Saturday, 20 September 2014

BREAKING NEWZ:MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA DODOMA,DIPLOMA YA PHARMACY,LAB TECHNOLOGY&NURSING AWAMU YA PILI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                               
Yuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuo kikuu cha UDOM kozi tajwa hapo juu kwa diploma mwaka wa masomo 2014/2015 awamu ya pili.
 Tafadhali bonyeza hapa kuangalia majina haya

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA UDOM AWAMU YA PILI 

Endapo utataka kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako na exam number kwenda namba 07868260834.
2.Huduma hii utatozwa tsh.700 ambayo itakubidi kuituma kwa mpesa.
3hutajibiwa hadi utume pesa thanks.
Share:

Friday, 19 September 2014

BREAKING NEWZ:NACTE YATANGAZA MAJINA 1417 YA WALIOKOSEA APPLICATION 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                          
PUBLIC NOTICE ON ADMISSION STATUS INTO HIGHER TRAINING INSTITUTIONS 2014/2015
Central Admission System (CAS) opened on 8th April 2014 and closed on 31st August 2014. A total
number of 17,087 candidates applied for enrollment into various degree programmes in different training
 institutions. Among them 15,670 (91.71%) made choices of their preferred training programmes in those
 institutions; and 1417(8.29%) mentioned here (Please click to view), did not finish their application
processes due to various reasons.
Kindly, NACTE requests those 1417 applicants to finish their application processes so they can be
included in next selections.
Issued by
Executive Secretary,
NACTE
ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA JINA LAKO FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834.
MFANO:PAUL LOYI(NACTE)
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSH.850 UITUME KWA MPESA.
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA YAKO.
4VOCHA ZINARUHUSIWA KAMA HUTAKUWA NA PESA MPESA.AIRTEL AU TIGO PESA.
Share:

Wednesday, 17 September 2014

BREAKING NEEWZ:MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA ST.JOSEPH UNIVERSITY 2014/2015

 INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                              
Habari yenu wadau ,kuhusu afya yetu tu wazima wa afya njema na mwenyezi mungu mwingi wa rehema anajalia kila siku mambo yanazidi kuwa mazuri,kama ambavyo tunatarajiria katika kuendelea kuwapa raha watanzania leo tumewaletea majina ya
 WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA AN   
       CHUO KIKUU  CHA ST.JOSEPH MWAKA WA 
       MASOMO 2014-2015.

Kama uliomba st.joseph kozi kati ya zifuatazo tayari post zimetoka;
HIVYO BASI KAMA UTAPENDA KUANGALIZIWA POST YAKO UNATAKAIWA KUFANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 KATIKA FORMAT IFUATAYO.
E.g.MUSSA PAUL S0765/0008/2011(ST.JOSEPH)
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSH.800 AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA.
3.KAMA UNATUMIA AIRTEL AU TIGO TUMA KWA AIRTEL&TIGO PESA KWENDA NAMBA 0768260834.
4.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU,HATUTAJIBU SMS KAMA UTATUMA HIYO PESA.

Bachelor of Technology in Agriculture

Bachelor of Technology in Agricultural Engineering
Bachelor of Technology in Food Processing Engineering
Bachelor of Science in Education with Physics
Share:

Tuesday, 16 September 2014

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUSOMESHWA NA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MWAKA WA MASOMO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                    
Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kusomeshwa na wizara ya aafya mwaka wa masomo 2014/2015.
BONYEZA HAPO CHINI KUANGALIA JINA LAKO;
CANDIDATES SELECTED TO BE SPONSORED BY THE MINISTRY OF HEALTH & SOCIAL WELFARE - 2014/2015 ACADEMIC YEAR 

ENDAPO UATATAKA KUANGALIZIWA JINA LAKO,TAFADHALI TUMA TSH.800 KWA MPESA IKIFUATIWA NA JINA LAKO,FUNGA MABANO ANDIKA(AFYA 2014). KWENDA NAMBA 0768260834;TUTAKUJIBU NDANI YA MUDA MFUPI.
THANKS.
MASWAYETU BLOG TEAM
Share:

Sunday, 14 September 2014

BREAKING NEEWZ:ORODHA YENYE MAJINA TAKRIBANI 4422 YA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOCHAGULIWA BILA KUTUMA MAOMBI-UDOM DIPLOMA YA UALIMU WA SEKONDARI 2014/2015


INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                           
   
                      
Habari yenu ,natumaini mu wazima wa afya njema kabisa ,hata mie ni mzima wa afya.
Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa diploma ya ualimu udom mwaka wa masomo 2014-15.Hii inawahusu wale wote kidato cha nne waliomaliza shule mwaka 2013 kurudi nyuma.
Kama ilivyo kwaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma kwa wale wote mtakaotaka kuangaliziwa majina yenu kama mmechaguliwa au la.
Kama jina lako lipo hapa omba mkopo kupitia www.heslb.go.tz kama unahitaji. Kozi hii ina ufadhili wa serikali kwa watakidhi vigezo vya bodi.

Mawasiliano zaidi yatatolewa na UDOM. Kumbuka UDOM ni chuo kikuu na hivyo mamlaka ya mwisho kuhusu kujiunga na chuo hutolewa na senate ya chuo. Hivyo majina haya yametolewa kuwawezesha kuomba mkopo wakati mkisubiri taarifa rasmi kutoka UDOM.

Ili kujua kama umechaguliwa au la ,fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili,EXAM NAMBA NA SHULE ULIYOMALIZA YA FORM IV ,kwenda namba 0768260834.
2.Gharama ya huduma hii ni tsh.1000 ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834.
3.Kama unatumia airtel na tigo pesa tuma pesa hiyo kwenda namba  0768260834.
4.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA,THANKS.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger