INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wakati aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo jana mchana, Rais Jakaya Kikwete ametangaza marekebisho ya Baraza lake la Mawazir...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta.
Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo.
Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5.
Madawa hayo yalikutwa kwenye...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,kwanza napenda kumshukuru Mungu nawe msomaji wangu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,natumaini...