Wednesday, 2 January 2019

AUAWA KWA KUKATWA PANGA NA RAFIKI YAKE KISA KAMTANIA KWA KUMUITA 'ALBINO'

Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya sekondari Naisinyai wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara Godfrey Otieno (16) amefariki dunia kwa kukatwa panga kichwani na rafiki yake baada ya kumtania kwa kumuita albino. Watoto hao ambao ni marafiki na majirani walikuwa pamoja wakisubiria kushangilia mwaka...
Share:

RAIS MAGUFULI ASHIKA NAFASI YA PILI ORODHA YA VIONGOZI BORA AFRIKA

Rais John Magufuli ameshika nafasi ya pili kati ya marais watano bora Afrika kwa mwaka 2018 kutokana na kazi aliyoifanya ndani ya miaka mitatu ya utawala wake, jarida la mtandaoni la Africa54 limebainisha. Jarida hilo lilifanya utafiti wake kwa kuuliza wasomaji wake nani ni Rais bora kwa mwaka wa...
Share:

ORODHA YA SIMU AMBAZO HAZIKAMATI TENA WHATSAPP, NA ZINAZOKARIBIA KUFUNGIWA

Wamiliki wa simu zinazotumia programu endeshi ya simu aina ya Series 40 wamekuwa hawawezi tena kutumia mtandao wa WhatsApp kwenye simu zao. Hiyo imetokana na uamuzi wa kampuni ya Facebook inayomiliki mtandao wa kijamii wa WhatsApp wa kuacha kutengeneza app yake kwa njia ambayo inaweza kutumiwa...
Share:

MANARA AKERWA NA BABA YAKE AMTUMIA UJUMBE MZITO

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amefunguka kuwa kitendo cha Baba yake mzazi, Sunday Manara ambaye aliichezea klabu ya Yanga zamani kuonekana bado akishirikiana na timu hiyo kinamuumiza. Manara ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo amesema kuwa hakupenda...
Share:

FID Q AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE

Msanii wa muziki Bongo, Fid Q amefunga ndoa na mpenzi wake jana. Hatua hiyo ikuja zikiwa ni siku chache zimepita tangu Fid Q alipomvisha pete ya uchumba mpenzi wake huyo. ...
Share:

WAKULIMA WA KOROSHO WAMBANA DC MASASI, WATAKA WALIPWE PESA ZAO

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Selemani Mzee amelazimika kufanya kikao cha dharula na baadhi ya wakulima wa Vyama vya Msingi vya Ushirika AMCOS, baada ya baadhi ya wakulima kufika ofisini kwake wakilalamikia kuhusu ulipwaji wa fedha zao za korosho. Kwa mujibu wa madai ya wakulima hao ni kwamba zoezi la...
Share:

MWANAMKE ATAFUNWA KALIO NA SIMBA AKIMPELEKA MTOTO HOSPITALI

Mkazi wa Kijiji cha Kata ya Ngwala, wilayani Songwe, Susan James, amenusurika kufa baada ya kuvamiwa na simba na kutafunwa kalio lake la kushoto wakati akimpeleka mtoto wake hospitali. Diwani wa kata hiyo, Donald Maganga, alithibitisha mwanamke huyo kunusurika kifo baada ya kuvamiwa na simba huyo. Alisema...
Share:

MBARONI KWA KUMUUA MAMA YAKE KWA KISU DODOMA

Jeshi la Polisi linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa, mkoani hapo, Peter Mgomba (26), kwa madai ya kumuua mama yake mzazi kwa kumchoma kisu tumboni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, alisema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari, jiijini hapo juzi. Kamanda...
Share:

Tuesday, 1 January 2019

SABABU KWANINI JANUARI NDIYO MWEZI WA KWANZA WA MWAKA

Kila mwaka tarahe kama hii watu kutoka kote duniani hukaribisha mwaka mpya kwa fataki, kupiga filimbi, pambaja na vinywaji. Lakini kabla ya kuanza sherehe hizo je hujafikiria ni kwa nini tarehe mosi Januari ndio inayoadhimisha kuanza kwa mwaka mpya? Kila kitu kinatokana na mila na tamasha za Roma,...
Share:

DAWA INAYOZUIA UKIMWI KUSAMBAZWA BILA MALIPO 2019 CHILE

Matumizi ya PrEP lazima yaambatane na utumizi wa mipira ya kondomu. Miji kama London, San Francisco na New York inasajili visa vichache vya maambukizi ya virusi vya HIV na wataalam wanadai kwamba hii inatokana na kupatikana kwa dawa kwa jina PrEP. Iwapo itatumika kila siku PrEP ina uwezo wa kupunguza...
Share:

SALAH,MANE NA AUBAMEYANG KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA - CAF

Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, Sadio Mane na mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Merick Aubameyang ndiyo wachezaji watatu wa mwisho wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika. Orodha hiyo ni marudio ya wachezaji watatu waliotajwa kuwania tuzo ya msimu uliopita, ambapo itatolewa kwa kuzingatia kiwango...
Share:

CCM YAITAKA AFRIKA IKATAE KUBURUZWA NA WAKOLONI WAPYA

Morogoro Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro kimesema vyama vya siasa katika mataifa yalioendelea havifanyi mikutano ya hadhara wala maandamano bila vibali mara baada ya chaguzi kuu kumalizika lakini inashashangaza mikutano hiyo ikishinikizwa ifanyike Barani Afrika. Kimeeleza maendeleo yaliopatikana Marekani na ulaya yangekawia mno iwapo wananchi wake wangepuuzia kazi za uzalishaji mali,kujiendeleza...
Share:

CCM YAITAKA AFRIKA IKATAE KUBURUZWA NA WAKOLONI WAPYA.

  Morogoro Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro kimesema vyama vya siasa katika mataifa yalioendelea havifanyi mikutano ya hadhara wala maandamano bila vibali mara baada ya chaguzi kuu kumalizika lakini inashashangaza mikutano hiyo ikishinikizwa ifanyike Barani Afrika. Kimeeleza maendeleo yaliopatikana Marekani na ulaya yangekawia mno iwapo wananchi wake wangepuuzia kazi za uzalishaji...
Share:

MWANAMKE AUAWA KISHA KUFUNGIWA NDANI YA BANDA LA NG'OMBE

Mkazi wa Kijiji cha Luhega, Wilaya ya Tanganyika, Milembe Manoni (22), amekutwa ameuawa kwa kuchomwa na kisu kifuani, kisha mwili wake kufungiwa ndani banda ng’ombe. Akizungumzia tukio hilo jana, kaka wa marehemu, Nestory Malongo alisema lilitokea juzi usiku nyumbani kwa marehemu. Alisema taarifa...
Share:

MWALIMU ALIYEFUNGIA KABATINI MTOTO WA HOUSEGIRL ATEMBEZEWA KICHAPO

JESHI la Polisi limelazimika kumtia tena mbaroni Anitha Kimaro, ambaye anadaiwa kumfungia kabatini mtoto wa miezi sita. Hatua hiyo imekuja baada ya wananchi wenye hasira kuvamia nyumbani kwake na kuanza kumtembezea kichapo huku wakipinga hatua ya polisi kumpa dhamana. Anitha ambaye pia ni mwalimu...
Share:

MSANII WA FILAMU AFARIKI DUNIA

...
Share:

BINTI ASIMULIA ALIVYOISHI MWANAE ALIVYOISHI KABATINI...

Licha ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto kudai kwamba madai ya mtoto wa miezi mitano kufungiwa kabatini sio ya kweli, mama mzazi wa kichanga hicho amesimulia jinsi alivyotumia mbinu kuokoa maisha ya mwanaye kabatini. Katika tukio hilo ambalo linafanana na lile la mwaka 2014 la Mariamu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger