imetolewa leo Februari 4, 2019 baada ya Wakili wa serikali Mwandamizi Patrick Mwita...
Share:

WAGANGA WA TIBA ASILI BARIADI WAPEWA SIKU 16 WAWE NA KITAMBULISHO CHA WAJASIRIAMALI

Waganga wa tiba asili waliopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu wamepewa siku 16 kuhakikisha kila mmoja anakuwa na kitambulisho cha wajasiriamali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa Wilaya hiyo Festo Kiswaga wakati akiongea na viongozi wa waganga hao mkoa, alipokutana...
Share:

NAPE NNAUYE AJIUZULU UENYEKITI KAMATI YA BUNGE

Nape Nnauye Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai amethibitisha kupokea barua ya mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye kujiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kagaigai amesema leo Jumatatu Februari 04, 2019 Nape ameandika barua kwenda kwa Spika wa Bunge la Tanzania,...
Share:

MFANYABIASHARA ATEKWA AKINUNUA JENEZA ARUSHA

Mfanyabiashara wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Jeremiah Simon(49) mkazi wa Sekei wilayani Arumeru, anadaiwa kutekwa wakati akiwa katika eneo la mochwari, Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kwa maandalizi ya kununua jeneza. Simon ni Mwenyekiti wa wachimbaji wadogo wa madini (brokers) mkoani Arusha. Imeelezwa...
Share:

WATU 28 MBARONI MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI YA WATOTO NJOMBE

Baadhi ya wafanyabiashara wa miji ya Njombe na Makambako mkoani Njombe ni miongoni mwa watu 28 wanaoshikiliwa na polisi wakituhusishwa  na mwendelezo wa matukio ya utekaji na mauaji ya watoto yanayoendelea wilayani Njombe. Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe, Renata Mzinga amesema leo Jumatatu...
Share:

MO DEWJI "ROHO YANGU BADO INANIUMA,NAIPENDA SANA SIMBA

Mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba Mfanyabiashara, Mohemmed Dewji amesema hajakata tamaa na matokeo ya Simba japo yanamuuma sana. Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu Simba ilipofungwa na AS Vita na pia kufungwa na Al Ahly Jumamosi iliyopita Mo Dewji, amemua kuweka wazi maumivu yake. ''Roho yangu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger