Tuesday 17 October 2017

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA UDSM,MUCE NA DUCE SECOND BATCH 2017/2018

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU RUAHA 2017/2018-SECOND BATCH

  • Applicants Selected to join RUCU (Round 1 & Round 2)

    Read more... 
  • Applicants Selected in RUCU and Other Universities (Round 2)

    Read more... 
  • Awamu ya tatu ya kuomba nafasi za chuo 16-18 Oct 2017


    Read more...
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU MWENGE-SAUT MOSHI SECOND BATCH 2017/2018

SECOND BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018

17 October 2017, 10:14 am Written by     
Published in Latest News
 
Read 1117 times Last modified on Tuesday, 17 October 2017 13:53
The following is the updated list applicants who have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year which commences on the 23rd October, 2017. Students are advised to observe the following:
  1. All new students are required to report on Monday, 23rd October 2017 for Registration and Accommodation arrangements,
  2. All new students are required to participate in a mandatory orientation programme which starts on Monday, 30th October 2017,
  3. A list of applicants, Admission letter, Fee structure and Medical form have been attached
Share:

HAY HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOSEPH MEDICINE SECOND BATCH 2017/2018

Share:

TUMAINI MAKUMIRA-TUMA: SELECTED STUDENTS TO JOIN DIFFERENT BACHELOR PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2017/2018- ROUND 2

Image result for TUMAINI MAKUMIRA
Share:

SAUT MBEYA: Selected students for Degree Programmes in academic year 2017/18 (First Batch) ROUND 2

Share:

*MPYA*

*MPYA*

*HIVI HAPA VYUO VILIVYOTOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SECOND SELECTION 2017/2018*

1.*KWA CHUO KIKUU MUCCOBS-USHIRIKA MOSHI SECOND BATCH BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/moshi-co-operative-university-mocu.html

2.*KWA CHUO KIKUU SAUT-MTWARA-BONYEZA HAPO(SECOND BATCH)>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/stella-maris-mtwara-university-college.html

3.*KWA CHUO KIKUU MUM MOROGORO,BONYEZA HAPO>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/mpyahaya-hapa-majina-ya-wanafunzi.html

4.KWA CHUO CHA ATC ARUSHA,BONYEZA HAPO>>>>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/arusha-technical-college-atc-applicants.html

5.*KWA CHUO KIKUU IFM BONYEZA HAPO>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/haya-hapa-majina-ya-wanafunzi_47.html

6*KWA CHUO KIKUU BUGANDO BONYEZA HAPO>>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/haya-hapa-majina-ya-wanafunzi_11.html

7.*KWA TUMAINI MAKUMIRA ARUSHA,BONYEZA HAPO>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/tumaini-makumira-tuma-selected-students.html

8.*SAUT MBEYA,BONYEZA HAPO>>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/saut-mbeya-selected-students-for-degree.html

9.*KWA CHUO KIKUU ST.JOSEPH BOKO,BONYEZA HAPO>>>>>>>* http://www.maswayetublog.ml/2017/10/hay-hapa-majina-ya-wanafunzi.html

*_MASWAYETU BLOG,TUNAKUKUBALI SANA_*
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU IFM BATCH 2 2017/2018

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA BUGANDO UNIVERSITY-SECOND BATCH 2017/2018


  • UN GLOBAL GOALS AWARDEE Read More...
    Mr. Felix Manyogote, an MD 5 Students at CUHAS-BUGANDO will be honored a UN Global goal "Leave No One Behind" Award for demonstrating leadership and exceptional results in improving the maternal and child health in Tanzania
Share:

Moshi Co-operative University (MoCU): Approved Degree Applicants by TCU 2017/2018- ROUND 2

MoCU logo
Share:

Stella Maris Mtwara University College-STEMMUCO: Selected Degree Applicants 2017/2018. (ROUND 2)

Image result for STEMmuco
Share:

ARUSHA TECHNICAL COLLEGE-ATC: Applicants selected to Join Bachelor Degree Programmes in Academic Year 2017/2018-2nd Round

Width170 logo 1489733649
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJINGA CHUO KIKUU MUM-SECOND BATCH 2017/2018

Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WALIOFANIKIWA KUPITA USAILI ULIOFANYIKA CHUO KIKUU DUCE

 
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI NA TANGA 2017/2018

Tokeo la picha la TANZANIA.GO.TZ
Share:

SABABU KUBWA ZILIZOFANYA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA ZAIDI YA 44000 KUKOSA VYUO VIKUU AWAMU YA KWANZA NA PILI 2017/2018

Habari zenu,

Kwa mara nyingine tena baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kusikika,tumerudi kwa kasi isiyopimika.

Leo tunapenda kuzungumzia kuhusu sababu zilizofanya wanafunzi wengi wakose nafasi za kuchaguliwa vyuo vikuu katika awamu ya kwanza na ya pili 2017/2018.

Awali kabla ya yote mfumo wa udahili ulikuwa chini ya TCU kwa miaka kadhaa hapo nyuma ambapo wanafunzi walikuwa wakiomba kupitia TCU,kwa mwaka huu ahali imekua tofauti baada ya wanafunzi ana wazazi wengi kulalamika kuwa TCU imekuwa ikiwapangia vyuo ambavyo hajachagua na kuifanya serikali kuelekeza kuwa sasa wanafunzi wataomba vyuo moja kwa moja chuoni.

Nikianza na hili,TCU imekuwa ikipangia watu vyuo vikuu ambao walikua na sifa ndogo ,Kwa mfano mtu una E E ambazo ni minimu qualification za kujiunga chuo na umeomba vyuo vya 5 lakini kutokana na ushindani unakosa chuo hivyo TCU wanaamua ili usikose chuo wanakupangia kozi yoyote ambayo itakufaa chuoni.

Watu wengi walilalamikia hili bila kujua dhumuni la TCU kufanya vile wakati ule,sasa wanafunzi wameomba moja kwa moja chuoni kozi mbalimbali na imekua ni kilio kikubwa sana kwa sababu vyuo vimekua (hasa vyenye majina makubwa) vikidahili wanafunzi wenye maksi za juu tu. na kuwafanya wanafunzi wengi hasa wenye sifa za kwenda chuo kikuu namaanisha D D AU C E kukosa nafasi katika kozi walizoomba.

SABABU KUBWA iliyowafanya wanafunzi wengi wakose vyuo ni ushindani mkubwa uliopo katika kozi husika na vyuo husika walivyoomba wanafunzi.

Kwa takwimu za haraka ni kwamba asilimia zaidi ya 80 ya wanafunzi walioomba vyuo mwaka huu walioomba vyuo kama SUA,UDSM,DUCE,MUCE,SAUT,UDOM na MUHAS  na kuvifanya vyuo hivi vichukue wanafunzi wenye ufaulu wa juu na wengi wao kukosa.

Hivyo ninazidi kuwashauri wanafunzi ambao bado hawajapata vyuo vikuu waombe vyuo ambavyo ambavyo wanadhani havina ushindani kuliko kukosa chuo na kukaa nyumbani,kwa sababu maisha ya mtaani ni magumu sana na huwezi jua  mwakani vigezo vikawaje.

Na kwa wale waliopata kuchaguliwa nawapongeza na kuwasihi wakasome kwa moyo wote na wakelewe darasani ili elimu watakayoipata waje waitumie mtaani kujiajiri.

Taarifa hii imendaliwa na 
MMILIKI WA MASWAYETU BLOG
(Blooger boy)

Share:

UDSM Kusomesha Wanaopatwa Majanga

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanzisha utaratibu wa kuwasomesha wanafunzi wasiojiweza kifedha, wakiwamo wanaoshindwa kulipia ada na malazi baada ya wazazi au wategemezi wao kufariki dunia.
Hayo yalielezwa na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Rwekeza Mukandala alipokuwa akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe ofisini kwake chuoni hapo jana.
Prof. Mukandala (64), alisema kuna wakati mwanafunzi hujiunga na chuo hicho na kujitegemea kwa ada na malazi, lakini katikati ya masomo wazazi au walezi wake wakafariki dunia, hivyo kushindwa kumudu gharama za elimu ya juu.
Kutokana na changamoto hiyo, alisema UDSM kupitia baraza lake la chuo imekuwa na utaratibu wa kuwasaidia wanafunzi hao wachache wanaopatwa na majanga hayo.
"Kunakuwa na wanafunzi wanakuwa na shida sana, labda alikuja anajitegemea, wazazi wake ghafla wanakufa, Chuo kupitia baraza lake kimekuwa na utaratibu wa kuwasaidia wanafunzi hao wachache wenye shida kubwa ya kujikimu juu ya maisha," alisema Prof. Mukandala.
Alisema baraza hilo liliamua kwa mwanafunzi halali ambaye ameshadahiliwa kila kitu na baadaye baadhi ya majanga yakamtokea katika maisha yake na kumuathiri kimasomo, ili asiathirike zaidi kwa kushindwa kupata chakula na huduma nyingine, chuo kitampa msaada.
"Haswa pale mwanafunzi anakuja analia, sijala, baba mama wamekufa, wengine wanakuja hapa wazazi wao wamekufa kwenye ajali, wengine wamepata matatizo mbalimbali," alisema na kufafanua zaidi:
"Huko nyuma tulikuwa na uwezo wa kuwasaidia kwa kutoa fedha zangu mfukoni, lakini kwa sasa chuo kina utaratibu uliopitishwa na baraza kwa kuwasaidia wanafunzi waliopata shida ambazo haziwezi kutafutiwa ufumbuzi kwa haraka na kwa muda mfupi."
Alisema fedha wanazopewa wanafunzi hao na chuo kikuu hicho kikongwe zaidi nchini ni msaada na hivyo hazirejeshwi na wahusika hawawekwi kwenye orodha ya watu wanaopaswa kurejesha mikopo ya Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya Nipashe na mtaalamu huyo wa sayansi ya siasa:
SWALI: Usumbufu katika kupata mikopo ndiyo tatizo namba moja la wanafunzi wa elimu ya juu kwa sasa. Kwa uzoefu wako kama mkufunzi lakini pia kama mtawala, ni vigezo gani vinaweza kuwa mwarobaini na mkanganyiko uliopo?
Prof. Mukandala: Nchi nyingi duniani ikiwamo Tanzania zinatambua haja ya kutoa elimu kwa wananchi wake.
Serikali ya Tanzania kwa awamu mbalimbali imeliona hilo, kwamba baada ya matatizo mbalimbali yaliyokuwa yanajitokeza ikaleta sera ya mikopo, msingi wake ukiwa ni wanafunzi wapewe mkopo kisha watarejesha baadaye wakishahitimu.
Baada ya kuanzisha sera hiyo, kulikuwa na changamoto nyingi mojawapo ni wanafunzi waliokuwa wanahitaji mkopo kuwa wengi, huku fedha kuwagawia wanafunzi ziakiwa ni kidogo
Hapo mwanzo wa sera hiyo kulikuwa na tatizo kubwa la mchakato wa namna ya kuwapata wanafunzi halisi wenye shida ya mkopo.
Walengwa ambao ni watoto wa maskini na wasio na wazazi ndiyo walihitajika wapate mikopo. Hapo ndipo matatizo yakaanza, hapo ndipo kulikuwa na mtafaruku na kutoelewana na uzembe.
Kwa serikali ya awamu ya tano hatua zimeshachuliwa za kuongeza pesa. Pia serikali imeshapitia vigezo kuhakikisha wale walengwa ambao ni watoto wa maskini na yatima wanapata mikopo.
Kitu ambacho wananchi wanapaswa kufahamu ni kwamba, serikali haisaidii elimu kupitia utoaji wa mikopo tu. Kwa vyuo vya umma serikali inagharamia pia kulipa mishahara yote ya watumishi, majengo makubwa yote ya vyuo vikuu yanajengwa na serikali, aidha kupitia mikopo au pesa ya moja kwa moja.
Kwa mwaka uliopita vijana wengi walipata mikopo kwa kozi zilizopewa kipaumbele, hata zile ambazo hazikuwa katika kipaumbele wanafunzi wake walipewa mikopo kwa asilimia mbalimbali.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nayo imefanya makusanyo kwa wadaiwa, hali itakayosaidia serikali kutoa zaidi mikopo kwa wanafunzi wengine.
SWALI: UDSM ndiyo chuo kikuu namba moja kwa ubora wa elimu ya juu nchini. Matatizo yanayozunguka elimu hiyo kwa sasa, ikiwamo usumbufu katika upatikanaji wa mikopo, yanatishia nafasi hiyo kwa kiasi gani?
Prof. Mukandala: Masuala ya uwezo wa kulipia gharama za masomo kwa wanafunzi ni changamoto iliyopo dunia nzima.
Hata kampeni za urais Marekani zilizofanyika hivi karibuni walikuwa wanazungumzia masuala ya namna ya kutoa elimu kwa watu binafsi na taasisi za serikali.
Chuo ni lazima kiwe na mkakati wa kukabiliana na tatizo hilo kwa kushirikiana na wadau wote serikali na vyama vya wanafunzi. Serikali wanatoa miongozo na vigezo, bodi ya mikopo wanatekeleza hilo.
Sisi kama uongozi wa chuo tunajaribu kufuatilia na kuhakikisha kwamba huo utekelezaji unakwenda vizuri na hakuna mtu anayeonewa na kila mtu anayestahili anapatiwa mkopo.
Kwa wanafunzi ambao wanajilipia wenyewe chuo kina utaratibu wa kuwawezesha kulipa kidogo kidogo, lengo likiwa ni kuwawezesha kumaliza masomo yao.
Imeandikwa na Gwamaka Alipipi na Sanula Athanas >>NIPASHE
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger