Wednesday, 2 January 2019

DUDU BAYA KUKICHAFUA WASAFI?

Godfrey Tumaini anayefahamika kama Dudu Baya (Konki Masta) jina la kisanii ni miungoni mwa wasanii maarufu na wakongwe zaidi katika muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva),pia ni msanii miungoni mwa waanzilishi na wajenzi wa muziki huu ambapo alivuma sana miaka ya 2000 na ngoma zake kali kama nakupenda tu,Mpenzi,nimeondoka na nyimbo zingine kadha wa kadha ambazo zilimuweka na zinaendelea kumuweka kwenye...
Share:

WALIMU NJOMBE WAMFAGILIA RAIS MAGUFULI

Na Amiri kilagalila Mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kutengua Matumizi ya Kikokotoo Kipya kwa Watumishi baada ya Kustaafu Chama Cha Walimu Mkoa wa Njombe kimempongeza Raisi kwa Utenguzi huo kwa kusema kuwa Rais Ametambua Shida wanazopiotia watumishi Mara baada ya Kustaafu. Akizungumza na mtandao huu Ofisini kwa hii Leo Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa...
Share:

MSUMBIJI YASEMA WATANZANIA NDIO VIONGOZI WAKUU WA AL-SHABAAB NCHINI HUMO

Maputo, MSUMBIJI. Waendesha Mashitaka nchini Msumbiji wamewataja watu watatu raia wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini kuwa miongoni mwa makamanda wa kundi la kigaidi la al-Shabaab ambalo hapo awali lililikuwa linajiita Ahlu Sunna Wal Jamaa, linaoendelea kufanya matukio ya uvunjaji wa sheria na mauaji katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi hiyo. Taarifa ya waendesha mashitaka hao...
Share:

SIMBA , AZAM ZAMNYIMA USINGIZI MWINYI ZAHERA

...
Share:

Picha: MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA AWAPONGEZA WALIOSHIRIKI MICHUANO YA UVCCM CUP SHINYANGA

Chama cha mapinduzi CCM kata ya Kambarage Mjini Shinyanga kimefanya sherehe ya kuzipongeza timu za vijana za mpira wa miguu, zilizoshiriki katika mashindano ya ya Kombe la Vijana (UVCCM CUP) Wilaya ya Shinyanga  Sherehe hiyo imefanyika Jumanne , Januari 1, 2019 katika ukumbi wa Shy Villa...
Share:

MHE. MABULA AKAGUA MIRADI YA MAJI YENYE THAMANI YA BI 46.81

Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula afanya ziara ya kikazi MWAUWASA “Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority” *Mamlaka ya maji safi na Maji taka Jijini Mwanza* kukagua miradi saba ya maji inayotekelezwa katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza yenye thamani ya shilingi 46,810,000,000.00. Mhe. Mabula akiwa MWAUWASA amepokelewa na mwenyeji wake Kaimu Mkurugenzi Mhandisi. Magayane...
Share:

JAMII YATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUIBUA MATUKIO YA UKATILI DHIDI YA WATOTO.

Dodoma. Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,imewataka wazazi,walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ulinzi wa mtoto ili kutekeleza lengo la la kupunguza matukio ya ukatili kwa silimia 50 ifikapo mwaka 2021!2022. Aidha,wizara hiyo imeitaka jamii kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kuepuka kutuma picha za watoto ambao ni wahanga wa ukatili na kuziweka wazi kinyume...
Share:

RAIS AL BASHIR ABANWA VIKALI NA WASUDANI, WAAMUA KUANDAMANA KWA MAMIA MJINI KHARTOUM

Khartoum, SUDAN. Maandamano makubwa yamefanyika mwisho wa mwaka 2018 katika mji mkuu wa Sudan Khartoum yakiitikia wito wa baadhi ya vyama vya upinzani na jumuiya za kiraia kwa ajili ya kulalamikia ughali wa maisha na hali mbaya ya uchumi wa nchi hiyo. Waandamanaji hao walikuwa wakielekea katika Ikulu ya Rais mjini Khartoum wakati walipokabiliwa na vyombo vya usalama vilivyolazimika kutumia gesi ya...
Share:

DRC:HUDUMA YA INTANETI NA KUTUMA SMS YAKATWA GHAFLA MPAKA MATOKEO YA UCHAGUZI YATAKAPOTANGAZWA.

Kinshasa, DRC. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekata huduma ya intaneti na ujumbe wa mfupi wa simu za mkononi (SMS) kote nchini humo kwa siku ya tatu mfululizo hii leo wakati nchi hiyo ikisubiri kwa hamu kubwa matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa Rais. Hali hii imetokea kuanzia juzi Desemba 31 kufuatia uchaguzi wa Rais nchini humo, uliofanyika Jumapili iliyopita, huku baadhi ya mikoa...
Share:

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUJUMU UCHUMI

Na, Naomi Milton Serengeti Mongatoni Sururu(49) na Mashaka Machemba(33) wakazi wa Kijiji cha Mihale wilayani Bunda Mkoani Mara wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Serengeti kujibu mashtaka yao katika kesi ya Uhujumu Uchumi namba 1/2019 Akisoma mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Felix Ginene mwendesha mashtaka wa Jamhuri Faru Mayengela alisema washitakiwa hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kosa...
Share:

RAIS ESSEBSI ATOA SALAMU ZA MWAKA 2019 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Tunis, TUNISIA. Rais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi, amezungumzia uchaguzi ujao wa rais na bunge nchini humo na kusema kuwa mwaka 2019 utakuwa mwaka muhimu kwa nchi hiyo. katika ujumbe wake mwaka mpya wa 2019, Rais Essebsi ameeleza kuwa jitihada kubwa zinapaswa kufanyika kuandaa mazingira bora ya kufanyika uchaguzi wa wazi, huru na wa kidemokrasia katika mwaka huu wa 2019. Aidha, Kiongozi huyo amewataka...
Share:

IRENE UWOYA AMWAGA MACHOZI USIKU WA MWAKA MPYA

Rasmi ni mwaka 2019 ikiwa ni siku ya kwanza sehemu mbalimbali ulimwenguni sherehe zinaendelea huku kila mtu akiwa na matumaini yake katika maisha. Kutoka kiwanda cha filamu Bongo wasanii mbalimbali wameupokea mwaka mpya (2019) kwa hisia tofauti tofauti.Wengine wameupokea kawaida huku wengine wakiupokea kwa matumaini mengi wakiamini kwamba inaweza kuwa nafasi ya wao kurekebisha ama kusonga mbele zaidi...
Share:

MSIOMBE RUSHWA WANAOTAKA VITAMBULISHO VYA MAGUFULI

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Dk Halfany Haule amewataka watumishi na wenye viti wa serikali za mitaa Manispaa ya Sumbawanga, wajiepushe na visa vya kuomba rushwa wanapopitisha barua za wajasiriamali, wanaoomba vitambulisho maalumu vilivyotolewa na Rais John Magufuli. Aidha, amewataka...
Share:

CHELSEA YAMSAJILI MSHAMBULIAJI KINDA WA DORTMUND

Klabu ya Chelsea imemsaini mshambuliaji wa Borussia Dortmund Christian Pulisic kwa dau la Yuro 64m lakini itamtoa kwa mkopo kwa klabu hiyo ya Ujerumani hadi mwisho wa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 raia wa Marekani , ambaye alikuwa amehusishwa na vilabu vya Liverpool na Arsenal , alijiunga...
Share:

KATIBU MKUU AWATAKA WATANZANIA KUJIANDAA KUIPOKEA SERIKALI MPYA YA CHADEMA 2020

Katibu Mkuu wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vicent Mashinji amewataka watanzania pamoja na dunia kujiandaa kuipokea serikali mpya chini ya chama anachokiongoza. Dkt. Mashinji ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, akisisitiza wananchi kuielewa na kuipokea sera mbadala...
Share:

RAIS MAGUFULI AWAUMBUA VIONGOZI WANAOSINGIZIA 'NI MAAGIZO KUTOKA JUU'

Rais John Magufuli juzi usiku alitoa salamu za mwaka mpya wa 2019 kwa kuhoji tabia ya watumishi wa umma kutojiamini katika utendaji wao wa kazi kiasi cha kila jambo wanalolifanya kudai kuwa “ni maagizo kutoka juu”, akisema neno hilo sasa limekuwa kama ugonjwa. Kauli hiyo ya Rais imekuja kipindi ambacho...
Share:

TETESI ZA SOKA ULAYA , INTER MILAN WAMTAMANI ASHLEY YOUNG

Inter Milan wanamnyatia beki kamili wa Manchester United Ashley Young, 33, na wanatumai kwamba wataweza kumchukua bila kulipa ada yoyote mwisho wa msimu baada ya mkataba wake kumalizika. (Mirror) Meneja Unai Emery amesema Arsenal bado hawajazungumzia uwezekano wa kumnunua beki wa kati wa Chelsea...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger