ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda
kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga
kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie
funguo za nyumba. JIACHIE MWENYEWE SASA… Aliwaaga wapangaji wenzake akisema anatoka mara moja… “Jamani natoka, nitarudi lakini,” alisema Martha akiwa tayari kwenye ngazi. “Poapoa.”
Wanawake hupenda sana kutumia marashi na vitu vingine kama sabuni zenye kemikali kwa ajili ya kujirembesha.
Baadhi yao wamekuwa wakipenda usafi wao
binafsi wakitumia vitu ambavyo baadhi yake ni hatari kwani wengine
wanapenda kusafisha sehemu zao za siri kwa kutumia sabuni zenye
kemikali, pafyumu yaani ‘deodorant’ au kupaka mafuta bila kujua madhara
yake.
Wanawake hao wanaotumia vitu hivyo wana
hatari ya kupata magonjwa ya zinaa au ya kuambukiza. Watafiti katika
Chuo Kikuu cha California, Marekani wanasema sabuni ngumu au hata za
maji, pafyumu ‘deodorant’ zinaharibu tishu muhimu zilizomo
Karibu
kila mtu anatafuta furaha kwa njia mbalimbali anazoona zinafaa. Wapo
wanaoamini kuwa wakipata wake/waume, kazi, utajiri, wakijenga nyumba,
wakipandishwa cheo na kufaulu mitihani watafurahi sana.
Lakini tafiti zinaonesha kuwa asilimia
87 ya wanaohangaika kutafuta hayo wanayodhani yatawafurahisha huwa
hawafurahi sawa na matarajio yao ya awali.
Ni siku
nyingine tena tunakutana katika kona yetu ya Vituko Mtaani, leo
tunapata simulizi kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbuyuni,
Kata ya Azimio, Temeke jijini Dar es Salaam, Selemani Mponyo (pichani),
hapa anaanza kusimulia kisa cha kusisimua.
“Mambo mengine ni aibu kuyaongea kwa
umri kama wetu lakini ngoja nisimulie ili watu wajifunze. Ni kipindi
kirefu sasa tangu niamue kesi iliyonishangaza sana.
“Siku moja walikuja mke na mume ofisini,
mume akimtuhumu mkewe kwa kutembea na mwenye nyumba
UTAKUWA
umesikia au kuona simulizi nyingi zinazowahusu wadada wa kazi
wanazokutana nazo katika familia mbalimbali. Licha ya umuhimu wao
mkubwa, lakini baadhi yao wamekuwa wakichukuliwa kama watu wenye shida,
wasio na maana ambao licha ya kazi yao ngumu na muhimu kwa familia,
wamekuwa wakibezwa, kutukanwa na hata kupigwa.
Filamu ya Kajala inawakilisha aina hii
ya kazi zinazofanywa na wasichana, ambao uzoefu unaonesha wanatokana na
maisha magumu katika familia wanazotoka, yatima au hata manyanyaso
kutoka kwa ndugu wa karibu.
Jamani
mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi
jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo
kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye.
Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa
na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa
akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushoto.
Baada ya zoezi la uchukuaji na
urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge kukamilika Majimbo yote yanatakiwa
kuanza zoezi la kura ya maoni tarehe 20-25 Julai mwaka huu kwa
kuzingatia Mwongozo wa Taratibu za Kura ya Maoni ambao umeshatumwa nchi
nzima