Saturday, 27 December 2014

TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                         

MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.
UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:
BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015
Share:

TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU JANUARY 2015

TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU (JANUARI HADI MACHI 2015). MPANGO HUO UMESITISHWA HADI UTARATIBU UTAKAPOTOLEWA KWA VIJANA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015. HIVYO KUANZIA JANUARI HADI MEI 2015 VIKOSI VYA MAFUNZO HAVITAPOKEA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA. KILA MMOJA ANAYEHUSIKA AZINGATIE TANGAZO HILI.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

Share:

Thursday, 18 December 2014

MPYA:TAREHE YA KUFUNGUA SUA YASOGEZWA HADI TAREHE 5 JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SOMA BARUA HIYO HAPO CHINI;

Share:

UTEUZI KUTOKA IKULU:WILLY KITIMA ATEULIWA KUWA MSAAIDIZI WA RAIS NYARAKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ateuliwa Msaidizi wa Rais
Share:

Saturday, 13 December 2014

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA ULAIMU KWA WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014,MAJINA YA WANAFUNZI HAO HAYA HAPA

INNOCENT THE BLOGGER BOY
                 
Kwa habari tulizozipata kutoka katika NACTE ni kwamba,viana wote waliokosa nafasi za kuiunga na kidato cha tano mwaka huu lakini walikuw na sifa za kujiunga na kidato cha tano wanatakiwa kuomba nafasi za ,afunzo ya ulaimu.
Zoezi la uombaji wa nafasi hizo limeanza na mwisho wake utakuwa ni tarehe 31 mwaka huu.
Endapo utahitaji kungaliziwa jina lako kama lipo tafdhali fanya yafuatayo;
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 13/12/2014,KUBWA ZAIDI AMERICA YAMPA MTIHANI MGUMU JK

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Friday, 12 December 2014

DOWNLOAD NYIMBO MBILI MPYA ZA TUNDA MAN-"MAPENZI YALE YALE" NA "ACHANA NA MIMI" HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TUNDA MAN

Bonyeza hapa kudownload >>>>HAPA
Share:

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015,HII INAWAHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,WALIMU WOTE WENYE ELIMU YA CHETI WALIOAJIRIWA ILI WAHAMISHIWE KATIKA MFUMO WA STASHAHADA,PIA YATOA MAJINA MENGINE MAPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA UALIMU JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                    
(ili kuanagliziwa jina lako kama lipo tafadhali tuma jina lako kwenda namba 0768260834 usipige simu ,pia ambatanisha na gharama ya tshs.800 kwa mpesa na utajibiwa mapema iwezekanavyo)
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu yatakayoanza Januari 2015 kama ifuatavyo:
KUNDI LA I
Waombaji 611 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ambao waliwasilisha maombi yao Wizarani awamu ya pili kwa ajili ya kuchaguliwa kujiunga na mafunzo mwaka wa masomo 2014/15. Waombaji hawa wamechaguliwa na kupangiwa vyuo kulingana na Programu za mafunzo (Angalia orodha iliyoambatanishwa). Waliochaguliwa wanatakiwa kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo walivyopangiwa kwa kuzingatia maelekezo ya fomu zilizoambatishwa za kujiunga na chuo husika. Tarehe rasmi ya kuripoti vyuoni itatolewa mapema Januari 2015.
Share:

DOWNLOAD ROMA FT. STAMINA, MAUNDA ZORO, WALTER CHILAMBO - MWANAKONDOO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 12.12.2O14

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Thursday, 11 December 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 11/12/2014,KUBWA ZAIDI IPTL YATINGA IKULU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
DSC06870
.
Share:

Sunday, 7 December 2014

MPYA: IDRIS KUTOKA TANZANIA AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA BIG BROTHER HOT SHOT USIKU HUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

PICHA NA MATUKIO :MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho.
Share:

ANGALIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 TANZANIA BARA - MWONGOZO, RATIBA NA TANGAZO LA UCHAGUZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                            

UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
                                

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
KANUNI ZA MAREKEBISHO NA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UTAWALA
Share:

MPYA: TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY




 

          


TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/15



Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na taasisi zake ambazo ni Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Taasisi ya Elimu (TIE) na Baraza la Mitihani ya Taifa (NACTE) iliandaa Mitaala mipya ya Ualimu wa Shule za Msingi na Sekondari kwa ngazi ya Diploma ya kawaida (NTA level 6) na Diploma ya Juu (NTA level 7). Mitaala hii inakusudia kumwezesha mhitimu kukuza uwezo wake wa kitaaluma na kitaalamu katika masomo ya Elimu ya Msingi na Sekondari na masuala mtambuka ili aweze kudhihirisha uelewa mkubwa kwenye masomo yanayofundishwa katika ngazi hizo za Elimu.
Share:

BREAKING NEEEWZ:WAFUATAO WAMEITWA KWENYE USAILI WA MAGEREZA UTAKAOFANYIKA TAREHE 10-17/12/ 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                            
 Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi  mwaka waliochaguliwa kufanya usaili jeshi la magereza  mwaka 2014
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA   PAUL(USAILI MAGEREZA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA.

KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Sunday, 30 November 2014

BREAKING NEWZ:MKUU WA JKT ATOA ONYO KALI NA KUUTANGAZIA UMMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

TANGAZO
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) ANAUTANGAZIA UMMA YA KUWA KWA SASA HAKUNA MCHAKATO WOWOTE WA UANDIKISHAJI VIJANA WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA "KUJITOLEA" HADI ITAKAPOTANGAZWA.YEYOTE ANAYE TANGAZA,ANAYEUZA FORM ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKIBAINIKA HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE.




TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA  MAKAO MAKUU YA JKT
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger