INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Magufuli:
"Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya
wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni
kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri
watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na
semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au
kwenye elimu bure."
Ofisi...