
Riyad Mahrez
Arsenal inatarajiwa kujiunga katika kuwania kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Leicester Riyad Mahrez, mwenye umri wa miaka 26. (Daily Star Sunday)
Meneja wa Leicester Claude Puel anasaema "hamfikrii" Mahrez, ambaye hajaonekana katika kalbu hiyo tangu pendekezo...