Tuesday, 30 June 2015
HUKUMU YA MRAMBA, YONA NA MGONJA YAAHIRISHWA HADI JULAI 3, 2015
DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
mwanaye, baba…
Na Kulwa Mwaibale MSIBA!
Mohamed Juma (14) ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Shule
ya Sekondari ya Toangoma wilayani Temeke, Dar amefia bwawani wakati
akiogele...
SOMA ZAIDI>>>>DENTI KIDATO CHA KWANZA AFIA BWAWANI!
Monday, 29 June 2015
RAIS NKURUNZIZA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais Pierre Nkurunziza akiwasili kwenye kituo cha kupiga kura kwa usafiri wa baiskeli.
TID: NI KWELI NAVUTA BANGI!
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Funguka!
Kwa mara ya kwanza, ‘mnyama’ katika anga la muziki wa Bongo Fleva,
Khaleed Mohamed ‘Top In Dar’ (TID) amekiri kutumia mihadarati aina ya
bangi huku akijiapiza kuwa hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya
‘unga’ ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi
ya watu, Ijumaa Wikienda ‘lilikabana naye koo’.
DIAMOND ATAITIWA AIRPORT DIAMOND KWA SAA MBILI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.

Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.