Friday, 19 June 2015

Chadema to hold protests today in Arusha against BVR

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Arusha Urban MP, Godbless Lema
 The country’s leading opposition party, Chadema, today plans to stage a mass protest in Arusha against what it terms irregularities in the ongoing Biometric Voters Registration (BVR) exercise.
Share:

MPs back use of EFDs to boost govt coffers

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Ludewa legislator, Deo Filikunjombe (CCM)
 Members of Parliament have urged the government to ensure effective use of the Electronic Fiscal Devices (EFDs) throughout the country in order to boost the country’s revenue collection.
Share:

Liganga iron mine, steel plants to earn govt 252.4bn/- annually

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Deputy Minister for Energy and Mineral Dr Charles Kitwanga
 Royalties and various taxes collected from the Mchuchuma and
Share:

Stakeholders warn poor management undermines funding in education sector Suggest a regulatory body above the ministry

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Managers and Owners of Non-government Schools and Colleges (Tamongsco) Secretary General Benjamin Nkonya
 Education stakeholders have warned that increasing budget allocation to education sector will not be useful if the money will not be managed properly.
Share:

Liganga iron mine, steel plants to earn govt 252.4bn/- annually

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

The Deputy Minister for Energy and Mineral Dr Charles Kitwanga
 Royalties and various taxes collected from the Mchuchuma and Liganga projects will increase government revenue by 252.4bn/- annually for the 50 to 100 years, the National Assembly was informed yesterday in the capital Dodoma.
Share:

Tanzania's female politicians trained to campaign

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Asha-Rose Mtengeti Migiro
 Aspiring politician Asha Salum is busy trying to convince people in her area of Dar es Salaam to support her candidacy for a council position at elections later this year, one of a growing number of women seeking political office in Tanzania.
Share:

DOWNLOAD NIKKI MBISHI Y'ALL DON'T KNOW IT FT. BIN SIMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nikki Mbishi
Share:

Wabunge wameitaka serikali kufanya uchunguzi katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
  Wabunge wameitaka serikali kufanya uchunguzi katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka.  Baadhi ya wabunge wameitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka-DART-kwa madai ya kuwepo kwa ufisadi mkubwa na uchotwaji wa mabilioni ya fedha ya ujenzi wa mradi huo. Akichangia maoni ya hotuba ya bajeti ya serikali ya mwaka 2015/16, mbunge wa viti maalum, Mhe Esther Matiko amesema barabara hiyo haina maeneo ya watembea kwa miguu, pikipiki, na upana wa barabara hiyo hauwezi kuruhusu malori mawili kupita kwa wakati mmoja na kusisitiza inaufisadi wa hali ya juu, huku mbunge wa Singida Magharibi akiitaka serikali kuhakikisha inafuatilia fedha katika benki ya Exim ili kutekeleza mradi wa umeme wa upepo ulioanza takribani miaka saba iliyopita.    Aidha, suala la ongezeko la tozo katika mafuta limechukua nafasi kubwa ya miongoni mwa wabunge katika mjadala wa hotuba ya bajeti kwa siku ya tano mfululizo ambapo mbunge wameendelea kuilalamikia serikali kwa kuweka tozo katika mafuta hususani ya taa na kuhacha vinywaji baridi na vikali ambavyo simahitaji ya lazima ukilinganisha na umuhimu wa mafuta ya taa, huku wengine wakisisitiza lazima wananchi wa sasa waumie kwa faida ya vizazi vijavyo.   Aidha bunge limeitimisha mjadala wa hituba ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 ambapo siku ya jumatatu mawaziri mbalimbali wataanza kujibu hoja zilizokuwa zikitolewa na wabunge kwa takribani siku tano za mjadala wa hituba ya bajeti ya serikali ya shilingi trillioni 22.495 kwa mwaka wa fedha 2015/16.
Baadhi ya wabunge wameitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka-DART-kwa madai ya kuwepo kwa ufisadi mkubwa na uchotwaji wa mabilioni ya fedha ya ujenzi wa mradi huo.
Share:

Mimi nikipata management kama ya Diamond nitakuwa mbali sana – Christian Bella









INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Christian Bella ni muimbaji anayeamini kuwa ili msanii afanikiwe zaidi anahitaji kuwa na management nzuri.

Muimbaji huyo wa ‘Nashindwa’ ameisifia management ya Diamond na kuongeza kuwa endapo angeweza kuwa na watu imara wa kumsimamia angekuwa mbali zaidi ya hapo alipo.



  • “Mi napenda kusema ukweli, Diamond yuko vizuri na management yake wanajitahidi vizuri, yeye
Share:

Batuli Achezea Sharubu za Kajala Masanja









INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi.


Akichezesha





Share:

ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500










Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 19.6.2015







NNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

Thursday, 18 June 2015

Nape Nnauye tulia, Muosha Huoshwa. Dr.Slaa alisafiri kikazi








INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Baada ya Dr.Slaa kurejea nchini akitokea Bara Ulaya alipokuwa kikazi kulingana na ratiba yake ya kiutendaji ,Nape Nnauye amenukuliwa kwenye mikutano ya hadhara akitoa tuhuma za uongo na uzushi kuwa ameenda Ulaya kuomba fedha za kampeni na kupewa masharti hatarishi kwa nchi yetu na kudai kuwa yeye na chama chake wanao ushahidi

Inashangaza sana katibu

Share:

Four in court over forgery of voter registration cards

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kisutu Resident Magistrate Court
 Four Dar es Salaam residents were yesterday charged with six
Share:

Breaking news:SOMA TAARIFA KWA WANAFUNZI WANAOOMBA KUDAHILIWA UPYA MWAKA WA MASOMO 2015/2016-NI MUHIMU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY






Breaking news:SOMA TAARIFA KWA WANAFUNZI WANAOOMBA KUGAHILIWA UPYA MWAKA WA MASOMO 2015/2016-NI MUHIMU
Share:

MPIGIE KURA VANESSA MTV MAMA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Chegge sasa kutesa katika tamthilia-soma hapa kiundani







INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger