Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula ameendelea na ziara yake ukaguzi wa miradi ya maendeleo, ambapo amepata fursa kukagua Miradi 10 yenye thamani ya shingi 15,912,434,395.00 iliyochini ya Mpango Kabambe wa uboreshaji Miji na Majiji, Tanzania Strategic Cities Plan inayohusisha kukarabati na ujenzi wa barabara tisa zilizopo Mitaa ya mjini katika Halmashauri ya Jiji Mwanza sanjari na ujenzi...
Friday, 4 January 2019
SERIKALI KUMTUMIA SAMATTA KUTANGAZA UTALII UBELGIJI,FLAVIANA MATATA ATEULIWA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amebainisha kwamba ili kukuza utalii tayari ameanza mazungumzo na klabu ya KRC Genk anakocheza mtanzania Mbwana Ally Samatta ili kuweza kutangaza utalii nchini Ubelgiji.
Waziri Kigwangalla amesema kwamba wakati huu wapo kwenye kuandaa mkakati...
YANGA WAMJIBU MANARA SAKATA LA KULIPA KODI TRA

Klabu ya soka ya Yanga imetoa jibu kwa msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara, aliyehoji juu ya utaratibu wa kuchangisha fedha kwa wanachama wake kama ni halali na unakatwa malipo ya kodi kwa serikali.
Kupitia ripoti yake ya michango ya fedha za mashabiki kwa miezi miwili ya Novemba na Desemba Yanga...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA JAN,4 2019, RAMSEY KUTIMKIA JUVENTUS

Ramsey ndiye mchezaji wa sasa aliyekaa muda mrefu zaidi Arsenal, alijiunga nao 2008
Kiungo wa kati wa Arsenal Aaron Ramsey, 28, ametia saini makubaliano ya awali ya mkataba na Juventus na huenda akajiunga na klabu hiyo ya Italia mwezi huu. (Sport Mediaset kupitia Calciomercato)
Mkurugenzi wa michezo...
NewAUDIO-SAIDA KAROLI-MAGENYI
Msanii Saida Karoli anakukaribisha kuusikiliza wimbo wake mpya uitwao Magenyi.
Sikiliza wimbo huo hapa chini...
KATIBU MKUU CCM ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA BABA WA TAIFA J.K NYERERE

Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally amepokelewa Mkoa wa Mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi Mkoani Kagera
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally atafanya ziara ya siku mbili kuimarisha Chama Mkoa wa Mara ikiwa ni pamoja na kutembelea Wilaya ya Butiama alikozikwa mwasisi wetu Mwl. Julius...
WAZIRI MKUU AFUNGUA SOKO LA MAZAO SONGEA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua mradi wa maghala ya kuhifadhi nafaka na soko la mazao la OTC-Lilambo katika Halmashauri ya Songea uliogharimu sh. bilioni 1.5.
Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameazimia kuwawezesha wakulima kuwa na mahala pa uhakika pa kuhifadhia mazao yao na sehemu ya kufanyia...
VideoMPYA: PATORANKING -EVERYDAY
Msanii kutoka Nigeria Patoranking amefungua Mwaka 2019 kwa kuachia wimbo wake mpya unaitwa “EVERYDAY”
tazama hapa chini
...
WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM WAMPONGEZA RAIS KUFUATIA KUFUTWA KWA KIKOKOTOO.
Na.Mwandishi wetu. Wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam jana wameandamana katika maandamano ya amani ya Kumpongeza Rais Magufuli kuhusiana na kusitisha kanuni mpya ya sheria ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Maandamano hayo yaliandaliwa na Shirikisho La Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA)yalipokelewa na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva . Akizungumza...
LIVERPOOL YAKUBALI YAISHE,YAGONGWA 2 - 1 NA MAN CITY

Liverpool imekubali kupoteza mchezo uliopigwa usiku huu dhidi ya Manchester City kwa kufungwa bao 2-1.
Mabao ya City yamewekwa kimiani na Sergio Kun Arguero na Leroy Sane huku Liverpool ikifuta machozi kupitia kwa Roberto Firmino.
Ushindi huo wa Liverpool unakuwa wa kwanza baada ya mechi tano mfululizo...
WAAMUZI WA MCHEZO WA SIMBA NA JS SAOURA WATANGAZWA.
Na. Mwandishi wetu. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza waamuzi watakaochezesha mechi ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba na JS Saoura. Waamuzi hao ni Joshua Bondo ambaye atasimama kama mwamuzi wa kati, waamuzi wasaidizi Oamogetse Godisamang, Moemedi Godfrey Monakwane na mwamuzi wa akiba, Kutlwano Leso, wote kutoka nchini Botswana. Kamishna wa mechi ni James Leonard Mwenda kutoka nchini...
Thursday, 3 January 2019
WATOTO WAOKOTWA UFUKWENI MTWARA WAKIWA WAMEFARIKI.
Watoto wawili wakazi wa kijiji cha Mgao, Mkoni Mtwara wameokotwa wakiwa wamefariki Dunia pembezoni mwa mwambao wa Bahari ya Hindi. Uchunguzi wa Daktari imebainisha kuwa vifo hivyo vimetokana na watoto hao kukosa hewa baada ya kuzama kwenye maji. Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara, Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Blasius Chatanda amesema hii leo kuwa, tukio hilo la kuzama majini limetokea...
MHE. MABULA AFADHILI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH. 6 MILIONI KOMBE LA MHANDU.
Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula hivi leo amekabidhi Vifaa Vya michezo vikiwemo Jezi, Mipira pamoja na Vitini Vya waamuzi vyenye thamani ya shilingi 6,000,000 kwa vikosi 11 kutoa Mitaa 11 ya Kata ya Mhandu vitakavyoshiriki michuano Kombe la Mhandu lililoandaliwa na Diwani Kata ya Mhandu Mhe. Constantine Sima litakalo anza mnamo tarehe 05.01.2019. Mhe. Mabula akikabidhi Vifaa hivyo...
MZEE MWINGINE ATENGENEZA HISTORIA TANZANIA AGUSA 2019 MIAKA 140
Na mwandishi wetu Mufindi Ni hali isiyo kuwa ya kawaida kwa binadamu kufika umri mrefu akiwa hai, lakini leo linathibitika kwa mara nyingine Nchini Tanzania katika kitongoji cha Ing’enyango nje kidogo ya kijiji cha Kilosa wilayani Mufindi mkoani Iringa kilomita 70 kutoka mji wa Mafinga ambapo mtandao huu umempata Mzee Silyamgoda Kalinga mwenye umri wa miaka 140 huku akiitaka jamii kuwaenzi...
WAFANYAKAZI WAANDAMANA KISA MAGUFULI

Wafanyakazi wakiwa wameshika mabango yenye maneno ya kumpongeza Rais, Magufuli.
Wafanyakazi jijini Dar es salaam wameandamana kwa lengo la kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa uamuzi wake wa kufuta kikokotoo kipya cha mifuko ya hifadhi za jamii na kurejesha cha zamani.
Maandamano hayo yamefanyika...
HAWA NDIYO WAAMUZI MCHEZO WA SIMBA NA JS SAOURA

Wachezaji wa Simba na JS Saoura
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza waamuzi watakaochezesha mechi ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba na JS Saoura.
Waamuzi hao ni Joshua Bondo ambaye atasimama kama mwamuzi wa kati, waamuzi wasaidizi Oamogetse Godisamang, Moemedi Godfrey Monakwane...