Baada ya zoezi la uchukuaji na
urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge kukamilika Majimbo yote yanatakiwa
kuanza zoezi la kura ya maoni tarehe 20-25 Julai mwaka huu kwa
kuzingatia Mwongozo wa Taratibu za Kura ya Maoni ambao umeshatumwa nchi
nzima
U Heard leo Soudy Brown
kampata msichana ambae ametoka Mkoani kuja Dar kwa ajili ya kukutana na
Aslay wa Yamoto Band.. Msichana huyo anadai ametoka Geita kuja Dar
kukutana na Asla...
Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
Tungependa
kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia
umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na
mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali
sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa
kihistoria hapo Oktoba 25.