Hali
ya amani ndani ya Kanisa la Anglikana nchini, bado si nzuri baada ya
Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa aliyevuliwa
uaskofu kutoa msimamo wake na kudai kuwa yeye ni msafi, na ndio Askofu
wa Dar es Salaam, hang’oki hata kwa dawa, na amewasamehe wanaompinga.
Askofu
...
Katika
kile kinachoweza kuelezwa kuwa ni ubaya wa mapenzi, kijana mmoja mkazi
wa Mbalizi Mbeya amefariki dunia kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni
wivu wa mapenzi baada ya baba wa mpenzi wake kumvamia kijana huyo na
kumshambulia.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mbeya DCP Dhahiri Kidavashari...
Rais
wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi visiwani humo
kuacha kusikiliza maneno ya propaganda kutoka kwa wapinzani kwa kuwa
katu hakuna Rais mwingine atakayeongoza Zanzibar wakati yeye yupo
madarakani.
Amesema
kuna baadhi ya viongozi wamekuwa wakipita mitaani na kujinadi...